Tundu Lissu: Kama mlifikiri kutufutia kesi ni hongo tunyamaze siku mkituibia, hiyo haipo

Hili jamaa linaongea kama chizi tu sasa nani ameiba nini? Si waende mahakamani kama kuna mali imeibiwa?
 
Sisi ukitufunga bure TUTAKUSEMA, ukituachia baada ya kutufunga bure TUTAKUSEMA, ukiiba TUTAKUSEMA, ukigawa nchi yetu kwa wageni TUTAKUSEMA, na tutakusema mchana kweupe, sisi hatuhongeki, kama mlifikiri mnatuachia kama hongo, hiyo haipo..." Tundu Lissu.[emoji419][emoji375]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuko sahihi ila kutukana na kupotosha haikubaliki, ashughulikiwe Kwa muktadha huo.
 
Du! Hapa dawa ya madalali ni kurudisha tu hela za mwarabu hakuna namna
Tatizo ni kwamba walishatumia pia waliahidiwa kuwa endorsed kwenye coming general election 2025. Yaani watu wanajijali wao na si majority nzima ya watanzania. Inauma sana
 
Mungu aendelee kumlinda Tundu Lisu na amuepishe na mabalaa ya kutengenezwa na serikali ya CCM.
 
Hana lolote huyo chiba; mbona alikimbilia ubelgiji?[emoji23]
Alienda Ubelgiji Kutibiwa baaya ya Jaribio la Kishamba na la Kioga lililo ratibiwa na Mwendakuzimu Jiwe la kutaka Kumuua Ku fail.
Mungu akamkingia Lissu Mkono dhidi ya Kifo, covid-19 ikaja Tanzania na Kutambaa na Yule Ibilisi Jiwe Mwendakuzimu
 
Toa mifano ya mambo ya uongo aliyowahi kusema,usipotoshe watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…