macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Tuko tayari kuchanga kwa ajili ya mama Tanganyika. Kama tukichanga unawashwawashwa makalio basi kasugulie kwenye jiwe.Hivi kule marekani atachangiwa kama afanyavyo kila akiwa kwenye yale makangamano uchwara hapa nchini?
Mwendazake alisema anataka kuiua lakini akafa yeye na kuiacha.Chadema ilaaniwe kwa kweli
Mungu ibariki CHADEMA. Wenye husda nayo waonyeshe kuwa udhalimu wa shetani kamwe hauwezi kushinda haki ya Mungu.
Hatutishwo na haya maziara ya ajabu ajabu ya kwenda kutoa ripoti baada ya kushindwa kuivuruga nchi. Kwa Sasa akirudi tena anaweza pigwa risasi jukwaani tena mi ndo nitaengineer Hilo. Hatutaki vurugu nchini kwetu nchi imetulia chini ya rais wetu mpaendqaTaarifa iliyotolewa na Chama chake hii hapa .
View attachment 2781565
Mara baada ya Ziara hii iliyopewa jina la "Lissu USA Tour 2023" na ambayo imetajwa kuwa ya lazima na muhimu , ataondoka USA kwa Ndege Maalum mpaka Songwe kwa ajili ya Oparesheni 255 ya Chama chake Kanda ya Nyasa .
Ilaaniwe na nani..? Tafuta ujifunze kwanza uelimike kanuni za baraka na laanaChadema ilaaniwe kwa kweli
Unasema kwa sasa,kabla ya hapo je?Kwa sasa nyanda za juu kusini ni CCM Ndio inayoaminika mioyoni mwa watanzania na kuungwa mkono na kila rika na kila kundi lipo upande wa CCM.
Makupa=mifupaHivi kule marekani atachangiwa kama afanyavyo kila akiwa kwenye yale makangamano uchwara hapa nchini?
Ushauri wako nini sasa ,asiende kwasababu atakosa watu?Tena mkoa wa Mbeya ndio ngome ya CCM .Ukitaka uamini maneno yangu basi jaribu kutathimini ni jimbo gani ndani ya mkoa wa mbeya ukiacha Mbeya mjini limewahi kuongozwa na CHADEMA? Katika mikoa ya nyanda za kusini mkoa wa Mbeya ndio kidogo uliwapa wabunge watatu ambapo ilikuwa jimbo la Mbozi kwa Paschal Yohana Haonga,Jimbo la Momba alikochukua silinde ambaye sasa yupo CCM na Jimbo la Tunduma ambako alikuwa Frenk Mwakajoka. Kwa hiyo ukiangalia kitakwimu na kihistoria unagundua kuwa Mkoa wa Mbeya ndio mkoa ambao wabunge wa CCM hupigiwa Kura kwa wingi sana.
Ukija mkoa wa Rukwa na katavi nako ni ngome ya CCM.ambapo upinzani ulikuwa kidogo sana kwa jimbo la kwela enzi za mfupe alipokuwa anashindana na mzee marehemu Chrisant maji ya Tanga mzindakaya, na alipokuja Daniel Naftal hakuwa tishio hata kidogo na ndio maana aliokuwa nao vijana kama akina James mwanilyela waliokuwa wanakubalika sana hasa kwa kata ya mji mdogo wa Laela wote kwa pamoja na wengine wengi waliikimbia na kuihama CHADEMA.
Kwa hiyo lazima ufahamu kuwa nyanda za juu kusini ni ngome ya CCM na sehemu ambayo kura zake zipo Tayari kwa ajili ya kuipatia na kuipigia CCM kura za ndio kwa kishindo.siasa zetu za nyanda za juu kusini nazifahamu vizuri sana na maeneo yote na kona zote nazifahamu vizuri na utamaduni wake pamoja na mahitaji yake nayafahamu vizuri. Njooni na operation zenu kama sehemu ya kufanya uzurulaji na kutafuna michango ya wafadhili wenu ,lakini hakuna matokeo chanya ya aina yoyote ile mtakayoyapata. Ikumbukwe kuwa nyanda za juu kusini hatuburuzwi wao kudanganywa na hoja nyepesi nyepesi za majukwaani ambazo huwa mnadanganya danganya.
Oreme = ulimiMakupa=mifupa
Siri yangu
Usinisumbue nimechoka nilikuwa kuzima koroboiMakupa=mifupa
Siri yangu
Utakufa mapema acha ujinga aseeUsinisumbue nimechoka nilikuwa kuzima koroboi
Wewe mwenyewe hujawahi piga kura zitatoshaje!Kabisa.Lakini,cha ajabu kwenye chaguzi tutaweka DEDs,MDs,TISS,polisi,walimu,watendaji serikalini na kila atakayeonekana "muungwana" aibe,apore,abadili tarakimu za matokeo ya kura au kutangaza uongo kwa manufaa yetu CCM.
Kabisa.Lakini,cha ajabu kwenye chaguzi tutaweka DEDs,MDs,TISS,polisi,walimu,watendaji serikalini na kila atakayeonekana "muungwana" aibe,apore,abadili tarakimu za matokeo ya kura au kutangaza uongo kwa manufaa yetu CCM.
Asante sana14 October 2023
Tundu Lissu - Good morning, Africa | Ziarani Marekani -Nightly News Update
View: https://m.youtube.com/watch?v=Tk3LTsTpGYs
Pia Tundu Lissu kutoa lecture kuhusu uongozi hususan wa nchi kiafrika kwa wanafunzi wa chuo kikuu mbalimbali nchini Marekani ... channel sita zitakuwa live kuonesha kinachoendelea katika ziara ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA, barani Marekani ya Kaskazini
Uko sahihiKwa uzoefu wangu lazima amepata mualiko wa kwenda kwenye hivyo vyuo kamwe hauwezi kwemda kwenye hivyo vyuo kuhutubia bila mwaliko maalumu wa heshima.Sijui kuhusu vyuo vya Afrika ila nje lazima upewe mualiko maalumu
Wewe mbona uko Katoro , unakuwaje Diaspora ?Tunaomba asitutafute sisi Sauti ya Watanzania tulioko huku Diaspora.Hatuwataki Chadema.
Unaogopa nini ?Ziara inagharamiwa na nani???
Israeli watu weusi wanaonekana kama mbwa tu.Nilidhani anaanza ziara Israel [emoji23]