Tundu Lissu: Kama msimamo wa Rais Samia ndio huu, tujiandae kwa mapambano makali na magumu mbeleni

Baada ya kushinda ale bila bughudha! na madaraka yake yasipunguzwe!! ni katiba hii tu inayotowa mwanya huo!!!
 
Lisu ndo mtu wa kwanza kukimbia mapambano arudi aje apambanie hapa bongo asiwaingize chaka wenzie ilhali yeye anakula bata huko aliko.
 
Wewe utaanza chinjana na nani ?! Ndugu zako au jirani zako?
Kuchinjana ni neno general tu..nilicho maanisha ni kuwa watu kuingia barabarani na kuelezea madai yao yatakayowapa fursa ya kuwatoa CCM madarakani..mfano katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
 
YU wapi sasa? aje tujenge kwa pamoja,

..labda atarejea kama atahisi atakuwa salama.

..aliweza kurejea nchini wakati wa uchaguzi kwasababu alikuwa na ulinzi na macho ya jumuiya ya kimataifa yalikuwa yakiangazia Tz.

..pia kuna kesi 6 za kisiasa alizofunguliwa na serikali ya awamu ya 5.

..Hawezi kujileta Tz halafu aishie kufungwa wakati hali yake tangu ashambuliwe haimruhusu kukaa gerezani.
 
Basi aache kuwachochea wasiojielewa! maana wengine wanakuwaga na mahaba bila hata kufikiri!!
 
Bora iwe hivyo kuliko nchi kuliwa na hawa ma ccm majambazi.
 
Tumeshawasilisha mihoja uchwara unazotaka wewe kusikia hadi tumechoka. Sasa tumesema baas liwalo na liwe. Mama tutamsamehe.
Ww bwn Maghayo,Copen Hagen,Ngusero acha fujo....jikite kwenye siasa safi
 
Sawa.....

Ukivunjwa miguu nitakuletea binamu yangu Bashiru Zembwe mje kupeana POLE NA KUTIANA MOYO....kwani yeye Sasa hivi anatembelea CHA MAGURUDUMU 3 baada ya ile kadhia ya CUF......
Acha uoga wewe hakuna nchi iliendelea kwa mawazo kama hayo yako ya kioga oga.
 
Mama alianza vimbaya kwa sabaya, hao aliotaka kuwafurahisha, ndo hivo wanaanza kumpa jina la Magufuli wa kike.
Mama wake up and apply Magu model, bila hivo miaka hii minne utaiona kama buku. Hao ndiyo wapinzani wetu wameanza kukubeep
 
Acha uoga wewe hakuna nchi iliendelea kwa mawazo kama hayo yako ya kioga oga.
Sawa....

Bora ya wewe MWEREVU....

Ndugu yangu Bashiru naye alikuwa jasiri kama wewe....🤣

Kila la heri mkuu....

KAMANDA MULIRO IN TOWWWWWWN DIIIIZIM!!!
 
Mama alianza vimbaya kwa sabaya, hao aliotaka kuwafurahisha, ndo hivo wanaanza kumpa jina la Magufuli wa kike.
Mama wake up and apply Magu model, bila hivo miaka hii minne utaiona kama buku. Hao ndiyo wapinzani wetu wameanza kukubeep
Ye (mama) anafikiri Magu alikuwa mkaksi kwa sababu ya haiba binafsi ya Magufuli, no, nchi hii na watu wake walimlazimisha awe mkaksi. Mtu karithi nchi ambayo watu wake wapo busy kubuni namna gani ya uhakika zaidi ya kuitafuna serikali, wawe wa sekta ya umma au sekta binafsi, wawe wapinzani au wa chama tawala. Mtu kaingia kaipanga upya ( hata kama kwa shida sana na si kwa ukamilifu), afu mtu anakuja kuvuruga na kuua yote yaliyojengwa tena kwa gharama ya uhai wa rais wa nchi. Hapana kwa kweli, na hiyo kitu itamtesa sana mama.

Sisi tupo tu hapa tuna popcorn zetu kucheki hili gemu linakwendaje. Soon or later muda utaamua. Mwisho wa yote mama ana option mbili: aidha akubali kufuata model ya JPM ya Tanzania kwanza Ulimwengu baadaye, au akubali kuwafuata mabeberu na vibaraka wao akina Lissu. Mwisho wa siku haitakuwa rahisi kuvuruga yote aliyoyajenga JPM na 2025 tutarudi hapa kuzungumza mengine.
 
"Kwa gharama ya uhai wa Rais.."

Kwani Magu aliuliwa au alipata ugonjwa uliosababishwa na yeye kuipambania TZ?..Sio kilikiwa kifo cha kawaida?,au alikuwa na guarantee ya kuishi milele?
 
"Kwa gharama ya uhai wa Rais.."

Kwani Magu aliuliwa au alipata ugonjwa uliosababishwa na yeye kuipambania TZ?..Sio kilikiwa kifo cha kawaida?,au alikuwa na guarantee ya kuishi milele?

Yote hayo ni majawabu sahihi.

"Kwani Magu aliuliwa?"

Attempts kuhusu maisha yake zilishawahi kujitokeza mapema sana akiwa Luhangwa huko Lindi akihutubia, lakini haikufanikiwa mara hiyo. Waliojaribu walienda kujipanga upya.

"alipata ugonjwa uliosababishwa na yeye kuipambania TZ?"

Attempts walizofanya maadui zake (na wa nchi hii bila shaka) zilisababisha ionekane ni ugonjwa wa kawaida (ndivyo wanavyotutangazia wale waliotangaza sababu ya kifo cha JPM). Lakini inaeleweka wazi kabisa kwamba the man alifariki akiwa frontline katika vita ya kuifanya Tanzania iwe nchi ya kuhesabika ulimwenguni kiuchumi na katika nyanja zinginezo za heshima ya mwanadamu. Kauli yake iliyo public siku za mwishoni mwishoni za uhai wake ilikuwa pale alipozindua daraha la Kijazi Ubungo kwamba hii nchi kila mmoja wetu afanye kazi kwa bidii bila kuogopa lile wala hili -- kama ni kufa wacha tufie kazini. Kauli ya kishujaa kabisa aliyoiishi yeye mwenyewe binafsi!

"Sio kilikiwa kifo cha kawaida?,au alikuwa na guarantee ya kuishi milele?"

Of course, yes, hakuna mwenye guarantee ya kuishi milele. La muhimu ni quality ya maisha tunayoyaishi hata kama ni kwa muda mfupi tu, yenye athari chanya kwa vizazi tunavyoacha nyuma.
 
A
Acha ujinga mwambie mama aruhusu mikutano na katiba mpya.Hayo mashambulizi kwake yatakwisha la sivyo mtatupiga risasi kwa kushindwa kujibu hoja.
 
Mjaribu muone! Tutawafuata hadi Ubeleji na Canada na kuwashughulikia. Nyie jaribuni tu!!!
Nguvu ya umma ikiamua, hamna cha kufanya! Mtakuwa wa kwanza kuikimbia nchi kama yule kunguru mwenzenu wa Eswatini, aliyewekeza kwenye kudinya tu wanawake, huku wananchi wake walio wengi wakiendelea kuishi katika dimbwi la umaskini na maradhi!
 
Namkubali sana Tundu Lissu. Huwa amun’gunyi maneno.
Nadhani hii ndio ilipelekea kuvurumishiwa marisasi kama jambazi sugu kipindi cha mwendazake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…