Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

Lissu si mjinga, ana watu wake yeye binafsi hata ndani ya system. Hawezi kuwa kwenye siasa za ngazi za juu bila kuwa na aina fulani ya 'umafia' ndani yake.
Angefariki kwenye shambulio lile zigo angebebeshwa Mbowe na ilishapangwa hivyo, leo hii Mbowe angekuwa anatumikia kifungo cha kumuua Lissu.
Kupona kwake kukamponya Mbowe kwani wasingeweza kumbambika kesi wakati muhanga wa shambulio anajua suspects wake na alishatoa taarifa mpaka plate number ya gari kwani alianza kufuatiliwa tokea D'Salaam, Jiwe alijichanganya mwenyewe akaropoka na shambulizi likatekelezwa.
Poor hypothesis.
 
Unatabiri kirahisi kama vile movi za kikorea.
 
Unatoaje maoni kwenye kifo?! Ukitaka kujua hebu fikiria kila kwenye maziko ya waislam hutolewa tangazo la nani ana mdai marehemu- ulishaona watu wanijitokeza? Unadhani ni ujinga au uoga?
Hao ni waislamu.
Wakristo sio wanafiki,wanaodai huwa wanajitokeza.
 
Kikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita kifo cha JPM a poetic justice (a fitting or deserved retribution for one's actions).

Tunaamini huu pia ndio msimamo wa CHADEMA kwani hawajawahi kujitenga nao. Kwa vile sasa tuko kwenye maridhiano ni bora CHADEMA mliweke hili wazi na mna fursa hiyo 21.01.2023 kwenye mkutano wenu wa hadhara Mwanza na kanda ya ziwa- kanda ya kwao na JPM.
162033367_1330017047375929_831188534219967358_n.jpg
Yaaani jitu kama Maghu lilioua watu na kuwaweka kwenye viroba life,harafu usikikitike kisa utamaduni marehemu hasemwi !!utakuwa unatatizo la akili! Wakati unamuonea huruma mzoga Maghu,uwaze pia Tundu lisu alivyoponea chupu chupu kufa,kwa risasi 20!!!mchana kweupeee!
 
Na Chacha Wangwe?
Ni serikali otherwise wangeshakamata wahusika, kama una ushahidi serikali haikuhusika basi isaidie ili muhusika akamatwe na achukuliwe sheria.
Serikali is isingekuwa na mkono wake kwenye kifo cha Wangwe muhusika angekuwa gerezani akitumikia kifungo cha maisha.
 
Huu ndio uongo wako mkubwa kushinda wote, yaani Magufuli aseme kabisa kwamba msaliti lazima auawe, akataze watu kwenda kumuona mgonjwa Nairobi, akatae hela ya matibabu, akatae stahiki zake asilipwe, akamate hata wanaovaa tisheti za kumpa pole mhanga, amdhulumu kwenye uchaguzi wake feki, akatae uchunguzi usifanyike lakini bado tu huamini.....!!

Hiyo ni shauri yako hata usipoamini lakini sisi wengine tunaamini kwa 100% kwamba Magufuli ndiye aliyeamuru Lissu auawe. Period.
Watu walikatazwa hata kuvaa T-shirts za GET WELL SOON LISSU.
 
Are you Immortal?

Mkuu Nyamizi,
No. Hapana!
Nasema hivyo kwasababu umelokota moja kati matatu niliyobandika....

Mirija kukaba, inauma sana kwa waliozibiwa na faraja kwa walionyonywa kwa muda mrefu.
Watu wameumia, wana jazba. Wana haki. Wanaona haki halisi!
Hata Kifo cha Malikia Elizabeth, wa Ufalme wa Uingereza na kwingine ambayo iliwanyonya, kuwaua, kuwateka, kuwabaka, na kuwafanya utumwa Waafrika, Wahindi, Wachina, Wa NewZealand, Waboriji wa Australia na wengine wengi Duniani Alipokufa, It was a Poetic Justice.
Mfano wa yanayoendelea, ndani ya Uzi huu ya mfano wa "Haki Halisi" Poetic Justice.
When you offend god, you die.!
Na mwisho ni nadharia ya wengi, a reference point. (for my rebuttal) if needed.

Wakati naelewa mleta mada ametumia fasihi hiyo, kuelezea yale yanayotakikana kuelezwa/kufanyika.....yaani

CHADEMA mliweke hili wazi na mna fursa hiyo 21.01.2023 kwenye mkutano wenu wa hadhara Mwanza na kanda ya ziwa- kanda ya kwao na JPM.
Je ni msimamo mtazamo au nadharia yao kuwa Kifo cha Hayati J.P.M ni Haki Halisi kwake kwasababu watu walikufa na Corona? Covid-19 kwa sababu Mh. Tundu Lissu alikuwa na taarifa kuwa Raisi Magufuli amekufa kwa Corona? Na kwa vile amewaachia watanzania kufa basi...
When you offend God, yo die?

Au....
Naelewa mengine ni porojo, Unsubstantiated, yaani nongwa kwani sidhani, Mh. Tundu Lissu alimaka hayo kwa sababu ya kutunguliwa Risasi.! Na hata kama ndiyo lilikuwa jibu lake kuhusu kumiminiwa Risasi, alimaka na Jazba. Mh. Lissu ni mwanasheria na anajua kutumia Lugha. Hakuropoka hayo "Poetic Justice" kama tunavyotaka kuamini "

Jibu refu lakini ndivyo nilivyofika na majibu yangu machache kule Juu.
 
Kikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita kifo cha JPM a poetic justice (a fitting or deserved retribution for one's actions).

Tunaamini huu pia ndio msimamo wa CHADEMA kwani hawajawahi kujitenga nao. Kwa vile sasa tuko kwenye maridhiano ni bora CHADEMA mliweke hili wazi na mna fursa hiyo 21.01.2023 kwenye mkutano wenu wa hadhara Mwanza na kanda ya ziwa- kanda ya kwao na JPM.
162033367_1330017047375929_831188534219967358_n.jpg
Kama yeye alishangilia jaribio la kumuua kwa nini asifurahie kifo cha aliyetaka kumuua?.Wengi tulifurahi
 
Mwaka 2016 mpaka 2020 Tanzania iligubikwa na makelele ya Tundu Lisu aloyejiona yeye tu ndiyo mwenye haki ya kumshauri rais wa nchi wa wakati huo na ni lazima ushauri wake ufuatwe!

Hata hivyo hayati Magufuli alisimama imara na kupuuza makelele yote ya wakala wa mabeberu Tundu Lisu.

Kama hayati raisi Magufuli asingekuwa imara na akasikiliza makelele ya Lisu, haya hapa yangetokea Tanzania.

1. Tanzania tusingekuwa na bwawa la kufua umeme ambalo ni moja ya mabwawa makubwa barani Afrika. Urefu wa bwawa la Nyerere ni km100 yani sawa na urefu wa kutoka Dar mpaka Chalinze.

Tundu Lisu kwa kutumiwa na mbabeberu kwa ahadi ya kumlisha yeye na familia yake pamoja na kumpa hifadhi Ubelgiji alipinga sana ujenzi wa bwawa hili kwa kisingizio kwamba litasababisha uharibifu wa mazingira na mvua hazitanyesha tena Tanzania!. Leo mwaka 2023 bwawa linajazwa maji na Tanzania imegubikwa na mafuriko kila sehemu kwani mvua zinanyesha sana kinyume na utabiri wa Tundu Lisu.

2. Tanzania isingekuwa na ujenzi wa SGR.
Tundu Lisu alipinga sana ujenzi wa reli hii ya umeme na yenye kasi zaidi Afrika yote.

3. Serikali isingehamia Dodoma.
Tundu Lisu na Mbowe walipinga sana serikali kuhamia Dodoma wakisema huko ni kutesa watumishi na kwamba serikali ibaki tu Dares salaam kwa ndoto za mwl Nyerere zimepotwa na wakati. Hayati Magufuli aliziba masikio na leo serikali yote ipo Dodoma.

4. Kampuni ya madini ya Acacia ingekuwepo.
Licha ya kwamba Lisu amesoma kwa kodi za watanzania lakini aligeuka kuwa mwanasheria wa Acacia na akasema ataisaidia kutushitaki MIGA, kama tukiendelea kuwadai hela za wizi wa makinikia. Hayati Magufuli aliendelea mbele hadi kampuni ya Acacia ikafutwa na kuzaliwa kampuni mpya ya Twiga ambayo watanzania wapo kwenye management na Tanzania yakafunguliwa masoko ya madini kila sehemu, na watanzania wakanufaika na madini yao.

5. Kenya na India zingeendelea kuongoza kwenye uuzaji wa madini ya Tanzanite .
Kutokana na ukweli madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania tu. Hayati Magufuli alichukua hatua kali sana za kudhibiti madini ya Tanzanite ikiwemo kujenga ukuta wa kuzunguka mgodi huo, hatua hizo zilipingwa mno na Lissu na akaita ni udikteta mkubwa kufanya hivyo
Ngosha naona unapambana kutetea utekaji na mauaji yaliyowahi kutokea Tanzania huku yakibatizwa jina Uzalendo, kwa kifupi Mungu aliyashuhudia yote Kisha akafanya maamuzi yake. Aliona tunakoelekea ni hatari
 
Acha porojo, huna unalolijua
 
Hii nchi inawatu wanafiki wanachojua ni kujipendekeza!!!
Yeye aliposema watu wagongwe kichwa kama nyoka aliwaeleza nini wasaidizi wake.
Mtu anajidai hatosaini wafungwa kunyongwa lakini anatuma waovu wakawapige risasi wapinzani wake! Rubish!!!
 
Back
Top Bottom