ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 3,971
- 4,440
Nataka afe hata mara 100.Kikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita kifo cha JPM a poetic justice (a fitting or deserved retribution for one's actions).
Tunaamini huu pia ndio msimamo wa CHADEMA kwani hawajawahi kujitenga nao. Kwa vile sasa tuko kwenye maridhiano ni bora CHADEMA mliweke hili wazi na mna fursa hiyo 21.01.2023 kwenye mkutano wenu wa hadhara Mwanza na kanda ya ziwa- kanda ya kwao na JPM.
![]()
Magufuli alikuwa mdhulumaji, mwizi wa pesa za umma, muuaji,mtekaji,mpigaji risasi, na kila ubaya ambao hakustahiki kuufanya kama kinongozi yeye aliufanya.
Kila aliyesherehekea kifo chake wala simuoni mjinga kwa vile yeye hakuna na kemeo lolote alilolitoa kama kiongozi juu ya matukio mabaya yaliyokuwa yakitoa nchini mwake.
Nyinyi ni miongoni mwa watu mliosherehekea kupigwa kwake risasi,viongozi wa upinzani kukamatwa na kufungwa na kufunguliwa kesi za uongo sasa watu wakemee nini hapo.