Tundu Lissu hebu tueleze vizuri tukio la kupigwa risasi lilivyotokea haya uliyotoa yanaacha maswali mengi sana

Tundu Lissu hebu tueleze vizuri tukio la kupigwa risasi lilivyotokea haya uliyotoa yanaacha maswali mengi sana

Serikali ina nafasi ya kuyajibu maswali hayo yote, tena kwa vitendo, kwa sababu walitenda uovu huu wanafahamika wazi.

Bashite, aliyesimamia zoezi la shambulizi akiwa pale Dodoma hotel, yupo.

Zero aliyetoa maelekezo ya walinzi waondolewe na gari ya washambuliaji ipewe njia ya kutoka kwa kusimamisha magari na bodaboda zote, yupo.

Kalemni, aliyemwelekeza mke wake kuwa awaruhusu watu waliotumwa kuondoa camera, yupo.

Tatizo siyo kuwatambua wahalifu waliohusika kwenye shambulio lile, tatizo Serikali haina dhamira ya kuchukua hatua dhidi ya waovu.
Sasa kama hayo yanajulikana tatizo lipo wapi?

Where is the Disconnect? Kukosa Dhamira?

Nani anayesema Ukweli? Mh. Tundu Lissu au Serikali?
Tumechanganyikiwa Wananchi.

...Je haya yaliyozuliwa katika mada...

'...tueleze vizuri tukio la kupigwa risasi lilivyotokea haya uliyotoa yanaacha maswali mengi sana'

Tufunge mjadala, kwakuwa majibu yapo ila Serikali haina Dhamira?

Unafikiri Tundu Lissu anaafiki na hayo?
 
Utuambie wewe je ?yakuwa maigizo kama unawasiwasi na alicho ongea ipigie kelele serikali iweke uchunguzi huru ili maswali yako yapate ufumbuzi.
Katika suala la lissu inatakiwa ukweli uwekwe huru ili tuyafichue maovu
Mhusika mkuu na shahidi wake wahataki- nani ana hasara- ila hawajali kwa sababu wanapta fursa za kutukana na kuchafua watu
 
Na Wewe unaamini walioshindwa kumuua?
Basi tufuate ujinga wako. Wauaji walifanikiwa kumwua Lisu.

Lakini wenye akili timamu wanafahamu kuwa jaribio la kumwua Lisu lilishindwa, na Lisu bado yupo hai. Lisu alinusurika kifo kwa kudra za mwenyezi Mungu, kwa kuwafanya wauaji kutotambua position ambayo Lisu alikuwepo ndani ya gari. Mkono wa Mungu kwa kupitia dereva aliyemwondoa Lisu eneo alilokuwa amekaa, ulitenda kazi iliyomshangaza muuaji kiasi cha muuaji mwenyewe kifo chake kushuhudiwa na Lisu.

Mumgu hadhihakiwi. Muuaji, washirika wake, na watetezi wa muuaji, wote ni sehemu ya wauaji. Wote watalipwa na Mungu kwa wakati na namna iwafaayo, kwa hekima na mapenzi ya Mungu, sawasawa na ushiriki wao. Na wengine, huenda wamekwushapokea adhabu zao. Wewe na mimi hatuwezi kujua maana utambuzi wetu una kikomo.

Watu wa Mungu, hata kama tuwadhambi, tukakosa ukamilifu mbele za Mungu, kuna mambo kamwe hatustahili kuyagusa, nayo ni DHULUMA, usidhulumu uhai wa mtu, usidhulumu mali ya mtu.

You shall pursue justice, and only justice, so that you may live and take possession of the land which the Lord your God is giving you.”
 
😁😁😁
16538044797770.jpg
 
Unafikiri kujificha nyuma ya "Uzima tele" ndio sintoweza kukubutua na kukuambia unachutama vibaya. Unachutama kwa mihemeko.

Nionyeshe hiyo mistari inayoonyesha

Nionyeshe mstari ninapoonyesha najua kila kitu na mistari ninayouuliza maswali.?

Hata hivyo haijalishi, sintojificha na I.d nyingine nipige dongo.Yaani usifikirie ninayo id ya uchizi ya akili au hulka yeyote ile ambayo unataka watu wafikirie ninayo, sina.
Sipendi Unafiki.
Nakupiga hapa hapa ikifikia sehemu kuna ulazima wa kufanya hivyo. Nakucharaza tu.

Sasa kama wewe ni mfuatiliaji na una busara kana zile za kudai.. 'angalia usije onekana chizi kujibishana na chizi wewe endelea kunitafuta. Tutaelewana mie ni Kinyume chake Sijali. Sijali kwasababu mtu kama wewe nawategemea sehemu yoyote ile ambayo imejaa wenye akili, kwani wakishindwa wanaongeza akili na kuwa 'Wendawazimu' kwa kufikiri madongo ya kuchutama choo ndio yatanifanya niterereke.

Nimefurahi lakini ulipotumia huo mstari
"I think mada bado ina miguu ya kusimama na Kudai yanayodaiwa....TL aseme ukweli"
kuonyesha kuwa sitoki nje ya mada kuendeleza propaganda za kitoto. We endelea tu. Sasa subiri ninvyomjibu Joka Kuu. Wee utulie tu.

Ndugu SYLLOGIST! hoja yako ni nini hasa?

Nimekusoma mwanzo mwisho sijakuelewa zaidi ya kuona maandishi yanayounda sentensi zilizokusanyika ktk mpangilio usio na mantiki ili mtu asome na kuelewa..

Sana sana nimeambulia neno "NITAKUBUTUA", yaani wewe SYLLOGIST! unibutue mimi Uzima Tele!!!

USHAURI KWAKO: Acha vitisho vya kijuha. Hunijui na wala sikujui. Tujadiliane kilicho kwenye jukwaa. Ukichoka au ukiona unakereka, unatambaa taratibu kuendelea na mambo yako!
 
Basi tufuate ujinga wako. Wauaji walifanikiwa kumwua Lisu.

Lakini wenye akili timamu wanafahamu kuwa jaribio la kumwua Lisu lilishindwa, na Lisu bado yupo hai. Lisu alinusurika kifo kwa kudra za mwenyezi Mungu, kwa kuwafanya wauaji kutotambua position ambayo Lisu alikuwepo ndani ya gari. Mkono wa Mungu kwa kupitia dereva aliyemwondoa Lisu eneo alilokuwa amekaa, ulitenda kazi iliyomshangaza muuaji kiasi cha muuaji mwenyewe kifo chake kushuhudiwa na Lisu.

Mumgu hadhihakiwi. Muuaji, washirika wake, na watetezi wa muuaji, wote ni sehemu ya wauaji. Wote watalipwa na Mungu kwa wakati na namna iwafaayo, sawasawa na ushiriki wao.

Watu wa Mungu, hata kama tuwadhambi, tukakosa ukamilifu mbele za Mungu, kuna mambo kamwe hatustahili kuyagusa, nayo ni DHULUMA, usidhulumu uhai wa mtu, usidhulumu mali ya mtu.

You shall pursue justice, and only justice, so that you may live and take possession of the land which the Lord your God is giving you.”
Yaani kabisa unaamini Wasiojulikana walishindwa kumuua Tundu asiye na Ulinzi wowote

Waulize Watu wa Nyororo au wale akina Kombe!

Usileweshwe Siasa
 
Swala la 4 Ungeuliza wale walinzi pale getini walipotelea wapi siku huyo watu waovu wakaingia na kutoka bila ukaguzi au purukushani yoyote
Unauhakika hawakuwepo? Wameulizwa?
 
TL aeleze wapi? Aeleze kwenye vyombo vya habari? Kwa upande wa Serikali, kwa sababu wanajua kila kitu, hawana haja ya kuelezwa kwa sababu wanafahamu kila kitu.

Uliwahi kusikia Serikali kwa kupitia vyombo vyake waliwahi kumhoji Lisu au mtu mwingine yeyote yule kuhusiana na shambulio lile?

Fikiria kuna matukio yanatokea kwenye mazingira magumu ya kuwatambua wahusika, lakini lazima kuna watu kadhaa huwa wanahojiwa kuhusiana na tukio hilo. Unadhani ni kwa nini kitu kama hicho hakijawahi kufanyika kwa tukio la Lisu? Kwa namna fulani inaleta sense, Serikali imeamua isiwe mnafiki. Inajua waliohusika, inajua tukio lilivyotendeka, na hivyo wanaona hawana haja ya kuuhadaa umma kuwa wanachunguza.
Kwa mantiki hiyo, mada inasimama? Ikiwa ina maana na ye Tundu Lissu ana maswali ambayo hajibiwi? kama vile kwanini hawafikishwi mahakamani au wanyongwe hadharani n.k n.k?

Au haisimami...?

Mkuu huoni kwamba mleta mada anamsaidia Mh. Tundu Lissu kupata majibu? au Tukubali tu Hayati alitoa maagizo, makonda akayachukua na kuyafanyia kazi na ushahidi ukapotezwa. Wananchi wakubali hivyo?

Binafsi ninayo maswali mengi tu na moja lapo kuu, ni nani ambae angefaidika na Lissu kufa..? Ila tunajua ameponywa, yaani ni miujiza kapigwa Risasi 16 kapona!

....kabla hujajibu Bamzi tafadhali rejea Post zangu zote katika mada hii Tutaelewana vizuri tu.
 
..hoja ya kwanini mguu wa kulia umeumia kuliko wa kushoto tumeishaelewana? Is it closed and off the table?

..Kuna taarifa kwamba familia ya Lissu iliandika barua kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kumtaka aombe msaada wa vyombo vya nje visaidie ktk uchunguzi wa tukio la Lissu lakini inasemekana serikali ilikataa.

..Natamani waandishi makini wamuombe Lissu atolee ufafanuzi suala hilo.

..Kuhusu suala la dereva na Lissu kuhojiwa mimi nadhani tatizo liko kwa serikali na jeshi la Polisi.

..Hivi inaingia akilini kwamba blogger JOHN MARWA, na kipindi cha CLOUDS 360, wameweza kumhoji Lissu kwa masaa kadhaa, lakini POLISI wanaodai wanamtafuta kwa miaka 5 sasa hawajaweza kumhoji? Does that make any sense to you?

..Mimi kwa mtizamo wangu Polisi wetu wameonyesha uzembe wa hali ya juu kuhusu tukio hilo. Naweza kusema wameonyesha KUTOKUJALI.

..Naungana na wewe kwamba ni lazima ukweli ujulikane haraka iwezekanavyo, na hususan kabla ya 2025.

..Umesema tusichague watu wenye vinyongo na visasi, mimi nadhani tusichague watu wenye roho za kikatili na wanaoshabikia Watanzania kuumizwa.
Watz hatuna desturi ya kuchunguza Mambo but Mimi naamini ukikaa na wakulungwa vizuri watakueleza kila kilichotokea by my side naamini uchunguzi ulishafanywa na wahusika wote wanajulikana ila viko makabatini kulinda maslai
 
we
Maelezo ya Lissu alipohojiwa na CLOUDS
Nafasi za parking zimechukuliwa imebaki moja kwa sababu niko mbele nikaingia kwenye hiyo parking. Wakaingia upande wa kushoto wanatafuta eneo la kupaki kuna magari, kulia kuna magari wakageuza gari kuelekea walipotokea dereva akaniambia nisishuke, wakasubiri na wao

Mmoja akatoka siti ya nyuma akaamia mbele upande wa abiria wakazungumza akarudi ndani akafunga mlango ghafla akafungua yeye, akafungua mwingine wanamashine hapo wakaachia" - Lissu

MASWALI
1. Je risasi zilipigwa kutoka nyuma yake?

2. Mbona gari lake lilionekana kuwa risasi zilikuwazimepigwa ubavuni. Kama niko sahihi hii iliwezekana vipi wakati hakukuwa na nafasi ya wao kuegesha gari hapo?

Maana yake ni kuwa nafasi kati ya gari na gari kwenye maegesho isIngeweza kumfanya mpigaji atumie bunduki kwa usahihi mpaka asogee karibu sana na hii ingemfanya amtambue aliyemshambulia.

3. Kwa nini dreva wake kama mtu aliyekuwa kwenye tukio anamzuia asitoe maelezo yake?
we unaota au umeandika nini. Awatambue kwani kuna gwaride la utambulisho lililoitwa? Maswali ya hovyo unauliza! Maelezo ya Lissu yalikuwa clear na yaliyojitosheleza usitake kujifanya una akili unahoji upupu. Wana wa Mungu wa mbinguni tunachoshukuru ni kuwa Mungu yupo wakati wote na yuko kazini. Lissu yuko hai ndiyo furaha yetu nyie wachawai, mashetani mtaendelea kuaibika.
 
we

we unaota au umeandika nini. Awatambue kwani kuna gwaride la utambulisho lililoitwa? Maswali ya hovyo unauliza! Maelezo ya Lissu yalikuwa clear na yaliyojitosheleza usitake kujifanya una akili unahoji upupu. Wana wa Mungu wa mbinguni tunashoshukuru ni kuwa Mungu yupo wakati na yuko kazini. Lissu yuko hai ndiyo furaha yetu nyie wachawai, mashetani mtaendelea kuaibika.
Utakuwa unaumwa
 
Kwa mantiki hiyo, mada inasimama? Ikiwa ina maana na ye Tundu Lissu ana maswali ambayo hajibiwi? kama vile kwanini hawafikishwi mahakamani au wanyongwe hadharani n.k n.k?

Au haisimami...?

Mkuu huoni kwamba mleta mada anamsaidia Mh. Tundu Lissu kupata majibu? au Tukubali tu Hayati alitoa maagizo, makonda akayachukua na kuyafanyia kazi na ushahidi ukapotezwa. Wananchi wakubali hivyo?

Binafsi ninayo maswali mengi tu na moja lapo kuu, ni nani ambae angefaidika na Lissu kufa..? Ila tunajua ameponywa, yaani ni miujiza kapigwa Risasi 16 kapona!

....kabla hujajibu Bamzi tafadhali rejea Post zangu zote katika mada hii Tutaelewana vizuri tu.
Nani angefaidika na kufa Lisu?

Swali zuri!
 
Mimi nadhani msukumo mkubwa uwe ni kuitaka Serikali ya sasa ichukue hatua. Ile Serikali ya mwanzo isingeweza kwa sababu kimantiki, ni yenyewe ndiyo iliyohusika katika uovu ule.

Kama hii Serikali ya sasa inachukia uovu, basi ichukue hatua. Mpaka sasa haijachukua hatua yoyote. Japo kwa kiasi kikubwa nina imani huenda Serikali hii ya sasa, wakati fulani itachukua hatua. Imani hiyo inajengekea katika uhalisia wa baadhi ya mambo yanayoendelea. Leo Biswalo tayari anatajwa kwa uwazi jinsi alivyoshiriki kupora pesa. Hapo mwanzo, japo ilikuwa inafahamika, haikuwahi hata kutamkwa hadharani. Hivyo, naamini na hili kuna siku kutaagizwa kuanza kwa uchunguzi.
 
Kwa wanaoijua CHADEMA inawezekana kabisa ni inside job!
  1. CHADEMA mabingwa wa mapichapicha, walijitahidi kuhakikisha picha za tukio hilonhazisambai kinyume na utamaduni wao!
  2. Risasi kutoboa upande moja wa gari na yeye kuumizwa upande mwingine. Risasi zitoboe kushoto na muathirika aumie mguu wa kulia!
  3. Dereva aliyeko kulia risasi isimpate hata moja!
  4. Zipigwe risasi 38 na atoke kama alivyotoka!
  5. Dereva kuingia mitini na mpkumficha kwa nguvu zote!
Ukweli utakuja kujulikana siku moja. Wangekuja wale wazee wa Forensic Files mara moja tu wangeshachambua mbivu na mbichi - hata kama ni Uchachawangwe ingekuwa ishajulikana.
 
Mimi nadhani msukumo mkubwa uwe ni kuitaka Serikali ya sasa ichukue hatua. Ile Serikali ya mwanzo isingeweza kwa sababu kimantiki, ni yenyewe ndiyo iliyohusika katika uovu ule.

Kama hii Serikali ya sasa inachukia uovu, basi ichukue hatua. Mpaka sasa haijachukua hatua yoyote. Japo kwa kiasi kikubwa nina imani huenda Serikali hii ya sasa, wakati fulani itachukua hatua. Imani hiyo inajengekea katika uhalisia wa baadhi ya mambo yanayoendelea. Leo Biswalo tayari anatajwa kwa uwazi jinsi alivyoshiriki kupora pesa. Hapo mwanzo, japo ilikuwa inafahamika, haikuwahi hata kutamkwa hadharani. Hivyo, naamini na hili kuna siku kutaagizwa kuanza kwa uchunguzi.
Kwani Serikali ya sasa ni ya Chama gani?
 
Ndugu SYLLOGIST! hoja yako ni nini hasa?

Nimekusoma mwanzo mwisho sijakuelewa zaidi ya kuona maandishi yanayounda sentensi zilizokusanyika ktk mpangilio usio na mantiki ili mtu asome na kuelewa..

Sana sana nimeambulia neno "NITAKUBUTUA", yaani wewe SYLLOGIST! unibutue mimi Uzima Tele!!!

USHAURI KWAKO: Acha vitisho vya kijuha. Hunijui na wala sikujui. Tujadiliane kilicho kwenye jukwaa. Ukichoka au ukiona unakereka, unatambaa taratibu kuendelea na mambo yako!
Tujadiliane kilicho kwenye jukwaa.
We chagua unayoyaona na kuelewa, ni shauri lako. Wacha na mie nichague yale yanayoletwa kwenye Jukwaa.

Umeniparamia. Ati simwelewi Joka Kuu? Kivipi? Kutokubaliana na hoja zake ni kutomwelewa?

Unataka nikubali kila alisemalo ili iwe vipi. Umekereka wewe unataka kunigeuzia kibao, majibu yako kwangu, yamenidhihirishia umekereka. Katambae mwenyewe kwa kuchutama. Ati Uzima tele.

Usiniletee za Kuleta
 
Back
Top Bottom