Zakayomfupi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2024
- 281
- 320
Hukusikia alivyokua anamwita mlamba asali, mtoa rushwa na mpokea rushwa??Lissu alimtukana mbowe matusi gani? Mkiulizwa hamsemi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukusikia alivyokua anamwita mlamba asali, mtoa rushwa na mpokea rushwa??Lissu alimtukana mbowe matusi gani? Mkiulizwa hamsemi.
Wachagga wote wameomba Kustaafu akina Mrema, Munisi nk Sasa migogoro ataleta nani?
Hayo ni matusi?Hukusikia alivyokua anamwita mlamba asali, mtoa rushwa na mpokea rushwa??
Namuona Mnyika anajipendekeza. Hajui kama hatakiwi hapo na akina Lema. Yupo hapo kwa ajili ya kuwahadaa waliomizwa uchaguzi uliopita
Mbowe hakutukanwa ule ulikuwa muda wa kampeni ni jambo la kawaida watu kutofautiana wkt wa kampeni ndio maana hata yeye alirusha mawe upande wa pili, hayo majengo ni ya chama sio ya mbowe.Dawa ipi? Mumemtukana sana na kumdhalilisha sana mzee wenu Mbowe. Kisa madaraka tena ya chama sio nchi. Kama hakufanya kitu mbona sasa mnatumia jengo alionunua yeye?
Tulia na bado leo ndio kaingia ofisini, mtaruka na kukanyagana chawa nyieataropoka tu kama kawaida yake. Mpuuzi mkubwa
sikiliza clip hiyo.....halafu umwamini mtu kama huyo...if you are a sensible man, you can no longer trust that person! kama Idd Amin!
Kwenu matusi nini?Mbowe hakutukanwa ule ulikuwa muda wa kampeni ni jambo la kawaida watu kutofautiana wkt wa kampeni ndio maana hata yeye alirusha mawe upande wa pili, hayo majengo ni ya chama sio ya mbowe.
Embu na ninyi jaribuni kuruhusu demokrasia huko kwenu mruhusu ushindani kwa wagombea wenu uone kama hangaya hawajamchambua kama karanga.
Tulia na bado leo ndio kaingia ofisini, mtaruka na kukanyagana chawa nyie
Ulimkubali sana Lowassa hahaKama ilivyokuwa kwa Lowassa 2015, huu ni mwaka wa Tundu Lissu.
Kila anachogusa ni dhahabu!
Kwahiyo hayo ndio matusi, jinga kabisa veveHukusikia alivyokua anamwita mlamba asali, mtoa rushwa na mpokea rushwa??
Ugonjwa ulionao hata Mwamposa hawezi kukuponyaataropoka tu kama kawaida yake. Mpuuzi mkubwa
sikiliza clip hiyo.....halafu umwamini mtu kama huyo...if you are a sensible man, you can no longer trust that person! kama Idd Amin!
Zamani nilikuona MTU smart Sanaataropoka tu kama kawaida yake. Mpuuzi mkubwa
sikiliza clip hiyo.....halafu umwamini mtu kama huyo...if you are a sensible man, you can no longer trust that person! kama Idd Amin!
Mwambie Chadema sio Kampuni ni chama Cha Siasa na Mali ya UmmaJames Mbowe: Lema siyo Mchagga
😂😂😂😂
I amvery smart! very smart! Sikupenda Lisu alivyoropoka katika kampeni. Wenye akili tumemlaumu sana kwa hilo! sasa Issue ya Abdul imeishia wapi? Aliileta kupata madaraka, sikudhani kuwa Lisu angelikuwa that much hopeless!Zamani nilikuona MTU smart Sana
Kumbe ni chawa wa kiongozi
Mfumo tunaopiga vita kwenye serikali na vyama vya siasa
atamponya mama yakoUgonjwa ulionao hata Mwamposa hawezi kukuponya
ShwainiKwa hivyo mazuri yote aliofanya mbowe yamefanywa na chama. Mapungufu ya chama ni ya Mbowe. Lissu haraka haraka tunataka amsha amsha. Maaandamano mpaka tupate tume huru ya uchaguzi. Usiwe kama mbowe
Joyce Mukya unateseka sanaI amvery smart! very smart! Sikupenda Lisu alivyoropoka katika kampeni. Wenye akili tumemlaumu sana kwa hilo! sasa Issue ya Abdul imeishia wapi? Aliileta kupata madaraka, sikudhani kuwa Lisu angelikuwa that much hopeless!
Sina ubia na Mbowe hata kidogo. Sina lolote nilipatalo toka chadema, it was my faaaaaaaaaaaaaaaaaaaa walichokuwa wanakipigania, not otherwise! Kama Lisu angelifanya kampeni za kistaarabu, akapata uenyekiti, why not support him?
Mtu anabadili kauli , utamwaminije mtu kama huyo? Kesho atabadili kauli nyingine......
Mropokaji ataongezewa, na hakuna wakumpeleka nairobiMbowe hakutukanwa ule ulikuwa muda wa kampeni ni jambo la kawaida watu kutofautiana wkt wa kampeni ndio maana hata yeye alirusha mawe upande wa pili, hayo majengo ni ya chama sio ya mbowe.
Embu na ninyi jaribuni kuruhusu demokrasia huko kwenu mruhusu ushindani kwa wagombea wenu uone kama hangaya hawajamchambua kama karanga.
Tulia na bado leo ndio kaingia ofisini, mtaruka na kukanyagana chawa nyie