Tundu Lissu: Kama mlifikiri kutufutia kesi ni hongo tunyamaze siku mkituibia, hiyo haipo

Kwa ‘Tundu Lissu’ yeye kupewa kile anachoamini ni haki yake hiyo sio fadhila.

Usitegemee ukimpa kile alichokua anadai huku akiamini ni haki yake (either unaafiki au la) baada ya hapo ataanza kulamba miguu; hilo kwake halipo.

As a far as he is concerned that was his right in the first place only deprived by authorities.

Akishapata chake ni mipasho kama kawaida; shida yake ni mwanasiasa muongo sana anapokuwa jukwaani.
 
Huyu jamaa MUNGU ampe maisha marefu haswa, kwanini Rais asimteue kuwa Jaji Mkuu?
 
Post Traumatic Stress Disorder/ Post Traumatic Stress Syndrome (PTSD/PTSS)
 
A bold man earth
 
Taja uongo wake tufananishe na wa Samia bendera ya Kenya kule Dubai ama wa Majaliwa kuhusu afya ya Magu.
 
Hana lolote huyo chiba; mbona alikimbilia ubelgiji?[emoji23]
Unaandika kama umekalia chuma cha moto!
Chama kizima mnachojinadi mko sijui milioni 5 lakini wote mnamshindwa na kuziogopa hoja zake.
Hivi unajua kuwa Lissu mfano amwambie Samia nataka kuja CCM sherehe hiyo itakuwa mapumziko ya kitaifa? Nakuambia ataulizwa tukupe kazi gani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…