Tundu Lissu: Kama mlifikiri kutufutia kesi ni hongo tunyamaze siku mkituibia, hiyo haipo

Kumbe zilifutwa!..........."Kuna mambo mengine nayaona Tanzania pekee"(Kinana-mzee wa ndovu)
 
Tundu Lissu kwa sasa ni mwanasiasa mwenye upepo zaidi nchini, aichange karata yake vizuri.
 
Oooh Lissu ameenda OPP! Mzee Kinana nimemfuatilia na Lissu nimemfuatilia sana. The issue is diction! Lissu hachugui maneno lugha yake kinachotoka mdomoni hata kama ni tusi kubwa twende! Hiki ndicho alichokisema Mzee Kinana. Lugha gani ya kutumia uhuru wa maoni? Lissu na Chadema hawakuambiwa wasiongee. 🙏🙏🙏
 
Kama mama yako ni mwizi utanyamaza? au utaacha afunzwe na ulimwengu.
 
Alienda Ubelgiji Kutibiwa baaya ya Jaribio la Kishamba na la Kioga lililo ratibiwa na Mwendakuzimu Jiwe la kutaka Kumuua Ku fail.
Mungu akamkingia Lissu Mkono dhidi ya Kifo, covid-19 ikaja Tanzania na Kutambaa na Yule Ibilisi Jiwe Mwendakuzimu
Mbona alirudi na kufanya kampeni bila bugdha na akakakimbia baada ya hapo?
 
Siku hizi umekuwa mjinga mpaka nakuhurumia, na nilijua tu toka siku ile ulipojitangaza kumuunga mkono Samia, ukihamia huko lazima akili zako umkabidhi mwenyekiti, jione sasa ulivyo!

Debe tupu.

Ngumi 70 sehemu ileile
 
Chizi Lissu katika ubora wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…