gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 3,915 Reaction score 6,272 Feb 16, 2025 #241 uttoh2002 said: Jamaa ananyoka na Sheria; Kama kweli hamuutaki ushoga, badilisheni Sheria ya faragha! Mibongo mi mtu minafiki sana, si pale bungeni wabadili Sheria ya faragha basi? Click to expand... Kwenye sheria humohumo hakuna kifungu kinachokataza mapenzi jinsia moja?
uttoh2002 said: Jamaa ananyoka na Sheria; Kama kweli hamuutaki ushoga, badilisheni Sheria ya faragha! Mibongo mi mtu minafiki sana, si pale bungeni wabadili Sheria ya faragha basi? Click to expand... Kwenye sheria humohumo hakuna kifungu kinachokataza mapenzi jinsia moja?