secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,838
- 8,653
Mwambieni auze sera za maendeleo sio kila siku anazungumza story moja ya kupigwa risasi hiyo tumeichoka. Anaboreshaje maendeleo ie kilimo, biashara, afya elimu nkNimeshindwa cha kuandika zaidi ya Mwenyezi Mungu ni mkubwa.
Nimeshindwa cha kuandika zaidi ya Mwenyezi Mungu ni mkubwa.
Eti eeh, story isiyochosha kuisikiliza ni kujenga stzz A naar gauge rail, kujenga fly-over, kujenga vitro vya afya, bwana la umeme, Chato International Airport na Rubondo National Park.Mwambieni auze sera za maendeleo sio kila siku anazungumza story moja ya kupigwa risasi hiyo tumeichoka......
Hata na ww unatenda dhambi ya kudhania bure!!una hakika uyasemayo ama unaokota tu vijiweni unabandika hapa!!?Kwakweli inaumiza sana ! Hii dhambi kubwa ya mauaji Magu haitamwacha salama kabisa the rest of his life.Yeye ni mkristo na Biblia inatufunza kuwa hakuna binadamu mwenye mamlaka juu ya uhai wa mtu mwingine isipokuwa ni mwenyezi Mungu tu.Roho ya ajabu sana hii kutaka kutwaa roho ya mwenzio kisa madaraka.Mungu kaanza na Lupaso sasa !!
Njia aliyoipitia Tundu Lisu na mateso aliyoyapitia, hakuna ajuaye, zaidi ya Yeye na Mungu wa Jweli tunayemwabudu.
Hapo zamani kila upatanisho au mkataba uligungwa kwa damu. Na baadaye Masihi wetu akaitoa damu yake kwaajili ya wote, ili yeye awe wa mwisho kwenye kutoa sadaka ya damu.
Lakini shetani amelazimisha umwagaji damu urndelee kuwa njia ya kuwakomboa wanadamu.
Tulikuwa kwenye utumwa wa mtu mweupe, tukapambana mpaka tukapata uhuru wa bendera. Taratibu tumerudishwa utumwani. Watu hawaruhusiwi kufikiri, kupinga, kukosoa, kujadili, kuamua na kupanga. Mambo yote yapangwe na mtu mmoja asiyehojiwa! Huu ni ukoloni mbaya kuliko ule wa Mwingereza ambaye aliwapa nafasi machifu kuamua baadhi ya mambo kwenye maeneo yao.
Wakati wa kupigania uhuru, watu hawakuongelea uchumi. Maana uchumi kwa mtumwa hauna maana. Watu walipigania uhuru. Na safari hii tutapigia uhuru wetu wa mawazo, wa kukosoa, kuamua, kuhoji na hata kukataa, ikilazimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiye uliyechokaMwambieni auze sera za maendeleo sio kila siku anazungumza story moja ya kupigwa risasi hiyo tumeichoka......
anaboreshaje maendeleo ie kilimo, biashara, afya elimu nk
Yule aliyepewa ubunge na Magufuli baada ya kumpora Tundu lisu ubunge atakuwa alitamani awe yeye hiyo janaMgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Antipass Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mwenyezi Mungu na si vinginevyo.
Akihutubia maelfu kwa maelfu ya Wananchi wa Kijiji chake Ikungi Singida Mashariki hapo Jana Tundu Lissu aliwaambia ndugu zake na watu wa Damu yake kulipa kisasi kwa Yale yaliyompata kamwe si agenda yake kwa Sasa...
Hakika mwanahabari wetu nguliTumeanza na Mungu, Tupo na Mungu na Tutamaliza na Mungu
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Antipass Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mwenyezi Mungu na si vinginevyo...
Nimeshindwa cha kuandika zaidi ya Mwenyezi Mungu ni mkubwa.
Kwani umeambiwaje?Hatutoi kura za huruma hapa!
TUKUTANE OKTOBA 28!
Lissu hahitaji kura za huruma! Ana hoja ,uwezo na uthubutu! No Wonder you hate him and wanted him dead!Hatutoi kura za huruma hapa!
TUKUTANE OKTOBA 28!
Hallelujah!Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Antipass Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mwenyezi Mungu na si vinginevyo.
Akihutubia maelfu kwa maelfu ya Wananchi wa Kijiji chake Ikungi Singida Mashariki hapo Jana Tundu Lissu aliwaambia ndugu zake na watu wa Damu yake kulipa kisasi kwa Yale yaliyompata kamwe si agenda yake kwa Sasa...
Kwakweli Mungu ameishaanza kulipa kisasi, aliewatuma wasiojulikana ameanza kuropoka mitusi ya nguoni majukwaani! Kila mtu anamwona mwendawazimu!Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Antipass Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mwenyezi Mungu na si vinginevyo.
Akihutubia maelfu kwa maelfu ya Wananchi wa Kijiji chake Ikungi Singida Mashariki hapo Jana Tundu Lissu aliwaambia ndugu zake na watu wa Damu yake kulipa kisasi kwa Yale yaliyompata kamwe si agenda yake kwa Sasa...
Muulizeni Tundu Lissu anamwongelea Mungu yupi! Yeye anawacheka sana watu wanaokwenda kuabudu misikitini na makanisani anawaita wamechanganyikiwa. Sasa leo anawakumbuka. Kwani mara ya mwisho huyu jamaa kuingia kanisani au msikitini ni liMgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Antipass Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mwenyezi Mungu na si vinginevyo.
Akihutubia maelfu kwa maelfu ya Wananchi wa Kijiji chake Ikungi Singida Mashariki hapo Jana Tundu Lissu aliwaambia ndugu zake na watu wa Damu yake kulipa kisasi kwa Yale yaliyompata kamwe si agenda yake kwa Sasa...
Pia kuna watu mnaona wanatembea kumbe ni maibilisi kabisa,mengine yanajizungusha makanisani na misikitini kumbe ni mashetani kabisa sio binadamu wale.ukisikiliza hii stori utaamini hapa duniani kuna binadam na mashetani wanaotembeaImagine aliyetoa go ahead dhidi ya shambulio ya Lisu Tundu akisikia haya maneno. Ila ila kuna watu rohoo zao zinateseka japo tunawaona wanatembea mwili ukiwa mzima.