Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

Wananguvu gani kwan au ndo wataishia kusikitishwa
Najua hatua hii ya Lissu imekuumizeni sana kwani hamkuitarajia! Kiukweli anazicheza karata zake kiueledi sana!

CCM mlishauriwa sana kuwatosa wote waliohusika na tukio lile la kumshambulia na mkubali kuwa mlifanya makosa Sana kukubali ushauri wa kifedhuli wa baadhi yenu ambao lengo lao lilikuwa kujijengea umaarufu kwa mtawala wenu mmakaidi!

Laiti ungalijua nguvu ya mabunge ya nchi zinazoheshimu haki za binadamu kuwa ndiyo yanayofanya maamuzi na hatua za kuchukua kwa serikali zao usingewaza hivi! Wao sio Kama wenu wanaojigeuza sehemu ya serikali yaani kuunga juhudi bali ndio hupanga na kuusimamia serikali!

Mnazidi kupotezwa na kutoswa kwa kunyimwa misaada na mikopo halafu mmajipa moyo! Poleni mno!
 
Hayo ni Matamushi tu. IPU haina mandate yoyote kwa Tanzania hiyo ni wrong move. Chombo ambacho hakitambuliki nchini kinaanzanje kuingia hapa TZ? Chombo ambacho kina mdomo tu hakina meno.

Kama wanampenda sana sana wampatie tu hifadhi na chakula.

Lakini kwa malamiko yake hadi sasa hayana mashiko tena.

Tatizo yeye ni mmoja afu adhabu ikija TZ inaangalia nani mwenye kosa. Unaposema serikali wakati kuna bunge kuna mahakama n.k .. bado mambo hayakai sawa.

Pole sana TL wetu lakini masirahi binafsi yanakufanya uwe mtumwa nchi za ugenini.

Huku tunasubiri SGR ikamilike tuanze kuji noma!
 
Kina Slobodan Milosevich walichukuliwa mmoja mmoja walikuwa wababe kweli kweli!!

Muda utasema wameanza na Bashite, au mnaona ni wajinga?
Dalili ya mvua mawingu, huyo Lissu ni Lawyer sio mtu baki, moves ziko calculated hadi mwisho!!
 
Duh,.wameshaweka tayari kama walivyowafanyia kabila, kuwa tunalinda raia wetu, vurugu zozote zikitokea wanaingia ndani kulinda raia wao, let's wait and see.
Drone zipo Mombasa kwenye kambi za wamarekani zinamchunguza nyendo zake hasa ukizingatia Marekani wametoka kuendesha mafunzo ya kijeshi Tanzania wamejua siri nyingi na kuwapandikiza CIA ndani ya Jwtz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok tufanye Tundu Lisu hajarudi bungeni wewe unafaidika na nini? Masikini kwa roho mbaya. Hata Lisu asipokiwa mbunge hadi ccm ife bado hauwezi mfikia maisha hata robo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapumbavu bwana!!!!sijaja duniani kushinda na na mtu kimaisha aidha huyo Tundu Lissu hivi Sasa Ni omba omba tu ulaya.
 
Idd Ninga,
Kuna wengi wanaposikia serikali imenyimwa au kupunguziwa misaada wanachekelea sana ila hawajui mateso wanayopita hasa wafanyabiashara kwa kutozwa kodi kubwa, adhabu zisizoeleweka ili tu mapato ya serikali yapatikane na mipango iendelee kama ilivyokuwa imepangwa kabla ya misaada kusitishwa au kupunguzwa.
 
masluphill,
Kwa hiyo unashauri kujipendekeza kwa Waharibifu ili wakusaidie nini. Wale wenyewe wamekataana au unataka laana ya kukataana
Nchi yetu tukiwa Huru na Akili Timamu na wenye kujitambua, Kwa hiyari yetu tulijiunga na Jumuia hii tukiamini kuwa ni jumuia sahihi kutatua migogoro ya Raia wanao onewa na kufanyiwa FIGISU kwenye nchi zao na hivyo Watafute haki kupitia Taasisi hiyo.

USHAURI KWAKO:-
Raia yeyote kutoka nchi mwanachama wa jumuia hiyo kupeleka Mashitaka SIO KUJIPENDEKEZA ila hilo ni miongoni mwa malengo yaliyopelekea Kama TAIFA HURU Tujiunge nao.
Hivyo Jitafakari juu ya mtazamo wako katika kusimamia Ukweli.
 
Back
Top Bottom