Tundu Lissu: Idadi ya wabunge wa kuchaguliwa iwiane na idadi ya raia wanaowakilisha

Tundu Lissu: Idadi ya wabunge wa kuchaguliwa iwiane na idadi ya raia wanaowakilisha

CCM wanakata mipaka ya kiutawala / maeneobunge (jimbo) kupata wabunge wengi wala hawana mkakati wa maendeleo yoyote.


Soma makala hii :

https://www.standardmedia.co.ke › ...
Maeneo bunge 27 yatakayouliwa na sense - The Standard
Nairobi, Kenya
24 Jul 2019 — Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati. Huenda maeneo bunge zaidi ya 27 nchini yakavunjwa baada ya zoezi la sensa kukamilika .....
Kama mageuzi ya mipaka baada ya sensa ya mwaka huu yatafaulu huenda wanasiasa wengine wakavipoteza viti hivyo na kustaafu siasa. Hata hivyo kuna dhana kwamba idadi ya watu isitumiwe peke yake kama kigezo cha kuvunja maeneo bunge huku wengi wakidai kwamba kuna maeneo bunge yenye watu wachache lakini eneo kubwa mraba hivyo kuwabidi wabunge kwenda mwendo mrefu wakiwahudumia wananchi.

Hata hivyo ni jambo la kukanganya inapodhihirika kwamba kuna maeneo bunge ambayo idadi ya watu inatoshana na kaunti nzima kwenye sehemu zingine nchini. Kwa mfano gavana wa gatuzi la Lamu lenye watu 101, 000 anapata mshahara na marupurupu sawa na gavana wa Kiambu yenye watu milioni 1.6.

Kwa misingi hiyo hiyo, mbunge wa Lamu mashariki yenye watu 20,000 anapata mshahara sawa na mbunge wa Eldoret kaskazini yenye watu zaidi ya 400,000 mara 20 zaidi ile ya Lamu mashariki. Kwa ujumla kuna maeneo bunge 27 ambayo huenda yakavunjiliwa mbali baada ya sensa ya mwaka huu zikiwemo.

Hii ni kwa sababu ingawa katiba mpya imeeleza kwamba maeneo bunge ya taifa yatakuwa 290 tume huru ya uchaguzi na mipaka ya (IEBC) imepewa uhuru wa kugeuza mipaka na kupunguza maeneo bunge mengine na kuongeza kulingana na idadi ya watu itakayotokana na sensa.

Cha msingi kabisa kwenye mageuzi hayo ambayo yamkini yatakuwa na athari kubwa kisiasa na kimaendeleo ni kota ya idadi ya watu kwenye kila eneo bunge ambayo kutokana na sensa ya mnamo mwaka 2009 ni jumla ya watu 133,000.
Mambo ndio haya sasa
 
Hapa lissu hapana..siijui jiografia ya kenya vizuri so siwez kuwapinga kwa uamuzi wao huo lakini kwa tz mfano tanga ni mkoa mkubwa sana ukipunguza idadi ya majimbo basi kuna maeneo yatakosa uwakilishi kutokana na jiografia yake tanga ukipewa jimbo moja uzunguke lets says bumbuli kuna milima mingi kiasi hata kufikika inaleta ugumu sana tofauti na dsm ambapo barabara zake ni tambalale...lengo ni kufikiwa kwa wananchi na kero zao zitatuliwe kwa uwepesi..mtu akichunguza mikoa ambayo ina wabunge wengi atagundua hili ni moja ya sababu kuu...sometime sio kila kitu tunapaswa kuiga tujiangalie na sie mazingira yetu
 
20.08 2022

Tundu Lissu : Kwanini wengine wanaweza kupambana kudai mabadiliko na mageuzi, lakini Tanzania imefeli kupata viongozi wa kijamii kuongoza mapambano ya mageuzi




Source : mubashara studio
 
VIJANA WA TANZANIA KWA KUANZISHA JUKWAA LAO HURU, NDIYO JIBU LA KUPATA NAFASI YA KUSHIRIKISHWA KTK NGAZI YA MAAMUZI KITAIFA

Duniani ni vijana wa vyuo vikuu ndiyo wanaoongoza kuchagiza mageuzi

Historia inaonesha mara baada ya uhuru wa kwanza kupatikana ktk mtaifa mbalimbalii iwe kwa mtutu wa bunduki au maandamano ya kuondoa wakoloni, baadaye kulifuatia msuguano wa wananchi wenyewe kwa wenyewe kwa kutoridhishwa na wale waliochukua utawala toka kwa wakoloni.

Sababu mbalimbali zilizua msuguano ktk nchi huru kama udiktekta, tawala kamdamizi ya chama kimoja, utawala mbovu, ubaguzi wa kielimu mfano mtoto aliyesoma shule za kata / st. Kayumba anadanganywa kuwa akihitimu chuo kikuu atakuwa na nafasi sawa na mwenzake aliyesoma St. Mary's akamaliza elimu ya chuo kikuu pia anayekimanya kiingereza / kispaniola vizuri zaidi na wajomba wake wapo ktk nafasi za kiutawala n.k

Vijana wengi pamoja na umasikini wa familia zao wanashawishiwa kwenda vyuo vikuu kwa kuchukua mikopo wakiwa na matumaini ambayo ni hadaa kuwa kwa kumaliza elimu ya juu watakuwa sawa na wale watoto wa tabaka la watawala anasema kiogozi wa vuguvugu la wanafunzi wa chuo kikuu wa Chile kamanda Gabriel Boric mwaka 2017.

Hapo ndipo Wanafunzi waliopo ktk nchi kama Sudan, Chile, Cuba, Afrika ya Kusini, Kenya walishiriki kudai mageuzi ili kuondokana na tawala zilizomgoa mkoloni.

Tanzania vijana hawajishughulishi kuhoji mambo yasiyowaridhishs wananchi kama matumizi mabaya ya kodi za wananchi, tozo ziluxokifu wananchi, demokrasia kubinywa, katiba kandamizi n.k

Chile nchi iliyo na kiongozi kijana Gabriel Boric ambaye ndiye rais kijana kabisa wa kuchaguliwa amezaliwa 11 February 1986 ambaye alichukua madaraka ya urais tarehe 11 March 2022 baada ya kushinda uchaguzi mkuu nchini Chile tarehe 19 December 2021 kwa kupata asilimia 60% ktk uchaguzi wa urais.

Gabriel Boric on the Chilean student movement 14 June 2017

Gabriel Boric on the Chilean Student Movement

Likes
59,554
Views
2017
14 Jun
In a presentation at the School of Public Policy on June 7, 2017; Gabriel Boric offers a historical perspective and reflects on lessons learned. He focuses especially on the role of social movements in a well-developed democracy and provides insights on how to sustain collective action over an extended period of time. He speaks also about his transition from being a member of a political movement to being a member of Parliament. Gabriel Boric is a Chilean parliamentarian, and a former leader of the national student movement. He was the president of the Student Federation of the Universidad de Chile, one of the most important student unions in the country. Boric currently represents the Magallanes and Antarctic Region in Chile’s Chamber of Deputies. He was elected as an independent candidate and is not associated with either one of the two political coalitions that have traditionally dominated politics in Chile. Source:

Department of Public Policy at CEU​

Mwanafunzi wa chuo kikuu toka familia masikini anazama ktk mkondo wa madeni ya fedha za mkopo wa elimu ya juu huku akiwa na matumaini potofu ya kupata ajira au kuwepo mazingira hewa ya kujiajiri.


Vijana vyuo vikuu na mijini pia vijijini badala ya kumezwa na ukiritimba wa UVCCM na ahadi kuwa ni viongozi wa kesho huku watoto wa vigogo wa CCM wanapewa nafasi sasa na siyo kesho wanatakiwa kuunda chombo chao kipya cha kutambulika kama mdau muhimu anayehitaji kuonekana katika majukwaa ya siasa pia ktk vituo vya redio, televisheni na mitandao ya kijamii kuchagiza mabadiliko na mageuzi ikiwemo pia kupewa nafasi nje ya mfumo wa vyama ili wagombee nafasi za kuchaguliwa na wananchi.


Gabriel Boric - The 100 Most Influential People of 2022 - TIME

time.com › collection › gabriel-boric

gabriel boric presidente from time.com
23 May 2022 · He is making Chile the social, economic, and political laboratory of the world once again. Stiglitz is a Nobel Prize–winning economist
 
21 December 2021
Santiago, Chile

Gabriel Boric: From student leader to Chile's president



Gabriel Boric will become #Chile's youngest #president. The student leader won Sunday's election by a wide margin. The leftist defeated far-right candidate Jose Antonio Kast in an unexpected result that signals a major shift to the left.
Source : CGTN


Source: 24horas.cl


More :
Gabriel Boric on the 10th of September 2012 :

"WE ARE tired of knocking on doors that do not open, we're tired of talking to deaf ears," declared Gabriel Boric, president of the University of Chile Student Federation (FECh, after its initials in Spanish). "Now we are going on the offensive as a social movement, all together, students and teachers."


Boric, still in his first year since as FECh president after defeating the well-known student leader Camila Vallejo, was meeting with other leaders of the Chilean student movement to hammer out a protest schedule for September. Protests to demand free, public education are continuing in Chile, and students and their supporters often number in the hundreds of thousands.

Students are fighting to re-nationalize a public-school system first privatized and municipalized during the dictatorship of Gen. Augusto Pinochet in the 1970s and '80s. Ninety percent of Chilean students attend underfunded schools, exacerbating an already large gap between rich and poor.

As elsewhere, promises of upward mobility under capitalism have been sharply contradicted by an education system that offers little hope for the future to most students. Chile has the most segregated educational system in the world--and it has now produced perhaps the most vocal and certainly the longest-lasting outrage among disillusioned young people.

There are a number of features that make this younger generation of Chileans remarkable, especially considering the country's recent history. One is a relative fearlessness. It is the first to grow up free of the legacy of Pinochet, without the constant fear that comes from living under a dictatorship unafraid to murder thousands of opposition activists and sympathizers. A student leader was once asked about the dictatorship and what it meant to him. "Nothing," he replied. "I was born in 1987."

Alongside this is a seemingly indefatigable will to fight. Chilean students have been staging protests for more than a year. Numbers have swelled and receded, but even after more than 40 mass marches in 2011, students show no signs of going anywhere. Two demonstrations took place last week, one of them drawing an estimated 130,000.

Throughout the year, popular support for students has continued to rise: public opinion in Chile runs 70-30 in favor of students over right-wing President Sebastián Piñera. Meanwhile, approval for Piñera, a billionaire, has eroded to the lowest levels since the fall of the dictatorship. This has much to do with his failure to either contain or satisfy the growing demands of different sectors in Chile, the most visible and continuous of which is the student movement.

But the student movement has not yet been able to translate this mass support into many concrete gains. Education has occupied much attention--in the media and in parliament--and at the end of last year, two education ministers were forced to step down. But Piñera enjoyed a rare victory this week, as Chile's Congress passed a tax reform they claim will bring $1 billion into Chile's public-school system.

The students reject tax reform. Among the many flaws of this approach are tax breaks for students that only the wealthiest Chileans will enjoy. And most importantly to the students, this is not the structural change they demand. They have not been fighting for a year--nor have the hundreds of thousands who have come out time and again--to leave in place a privatized education system available only to those who can afford it, nor are they willing to put themselves deep into debt.

THE LACK of concrete victories is one of the reasons that Boric succeeded in defeating Vallejo as president of FECh. Vallejo is perhaps the most famous activist in the world. She has been featured in newspapers and magazines around the world, including Time's "Person of the Year" issue. She has been able to articulate the political and social impact of neoliberal capitalism in an uncompromising, popularized way that is immediately accessible.

READ MORE : source : Chile’s students want it all
 
Kiongozi hizo takwimu za Marekani umezitoa wapi? Katiba ya Marekani ina umri wa miaka 235 na sio zaidi ya 270 kama ulivyoandika. Ilitengenezwa mwaka 1787.

Idadi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi ni 438 na sio 450 uliyotaja.
Very clever!
 
Ingekua hivyo marekani ingekua na wabunge wengi sana bungeni
 
..Elimu ya uraia anayoitoa ni jambo la kupigiwa mfano.

..naamini kuna wasomi wengi wana taarifa kama alizonazo Tundu Lissu lakini kutokana ubinafsi au uoga hawawaelimishi wananchi.

..nampongezi sana Lissu kwa kutoa elimu hii.
 
1661295826581.png


Yoweri Kaguta Museveni attended the University of Dar es Salaam beginning in 1967. While attending the University, Museveni studied economics and political science. He also became a Marxist and became involved in radical Pan-African politics. He formed the University Students African Revolutionary Front, an activist group, and led a student delegation to FRELIMO-held territory in Portuguese-controlled Mozambique where he received guerrilla training.

Read more : Yoweri Kaguta Museveni (1944- ) •
 
1661296330179.png


Retired Chief Justice Willy Munyoki Mutunga received a Bachelor’s degree in law in the 1970s, and a Master of Laws from the University of Dar es Salaam.

He went into exile in Canada in 1983 after being arrested for his activism. In the late 1980s, Dr Mutunga received his Doctorate of Laws from the Osgode Hall Law School at York University in Toronto. He helped launch the Kenya Human Rights Commission (KHRC) to further the cause for socio economic justice.

When Kenya returned to multi-party democracy in 1991, Mutunga and other exiles returned to Kenya which led to the KHRC relocating back to Kenya and being registered in 1994. Between 1993 and 1995 he was the Chair of the Law of Society. He was also part of the team that helped form the National Alliance Party of Rainbow Coalition (NARC). Because he did not want to join active politics, his relationship with the administration become frosty.

He retired in June 2016, a year before his due date, and soon after accepted a position as the Commonwealth Special Envoy to the Maldives.
 
Justice Hassan Bubacar Jallow, a Gambian lawyer and jurist.

Prosecutor Jallow studied law at the University of Dar es Salaam, Tanzania (1973), the Nigerian Law School (1976) and the University College, London (1978).

He is bilingual in English and French and author of a number of publications, notably on issues relating international criminal law, public international law, human rights law as well as on international peace and justice.

Previously, he served as Prosecutor of the U.N. International Criminal Tribunal for Rwanda IUNICTR).
 
Geographical magnitude ya eneo(ukubwa wa jimbo kieneo na mahali lilipo) inaleta mantiki zaidi kuliko idadi ya watu

..zamani Dsm ilikuwa na majimbo matatu ya Ilala, Kinondoni, na Temeke.

..wakati huo miundombinu ilikuwa mibaya, na mawasiliano yalikuwa ya hafifu, kulinganisha na sasa hivi.

..sasa kwanini tumeongeza idadi ya majimbo wakati tunawasiliana na kufikiana kwa urahisi zaidi?

..Bila shaka justification ya kuongeza idadi ya majimbo ni ongezeko la idadi ya watu.

..Sasa tuje tuangalie kama kweli tunatenda HAKI kila mahali ktk mgawanyo wa majimbo.

..Hata tukizingatia ukubwa wa eneo husika bado utaona kuwa majimbo yamegawanywa bila kuzingatia uhalisia.
 
Ni muhimu kuwa na fikra tunduizi


Jinsi ya kupata fikra tunduizi (critical thinking) katika mazingira yetu
Source: simulizinasauti
 
30 August 2022

Change in Chile - A new generation takes power | DW Documentary



Chile is undergoing a political sea change under its new leftist president, Gabriel Boric. His administration wants to introduce major reform.

On September 4, the government will face its first test, with Chileans due to vote on a new constitution. The legacy of Augusto Pinochet’s military dictatorship still reverberates in Chile.

In 2019, the enormous gap between rich and poor, along with rising prices and the failure to prosecute crimes committed by the former dictatorship, triggered a huge wave of protests.

Since then, a new generation of younger, outspoken activists has been entering the political arena, calling for change in virtually every sphere of society. And they’re not just talking - they’re taking matters into their own hands. Like Inés Fuentes, for example. She joined forces with other low-income earners to build an entire neighborhood during the pandemic on what was once a garbage tip - to finally have a home of their own.

Or the young students who occupied their school to draw attention to the terrible conditions and lack of equipment. It's against this backdrop, that the youngest president in Chile’s history is now promising social justice, equality and action on the climate. Gabriel Boric has assured the indigenous population there will be a fair dialogue to resolve centuries-old territorial conflicts.

Just a few months after being sworn into office, the government is now facing opposition from many sides. Some feel the new leadership is going too far with its push for change, while others say it’s not going far enough. With the September 4 referendum fast approaching and the outcome far from certain, anticipation is rising.

The vote will not only decide on a new constitution - it will also have implications for the rest of Boric’s time in office and for his proposed reform process.

Source : Documentary
 
Mnyampaa aendelee kutoa nondo akiwa huko huko mafichoni na vichakani maana adhabu ya mnyampaa haikukamilika kwa mujibu wa maelekezo ya movies ninazoziangalia!

huyu ni marehemu mtarajiwa yaani akitua tu akakaa na kujisahau na raia wakajisahau , wale waliotaka kummaliza wataenjoy sana kupata kichwa chao , watajisifu maana hawataua tena mbu kwa bunduki bali sindano ya moto tu!

Kwani walipomshambulia serikali haikuwepo? Rais hakuwepo?

Mi ni kijani ila naamini ulaya ni salama zaidi kwake speaking of humanity na sio itikadi!!
 
08 February 2023
Singida, Tanzania

RC SERUKAMBA KUZIKABILI HOJA ZA TUNDU LISSU ALIZOTOA KWENYE MKUTANO IKUNGI




Toka maktaba:

RC Serukamba ataka udhibiti wa viwavi jeshi​

Mkuu wa mkoa wa Singida RC Peter Serukamba akiwa darasani kupata mkakati wa kupambana na viwavu jeshi

1676205117078.png
 
CCM NA UVCCM WAWEWESEKA NAMNA YA KUFANYA MIKUTANO YA HADHARA YA KISIASA KUPITIA HOJA BADALA YA KUBEBWA NA DOLA

MIAKA SABA NA HOJA 1000 ZA WAPINZANI WA MAMA SAMIA.

George Michael Uledi.
Kyela,Mbeya.

Januari 13,2023.


Vyama vya Upinzani NCHINI vimejigamba kuwa na kapu la hoja 1000 ndani ya miaka saba ambayo walikuwa “kifunguni” na wameanza kutisha CCM kuwa pindi watakapoanza mikutano ya hadhara basi Nchi itatikisika ”Political Mind Game”.


Gazeti la Raia Mwema la Januari 11, 2023 lilibeba kichwa cha habari hiki “NGOMA NZITO”, huku likiwa na sub-heading 3 “wapinzani na hoja 1000 za miaka saba,Chadema kutumia Ruzuku kuzunguka na Chopa na Tundu Lissu na Lema kurejea kuongeza nguvu”.

Kitu ambacho wanafanya kwa sasa Wapinzani sio kigeni kwenye Siasa za sasa!Wapinzani wanajaribu kutaka “kuwajaza upepo” wana CCM kwa lengo la kuwavuruga kabla ya kuanza kwa mikutano ya hadhara baadae mwezi huu! ”Political Mind Game”.

I.HOJA 1000 NDANI YA MIAKA SABA YA KIFUNGO!
Hoja 1000 za wapinzani ndani ya kile walichokiita kifungo cha miaka saba zinaweza zikawa zimemezwa na miaka saba ya kazi kubwa ya CCM katika kuwaletea watanzania maendeleo! CCM inaweza ikawa na majibu 10,000 dhidi ya hoja 1000 za miaka saba za wapinzani!

Miaka saba ya Serikali ya awamu ya tano na Serikali ya awamu ya Sita inabeba image ya CCM kuwa na ushawishi mkubwa zaidi labda kuliko kipindi chochote hasa kwa Vijana wakina Mama na Wazee ndani ya miaka 7.

Miaka saba ya hayati JPM na Mama Samia Suluhu Hassan ilibeba maajabu makubwa ya miradi ya maendeleo kwa Watanzania kuliko wakati wowote katika historia ya Tanzania!Bwawa la Umeme la Nyerere JNHPP, SGR, Makao Makuu kuhamia Dodoma, Flyovers, ununuzi wa madege na zaidi uwajibikaji wa Serikali kwa Wananchi!

Kwa kifupi, wapinzani watakuwa wanaibeba sana CCM wakija na hoja zao 1000 kwani zinaenda kuwafanya wana CCM ambao ni “wavivu” kusema mafanikio yao kwenda sasa kuyasema kwa Wananchi hivyo kuwafanya kuweza kukubalika zaidi!

Automatically hoja 1000 za miaka saba zinajibiwa na kazi kubwa ya CCM ndani ya miaka saba ya awamu ya tano na awamu ya Sita!

II.CHADEMA KUTUMIA RUZUKU KUZUNGUKA NA CHOPA!
Chadema bado wanaendelea na makosa yale yale ya 2020 ya kutaka kuwafikia watu kwa CHOPA! Chadema walipaswa kwanza kuanza na kitu kinaitwa “Political installation” kwanza baada ya kupotea kwa miaka karibia saba!

Political recruitment could be better zaidi kama ambavyo walifanya huko nyuma katika kuwapata wakina Ernest Silinde, John Mrema na vijana wengine na kuweza “kuwa-inject” falsafa mpya KUELEKEA 2025.

Kila siku nasema Chadema wanakosa “Think Tank” na Political Strategists wa maana! CDM ni kama wamekumbwa na “balehe” ya kutaka kuanza kufanya Siasa kumbe walipaswa kuwa strategic zaidi kwa kufanya kitu kinaitwa kwanza “Political re-orientation”.

Hauwezi kukamata dola kwa “barehe za kisiasa” kama hizi! CDM wanahitaji muda wa kufanya kitu kinaitwa (i) Appreciation of the situation” kwanza kabla ya “kuji-deploy” kwenye mikutano ya hadhara! Business as usual,hauwezi kuishinda CCM ya Kanali Kinana kwa style hiyo, hauwezi!

III.TUNDU LISSU LEMA KUREJEA KUONGEZA NGUVU!
Ushindi Vitani unategemea mambo mengi lakini moja la msingi ni “selection and maintainance of the aim”.Swali Je, mikutano ya hadhara ya wapinzani ina political target ipi?
Je(i) kufanya Political re-recruitment? (ii)kueleka kutaka kuchukua dola 2024 + 2025?(iii)re-branding?

Je ,Chadema wamejibu maswali ya Mikutano ya hadhara for what, for who, when and how?Je, Wapinzani wana mpango kazi mkononi wa kuelekea Mwaka 2025 na ikibidi Mwaka 2030?, Je,wanao mpango kazi huo huo?,au wana-rush tu kwenye mikutano ya hadhara!

Itakuwa ni ndoto za mchana kupambana na CCM ya Mh. Samia Suluhu HASSAN Mwaka 2025 kama wapinzani wenyewe ndio hawa! Wait & See!
+255746726484.

 
Tundu Lisu; No, You are Myopic

What you have tried to explain is totally incorrect and myopic. The focus of electing various representatives and providing infrastructure is to facilitate Provision of Services to the community.

In large urban areas, the infrastructure and governance resources are easily shared by a large number of people. Therefore, there is no need of having too many Reps.

You seem to have you mind stuck in the number of reps; and forgets the justification and cost benefit alaysis. .

You want to increase the number of MPs whenever the population increases. What is going to be the limit. Is it logical?

USA’s Constitution is over 270 years old. The population has increased more than 100 times; but their number of Representatives and Senators has remained 495 and 100 respectively.

In the same USA, due to their population sizes, California has 54 Electro Votes and Rhode Island has 2 Electro Votes. But both are represented by 2 Senators in the Senate.

Tundu Lisu, we know that you are idle over there. Use your time to study and research issues before you write. You are disheartening us to find you still providing childish postings; and therefore wasting our time.

Take care
Go check your facts and don't get confused because senators and member of congress(law makers/the legislative body) are completely two different bodies.
Members of congress zones are divided according to population.
 
Back
Top Bottom