No democracy in chama cha demokrasia na maendeleo.Hili tatizo limelalamikiwa sana but tujiulize vyema
Unafikir wanapenda haya?? No rahisi sana kuongea ukiwa nje ila humo ndani hali ni tofauti sana.
Wanawalaumu tu bure kama kitengo hakipewi resilimali fedha unategemea miujiza ya niniKwakweli ,ngoja mpaka kesho jion km alivyosema mkuu Lissu.
Baada ya hapo hii idara haipaswi kuwepo kama hawatafanya mabadiliko.
Haiwezekani chama kichanga km ACT Kiwe makini kihabari kushinda CDM.
Tatizo kawa mwenyekiti wa kudumu. Ame expire sasa.Sina shaka kuwa Mbowe kakipambania sana hiki chama, ila kwa sasa kafika mwisho. Na hiyo ni hali ya kawaida kuwa binadamu hufikia mwisho. Wakati ukuta.
Andazi?Makene ana kinyongo baada ya kupata habari za kutafuniwa
Kichwa cha habari chahusika.
Idara ya habari ya CHADEMA ina matatizo mengi, nikianza kuyataja yote tutajaza ukurasa huu.
Kuna tatizo la kutotoa habari kwa wakati.
Pia wanatoa habari zikiwa zimekatwa-katwa.
Zaidi hawamuandai mgombea kwa maswali anayoulizwa na waandishi wa habari.
In short, these people need to wake up. Wanakiangusha chama na wanamuangusha mgombea Urais.
Wekeni majungu na mizaha pembeni. Huu siyo wakati wala sehemu yake. Hoja hapa nikuimarisha chama. Siyo vema kurushiana madongo wala lawama kwa wakati huu.Makene ana kinyongo baada ya kupata habari za kutafuniwa
Hili jambo linahitaji twende taratibu tutagawanyika, hapa tu ziko dalili za mgawanyiko ndani yetuSina shaka kuwa Mbowe kakipambania sana hiki chama, ila kwa sasa kafika mwisho. Na hiyo ni hali ya kawaida kuwa binadamu hufikia mwisho. Wakati ukuta.
vipi idara ya habari za TBC na LUMUMBA ambayo hata kutoa habari hawatoi? wao si waambie si watanzania kabisa?Kichwa cha habari chahusika.
Idara ya habari ya CHADEMA ina matatizo mengi, nikianza kuyataja yote tutajaza ukurasa huu.
Kuna tatizo la kutotoa habari kwa wakati.
Pia wanatoa habari zikiwa zimekatwa-katwa.
Zaidi hawamuandai mgombea kwa maswali anayoulizwa na waandishi wa habari.
In short, these people need to wake up. Wanakiangusha chama na wanamuangusha mgombea Urais.
Tatizo kawa mwenyekiti wa kudumu. Ame expire sasa.
Chadema mnataka viongozi wanaojua kupayuka na siyo kujenga hoja kwa utulivu.
Mbowe kwa sasa amekomaa kifikra, anajenga hoja badala ya kupayuka ndo maana mnamwona kama hafai. Bila mbowe chadema itakufa kesho asubuhi. Jaribuni muone. Wajumbe wamewauza wanachama. Lisu hafai kubeba maono ya chama. Nyalandu ndiye aliefaa.
Hili jambo linahitaji twende taratibu tutagawanyika, hapa tu ziko dalili za mgawanyiko ndani yetu
Kwa kiasi fulani unachosema ni sahihi. Media ya chama kikuu cha upinzani ni lazima ioneshe weledi wa juu kuanzia kukusanya habari, uchambuzi, reporting na hata kuwaandaa watu wake ku-deliver special remarksKwa kweli, Mwenyekiti Mbowe amepoa sana, Katibu Mkuu ndio amelala kabisa usingizi, Idara ya Habari Kimnya na habari wanazotoa ni vipande vipande tu kama tetesi hazina maelezo na way forward. Yaani wanaripoti kama uzishi tu wala hakuna muelekeo wanachukua hatua gani.
kweli kabisaKwakweli ,ngoja mpaka kesho jion km alivyosema mkuu Lissu.
Baada ya hapo hii idara haipaswi kuwepo kama hawatafanya mabadiliko.
Haiwezekani chama kichanga km ACT Kiwe makini kihabari kushinda CDM.
Concur with you.Kichwa cha habari chahusika.
Idara ya habari ya CHADEMA ina matatizo mengi, nikianza kuyataja yote tutajaza ukurasa huu.
Kuna tatizo la kutotoa habari kwa wakati.
Pia wanatoa habari zikiwa zimekatwa-katwa.
Zaidi hawamuandai mgombea kwa maswali anayoulizwa na waandishi wa habari.
In short, these people need to wake up. Wanakiangusha chama na wanamuangusha mgombea Urais.
......Naunga Mkono Hoja Mkuu kuna hili bango nimelitengeza sijuwi wamelionaTutahakikisha idara ya habari inang'olewa yote , ni wapuuzi sana na wako kama konokono , hatutaki ujinga kabisa , mleta uzi ni kama amechokoza nyuki , na kwa kweli kama kuanzia kesho hawajang''olewa patachimbika , sasa baaaasi !
Baadhi wananifahamu lakini Liwalo na liwe , hatutafuga ujinga