Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kama Serikali ya CCM inapinga kweli ushoga basi ikafute kipengele cha Katiba kinachoinyima Serikali kuingilia faragha ya mtu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kama Serikali ya CCM inapinga kweli ushoga basi ikafute kipengele cha Katiba kinachoinyima Serikali kuingilia faragha ya mtu

binafsi wala sikutegemea hata auzungumzie,sijui amewaza kitu gani!!!
 
Akili ndogo kama hizi hubabaika sana....
pindi wimbi la nwenye akili anapotoa hoja

mkuu kufilwa wewe filwa tu ndani kwako hamna shida,shida ni kuanza kuutangazia umma.

hapo utaharibu.

ni kweli hajakosea,serikali haiingilii faragha ya mtu.
 
mkuu kufilwa wewe filwa tu ndani kwako hamna shida,shida ni kuanza kuutangazia umma.

hapo utaharibu.

ni kweli hajakosea,serikali haiingilii faragha ya mtu.
Kama ww na Baba yako mnavyo rwafi....
 
Just imagine unaulizwa na jumuhuri kwanini umepiga ta.ko tatu?
 
Alafu mbona ushoga upo siku nyingi bongo. Nazani serikali inapinga ushoga kufanyika hadharani. Yaani kama mtu ni shoga basi afanyie faragha kwake hakuna wa kumsumbua. Katika hilo la ushoga niko na serikali. Hakuna kuhalalisha ushoga nchini kwetu.
Hata mimi naunga mkono kutokuhalalisha ushoga Ila watu watajuana huko mavyumbani mwao, ukipost tu mtandaoni Ina kula kwako
 
1601466332711.png


..ccm mnasema unapinga ushoga halafu mwenyekiti unamuunga mkono Babu Seya mlawiti watoto.

..huu ni UNAFIKI na ULAGHAI uliopitiliza.
 
hii ni haki yako ya faragha,ungana na mgombea wako kuitetea.usijefungwa na kulipishwa fine kama james na maccm.

au nakukwaza mkuu[emoji13][emoji13].
Ww na baba yako mpo huru kufanya hayo mambo mmetetewa hapo.....
 
Ww na baba yako mpo huru kufanya hayo mambo mmetetewa hapo.....

lissu ana wafuasi wake kama wewe,mimi na mzee wangu hatupo.hatukubaliani na ushoga uwe mafichoni au wazi wazi kama mnaofanya hapa jf.
 
Kwa hiyo kwa mwendo huu chama cha Lissu kina support ushoga, na Lissu ana support ushoga. Tanzania haikubaliani na ushoga.

Ushoga sio faraga ila swala la mke na mume ndio faraga.
 
tambua katiba mkuu,katiba inatambua uhuru wa faragha.
inakataza ushoga.

kama faragha mnafanya ushoga basi hakikisheni hautoki nje,mtakamatwa na kufunguliwa mashtaka.

wanaharakati wa ushoga wanataka ushoga ukubalike kama uhuru binafsi,lissu bila kujua anajichafua anatetea hilo,kwa kusema serikali inatambua faragha[emoji3063][emoji3063].
Wapi katiba imekataza ushoga??? Taja kifungu?
 
Back
Top Bottom