SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Serikali ina nafasi ya kuyajibu maswali hayo yote, tena kwa vitendo, kwa sababu walitenda uovu huu wanafahamika wazi.
Sasa kama hayo yanajulikana tatizo lipo wapi?Bashite, aliyesimamia zoezi la shambulizi akiwa pale Dodoma hotel, yupo.
Zero aliyetoa maelekezo ya walinzi waondolewe na gari ya washambuliaji ipewe njia ya kutoka kwa kusimamisha magari na bodaboda zote, yupo.
Kalemni, aliyemwelekeza mke wake kuwa awaruhusu watu waliotumwa kuondoa camera, yupo.
Tatizo siyo kuwatambua wahalifu waliohusika kwenye shambulio lile, tatizo Serikali haina dhamira ya kuchukua hatua dhidi ya waovu.
Where is the Disconnect? Kukosa Dhamira?
Nani anayesema Ukweli? Mh. Tundu Lissu au Serikali?
Tumechanganyikiwa Wananchi.
...Je haya yaliyozuliwa katika mada...
'...tueleze vizuri tukio la kupigwa risasi lilivyotokea haya uliyotoa yanaacha maswali mengi sana'
Tufunge mjadala, kwakuwa majibu yapo ila Serikali haina Dhamira?Unafikiri Tundu Lissu anaafiki na hayo?