Pre GE2025 Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mfano leo hakuna kiongozi wa zamani aliyekuja ..hata kukabidhi ofisi
 
Dawa ipi? Mumemtukana sana na kumdhalilisha sana mzee wenu Mbowe. Kisa madaraka tena ya chama sio nchi. Kama hakufanya kitu mbona sasa mnatumia jengo alionunua yeye?
Mbowe hakutukanwa ule ulikuwa muda wa kampeni ni jambo la kawaida watu kutofautiana wkt wa kampeni ndio maana hata yeye alirusha mawe upande wa pili, hayo majengo ni ya chama sio ya mbowe.

Embu na ninyi jaribuni kuruhusu demokrasia huko kwenu mruhusu ushindani kwa wagombea wenu uone kama hangaya hawajamchambua kama karanga.
ataropoka tu kama kawaida yake. Mpuuzi mkubwa
sikiliza clip hiyo.....halafu umwamini mtu kama huyo...if you are a sensible man, you can no longer trust that person! kama Idd Amin!
Tulia na bado leo ndio kaingia ofisini, mtaruka na kukanyagana chawa nyie
 
Kwenu matusi nini?
 
ataropoka tu kama kawaida yake. Mpuuzi mkubwa
sikiliza clip hiyo.....halafu umwamini mtu kama huyo...if you are a sensible man, you can no longer trust that person! kama Idd Amin!
Ugonjwa ulionao hata Mwamposa hawezi kukuponya
 
ataropoka tu kama kawaida yake. Mpuuzi mkubwa
sikiliza clip hiyo.....halafu umwamini mtu kama huyo...if you are a sensible man, you can no longer trust that person! kama Idd Amin!
Zamani nilikuona MTU smart Sana
Kumbe ni chawa wa kiongozi

Mfumo tunaopiga vita kwenye serikali na vyama vya siasa
 
I amvery smart! very smart! Sikupenda Lisu alivyoropoka katika kampeni. Wenye akili tumemlaumu sana kwa hilo! sasa Issue ya Abdul imeishia wapi? Aliileta kupata madaraka, sikudhani kuwa Lisu angelikuwa that much hopeless!

Sina ubia na Mbowe hata kidogo. Sina lolote nilipatalo toka chadema, it was my faaaaaaaaaaaaaaaaaaaa walichokuwa wanakipigania, not otherwise! Kama Lisu angelifanya kampeni za kistaarabu, akapata uenyekiti, why not support him?

Mtu anabadili kauli , utamwaminije mtu kama huyo? Kesho atabadili kauli nyingine......
 
Attachments

  • SINA MPANGO WA KUGOMBEA UENYEKITI LISU.mp4
    7.1 MB
Kwa hivyo mazuri yote aliofanya mbowe yamefanywa na chama. Mapungufu ya chama ni ya Mbowe. Lissu haraka haraka tunataka amsha amsha. Maaandamano mpaka tupate tume huru ya uchaguzi. Usiwe kama mbowe
Shwaini
 
Attachments

  • images (13) (1)~2.jpeg
    images (13) (1)~2.jpeg
    16.3 KB · Views: 1
I amvery smart! very smart! Sikupenda Lisu alivyoropoka katika kampeni. Wenye akili tumemlaumu sana kwa hilo! sasa Issue ya Abdul imeishia wapi? Aliileta kupata madaraka, sikudhani kuwa Lisu angelikuwa that much hopeless!

Sina ubia na Mbowe hata kidogo. Sina lolote nilipatalo toka chadema, it was my faaaaaaaaaaaaaaaaaaaa walichokuwa wanakipigania, not otherwise! Kama Lisu angelifanya kampeni za kistaarabu, akapata uenyekiti, why not support him?

Mtu anabadili kauli , utamwaminije mtu kama huyo? Kesho atabadili kauli nyingine......
Joyce Mukya unateseka sana
 
Mbowe hakutukanwa ule ulikuwa muda wa kampeni ni jambo la kawaida watu kutofautiana wkt wa kampeni ndio maana hata yeye alirusha mawe upande wa pili, hayo majengo ni ya chama sio ya mbowe.

Embu na ninyi jaribuni kuruhusu demokrasia huko kwenu mruhusu ushindani kwa wagombea wenu uone kama hangaya hawajamchambua kama karanga.

Tulia na bado leo ndio kaingia ofisini, mtaruka na kukanyagana chawa nyie
Mropokaji ataongezewa, na hakuna wakumpeleka nairobi
 
Wananchi tunapendwa kweli 😜watetezi wetu wako moto.
 
Back
Top Bottom