Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

Blessed justification, I also celebrated, even now, tomorrow and the years to come, even if I am dead! I will celebrate the death of a killer!
You are quite right. Muuaji hata mtaani watu wakipata nafasi wanawachoma moto, sasa wanatofautiana nini na huyo aliyekuwa anatumia ofisi kuua?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Nikiwa na nyenzo muhimu ntafanya hivyo, hapa ni sehemu ya watu kutoa mawazo yao kwa uhuru. Au ulitaka tutoe mawazo yetu bila kuandika?
Unathibitisha nilichokisema hapo mwanzo,hapa mnaleta porojo tu,wakati hata ukipewa hiyo access ya kwenda kuchoma moto hutothubutu.Kuchoma moto kunahitaji nyenzo gani zaidi ya kiberiti?
 
Kifo ni lazima kwa kiumbe hai yeyote. Lakini ukiona mtu kafa baada watu wengi kuomba kwa Mola akuondoe basi jua uko na matatizo
Kumbe unajua kila mtu atakufa ikiwemo na wewe mwenyewe.Nikadhani wewe ni Immortal.Hayo ya watanzania wengi waliomba ni porojo zako tu.
 
Tundu Lissu itachukua muda sana kugundua watu gani walihusika kushambuliwa kwake, kuna siku atakuja muomba msamaha Hayati JPM.
Kama JPM hakuhusika, kwanini ailizuia watu wasimuombee Lissu ?? Kwanini alilazimisha polisi kukamata watu waliovaa furana zenye nembo pray for Lissu?. Kwanini alizuia malipo ya matibabu ya Lissu? nk nk
 
Unatoaje maoni kwenye kifo?! Ukitaka kujua hebu fikiria kila kwenye maziko ya waislam hutolewa tangazo la nani ana mdai marehemu- ulishaona watu wanijitokeza? Unadhani ni ujinga au uoga?
Ina maana marehemu hakuwa na madeni
 
Huo ndio ukweli wenyewe. Muuaji naye kafa
 
Better they strangled him to death otherwise it could be a disaster! May the Satan strangle him to the eternal hell!

Amen!
 

Peleka ujinga mbali, tumeona Moi amefariki na wale aliowafanyia ukatili wamejitokeza kusema kuwa alikuwa kiongozi muovu. Au hayo maoni ya huyo mkenya mmoja ndio unafanya ni maoni ya kila mkenya?
 
Lissu ni much know, ogopa sana watu wanaopenda kujikweza!
Lissu's Achilles heel is 'MUCH KNOW'.
Typical example of a egotistical, and arrogant person. And this should not be confused with vigilance.
Vigilance could have saved him from that tragic incident.
 
Mwende mkawaambie haya maneno wana mwanza.
 
Huyu mwamba aliwakosea nini? Itoshe basi kilema alichopewa, mwacheni.

Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…