Tundu Lissu: Kifo au ugonjwa wa kiongozi yeyote haufichiki. Tuambieni alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

Tangu wamuue JPM hawajawahi kuwa na amani
Kwa kweli, pasingekuwepo na Corona wakati huo, nami ningekuwa naamini kabisa kwamba hawa watu ndani ya hicho chama walimwondosha Magufuli; maanake mambo yao sasa ni ya ajabu ajabu sana. Hayaeleweki kabisa.
 
Kuanzia Moringe, Kolimba, Nyerere, n.k list ni ndefu sana. Na mashaka ni mengi mno! Lakini ukiunganisha dots zinatally
 
Hata mimi nimeanza kuchoka sasa, yuko wapi makamu wa Rais? Machinery zetu zinachukuliaje huu ukimya?

Its enough! Yuko wapi Makamu wa Rais? Mnafanya watu tujae hisia mbaya kinachowatokea viongozi wetu. What is going on?
 
Serikali zote duniani zina taratibu zake za kiutendaji na utoaji wa taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…