Tundu Lissu kuanza ziara ya kikazi Marekani


 
kwani anayo phd hadi apate heshima ya kualikwa na hivyo vyuo ?
 


Ziara ya kikazi? Yuko serikali ipi?
 
Safi sana, ziara imeshiba vyema kabisa. Piga spanner hawa chawa mpaka U.S.A
 
Hivi kule marekani atachangiwa kama afanyavyo kila akiwa kwenye yale makangamano uchwara hapa nchini?
UKo duni sani kichwani kwako Lisu ni taasisi ,taasisi wezake wamemwalika hajaenda kwa bahati mbaya

Baba Ako shule ya msingi kualikwa hata sherehe za awali kuingia lakwanza sifa hizo Hana ,harafu umseme hovyo taasisi LISU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…