Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PIA USA NA EUROPEAN COUNTRIES WA FUTILIE MBALI MISAADA!!!Waifutie Tanzania uanachama .
Najua hatua hii ya Lissu imekuumizeni sana kwani hamkuitarajia! Kiukweli anazicheza karata zake kiueledi sana!Wananguvu gani kwan au ndo wataishia kusikitishwa
Drone zipo Mombasa kwenye kambi za wamarekani zinamchunguza nyendo zake hasa ukizingatia Marekani wametoka kuendesha mafunzo ya kijeshi Tanzania wamejua siri nyingi na kuwapandikiza CIA ndani ya Jwtz
Hakuna jipya hapo,walianza CUF fitna hizo mpaka leo makaratasi yanafungiwa urojoMambo ndiyo kwanza yanaanza ‘Aluta Continue’.
Basi kunywa chai ulaleHakuna jipya hapo,walianza cuf fitna hizo mpaka leo makaratasi yanafungiwa urojo
AMINA MKUUKumekucha !
Matatizo ya kushindia kahawa haya muda wote umejawa na hasira na matusi relax utapata ugonjwa wa figo!Katika watu wapumbav hapa nchini wewe ni mmoja wapo.sikufahamu lakini nakudharau sana . Yaani mtu anadai haki yake wewe unajitia vidole na kunusa ati analialia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapumbavu bwana!!!!sijaja duniani kushinda na na mtu kimaisha aidha huyo Tundu Lissu hivi Sasa Ni omba omba tu ulaya.Ok tufanye Tundu Lisu hajarudi bungeni wewe unafaidika na nini? Masikini kwa roho mbaya. Hata Lisu asipokiwa mbunge hadi ccm ife bado hauwezi mfikia maisha hata robo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazani kuwa mwanachama kuna madhara! Hawana meno, wano mdomo tu.Bunge lako ni mwanachama wa hichi chombo, wewe endeleza ngonjera zako tu.
Nchi yetu tukiwa Huru na Akili Timamu na wenye kujitambua, Kwa hiyari yetu tulijiunga na Jumuia hii tukiamini kuwa ni jumuia sahihi kutatua migogoro ya Raia wanao onewa na kufanyiwa FIGISU kwenye nchi zao na hivyo Watafute haki kupitia Taasisi hiyo.masluphill,
Kwa hiyo unashauri kujipendekeza kwa Waharibifu ili wakusaidie nini. Wale wenyewe wamekataana au unataka laana ya kukataana