Rhz4567
JF-Expert Member
- Mar 16, 2018
- 4,893
- 6,599
Duh leo unamtetea lissu kumkashifu marehemu JpmLissu anayo haki ya kusema hivyo Kwani yeye anaamini kuwa chanzo cha yeye kutaka kuuawa ni Magufuli, ikumbukwe binadamu amezaliwa na roho ya kisasi hivyo kifo cha JPM kwake Lissu ni faraja na anguko la adui zetu ni faraja kwetu.
Hata Mimi kuna baba ndogo tunaendesha naye kesi anang'ang'ania nyumba ya baba yetu, kwangu Mimi huyu ni adui, nikisikia Leo hii kafa, wallah lazima nichinje mbuzi na kukesha baa nikikunywa bia, kwangu Mimi huyu baba ndogo ni adui yangu kifo chake furaha kwangu.
Maisha ndio yalivyo hapa dunia, mwacheni aseme ya moyoni