Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili ndogo kama hizi hubabaika sana....
pindi wimbi la nwenye akili anapotoa hoja
Kama ww na Baba yako mnavyo rwafi....mkuu kufilwa wewe filwa tu ndani kwako hamna shida,shida ni kuanza kuutangazia umma.
hapo utaharibu.
ni kweli hajakosea,serikali haiingilii faragha ya mtu.
[emoji23][emoji23] ni mwendo wa kukunana tu sasaKumbuka yupo vitani, kama adui zake wakina polepole wamemchonoa, ni vibaya wakikunwa ?
Hata mimi naunga mkono kutokuhalalisha ushoga Ila watu watajuana huko mavyumbani mwao, ukipost tu mtandaoni Ina kula kwakoAlafu mbona ushoga upo siku nyingi bongo. Nazani serikali inapinga ushoga kufanyika hadharani. Yaani kama mtu ni shoga basi afanyie faragha kwake hakuna wa kumsumbua. Katika hilo la ushoga niko na serikali. Hakuna kuhalalisha ushoga nchini kwetu.
Walimkamataga Amber Lutty enzi za BASHITE, sina uhakika kosa ni kupost mtandaoni au la?NI NANI ALISHAKAMATWA NA KUSHITAKIWA KWA KOSA LA USHOGA?CCM IMEISHIWA HOJA
Yuko sahihi kabisa the problem ya society yetu na unafikiKwanza kajibu vibaya??? Amejibu sahihi
Kama ww na Baba yako mnavyo rwafi....
Ww na baba yako mpo huru kufanya hayo mambo mmetetewa hapo.....hii ni haki yako ya faragha,ungana na mgombea wako kuitetea.usijefungwa na kulipishwa fine kama james na maccm.
au nakukwaza mkuu[emoji13][emoji13].
Ww na baba yako mpo huru kufanya hayo mambo mmetetewa hapo.....
Na wengine watauluzwa mbona mna vibamiaHahahaa yani nimecheka. Tutaanza kuulizana wewe mbona una bwawa
Na wewe acha ujinga, unayoyafanya wewe na hawara zako huko vyumbani sisi tunajua? Shwain
Walimuuliza ikabidi awajibieLissu naye aachane na ushoga hyo ni minor issue, na Mambo binafsi
Au"Wewe mbona hufanyi sawasawa". Hahahahaha
Wapi katiba imekataza ushoga??? Taja kifungu?tambua katiba mkuu,katiba inatambua uhuru wa faragha.
inakataza ushoga.
kama faragha mnafanya ushoga basi hakikisheni hautoki nje,mtakamatwa na kufunguliwa mashtaka.
wanaharakati wa ushoga wanataka ushoga ukubalike kama uhuru binafsi,lissu bila kujua anajichafua anatetea hilo,kwa kusema serikali inatambua faragha[emoji3063][emoji3063].
Wapi katiba imekataza ushoga??? Taja kifungu?