Tundu Lissu, kabla ya kufuta Idara ya Maelezo, futa Idara ya Habari na Uenezi ya CHADEMA

 
Hahahaaaa.
Ngoja nikutest nijue kitu
[emoji443] wataisoma nambaaaaa
[emoji443]... mbele kwa mbele
Oooh ooooh
Mbona kama unayumba na hii rythm na machozi ya kijani?
 
CC:
CHADEMA
Tumaini Makene
Chadema Diaspora
Tafadhali chukueni hatua kuna baadhi ya hotuba za Lissu tunazikosa kwenye mtandao wa YouTube, au zinakuwa zimekatwakatwa sana badala ya full story.

Nadhani chadema online media ndiyo ingekuwa mainstream ya taarifa na hotuba za TAL hususani katika kipindi cha ukosefu wa Uhuru wa habari. Badala yake mnatufanya tusake huku na kule kwenye media zilizo censored.
 
Hili tatizo limelalamikiwa sana but tujiulize vyema

Unafikir wanapenda haya?? No rahisi sana kuongea ukiwa nje ila humo ndani hali ni tofauti sana.
 
Hili tatizo limelalamikiwa sana but tujiulize vyema

Unafikir wanapenda haya?? No rahisi sana kuongea ukiwa nje ila humo ndani hali ni tofauti sana.
Kwa hiyo unachosema ni kwamba ‘shida’ au ‘tatizo’ au ‘ki/vikwazo’ ni vipo ndani ya chama?
 

Makene anakulaga pesa za bure pale Chadema.
 

Hivi Nyerere sababu ndio alitupatia uhuru ilitakiwa ndio aendelee kutawala milele sio?

Chama kwa sasa kinahitaji damu changa ili kipambane na changamoto zilizopo,watu kama wakina Heche wangefaa sana na uzuri Chadema kuna ya vijana wengi tu wazuri.

Wakina Mbowe&associates wabaki kua washauri wa chama.
 
Human resource CHADEMA kwa sasa ni mtihani.

Huyu Tumaini Makene anafanya nini pale Mnyika yuko kimya as if siasa ni za kufanyia ofisini.

Where is Dr Marco's Albanie ?
 
Sasa Tundu ana mamlaka hayo?hivi hujui kuwa yeye kaajiriwa kugombea ili chama kipate ruzuku na kisha baada ya uchaguzi anarejea ughaibuni?
 
Asiyemtaka Mbowe aondoke yeye
 
Mbowe alishajiishia,Mnyika alishaexpire,hasa hasa Mbowe angekaa kando...anatupotezea muda
 
"mwamba tuvushe....."
 
Kapwaya wapi?!

Mlitaka habari gani, za kutunga?

Mi nadhani ana report baada ya kupata taarifa na ku verify, au mnataka taarifa yoyote anatakiwa aitoe bila verification yoyote?!

Kuna mambo naye anahitaji approval za wakubwa wake.

Sidhani kama kila taarifa inatakiwa kuufikia umaa kama mnavyotaka.

Hata huko ccm kuna habari zinavuja tu lakini hazitolewi na Polepole.

Kwasababu kuna habari huwa ni za ndani, sio kila habari ni ya public.

Mnaweza kuwachukia watu, lakini huu sio muda sahihi, huu ni muda wa kuwa makini.

Huu muda ukaharibu umeharibu.
 
Kweli Chadema Media wanatulet down sana, wameonesha Uwezo mdogo sana hadi Inatia hasira
 
Hata Mbowe naona kama yupo yupo tu! Mbowe kuchaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa CDM aliweka mikakati mizito ikiwa ni pamoja na hatua za kuchukua juu ya ule ucgafuzi wa serikali za mitaa 2019. Kilichoendelea anakijua mwenyewe! Inawezekana hata haya yanayotokea sasa ya wagombea kupigwa na kunyang'anywa fomu ni matokeo ya kunyamazio ule unaoitwa uchaguzi au uchafuzi wa serikali za mitaa.
 

Sina shaka kuwa Mbowe kakipambania sana hiki chama, ila kwa sasa kafika mwisho. Na hiyo ni hali ya kawaida kuwa binadamu hufikia mwisho. Wakati ukuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…