Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ya nini sasa?Na katiba mpya ishapatikana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya nini sasa?Na katiba mpya ishapatikana?
Si nyie wazee wa viajendaYa nini sasa?
ccm mnachuma laana. Waambie wenzakoDuh
Nakumbuka Wakati Shujaa Magufuli haijulikani alipo J J Mnyika alitishia kutoa siri
Sasa tena J J naniliu yuko Marekani kwa akina dada wa Taifa!
Kwani alimeza dawa zake??Waziri mkuu si alitoa tamko juzi?
Sawa kwani tumekuja kusoma hapa bwege wewe unaekariri,kiingereza cha Oxford huwezi kuelewa ukiwa umesoma tandahimba shule ya msingi.Poor english.
Sawa zipi tena mkuuKwani alimeza dawa zake??
Na CDM ni wachafu zaidi ya NGURUWECCM WAMEJAA VILAZA.
MAKAMASI
We bwege babako ndio alimwua JPM.Tangu wamuue JPM hawajawahi kuwa na amani
Km rais anaweza kuawa kirahisi basi alikuwa lofa km weweTangu wamuue JPM hawajawahi kuwa na amani
Sawa mamaKm rais anaweza kuawa kirahisi basi alikuwa lofa km wewe
Hapana dadaWe bwege babako ndio alimwua JPM.
Kwa kweli, pasingekuwepo na Corona wakati huo, nami ningekuwa naamini kabisa kwamba hawa watu ndani ya hicho chama walimwondosha Magufuli; maanake mambo yao sasa ni ya ajabu ajabu sana. Hayaeleweki kabisa.Tangu wamuue JPM hawajawahi kuwa na amani
Nguruwe ana uchafu gani?Na CDM ni wachafu zaidi ya NGURUWE
Kuanzia Moringe, Kolimba, Nyerere, n.k list ni ndefu sana. Na mashaka ni mengi mno! Lakini ukiunganisha dots zinatallyKwa kweli, pasingekuwepo na Corona wakati huo, nami ningekuwa naamini kabisa kwamba hawa watu ndani ya hicho chama walimwondosha Magufuli; maanake mambo yao sasa ni ya ajabu ajabu sana. Hayaeleweki kabisa.
Serikali zote duniani zina taratibu zake za kiutendaji na utoaji wa taarifa.Tundu Lissu kupitia akaunti binafsi ya mtandao wa X ameandika,
'Hivi Serikali hii ilijifunza chochote juu ya kifo cha Magufuli mwaka juzi? Kifo au ugonjwa wa kiongozi mkuu wa nchi havifichiki! Kufichaficha kunaleta hisia mbaya za mchezo mchafu dhidi yake. Jisafisheni! Tuambieni aliko Makamu wa Rais Phillip Mpango sasa!'
Pia soma > Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu
MmmmmNa kwanini vifo viwe vya wakristo peke yake? Kuna nini hapo je waislam wana agenda ya kujitwalia dola au