Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

POST TRAUMATIC STRESS DISORDER -KWA HIYO TUNAHANGAIKA NA MGONJWA
mwanzoni mtu akikutana hizo changamoto mbili nilizosema na akapta hiyo hali anakuwa mgonjwa ila badae mtu kama huyo anapona akipata faraja ila inachukua muda
 
Sasa kwani uongo? Magufuli yeye si alipanga na kufurahia mateso ya Lissu? Mwisho wa siku ndo yeye aliyekumbana na mauti, pumbav kabisa
 
Alipigwa na serikali ya JPM
Kama sio JPM ni nani sasa? Kama alizuia hata kumuona hospital na hata kumuombea tu nalo likawa kosa, unataka jamii na watz wasiamini kuwa yeye ndie muhusika na ndiye aliyetoa order? Mazingira ya kupigwa kwake risasi yanaonesha uhusika wake.
Pili, Kama amiri jeshi mkuu,kwa nini alizuia uchunguzi wa tukio hilo? Tatu, ile report ya bunge kuhusu tukio hilo kwa nini ilifichwa? Unadhani ilifichwa ili kumlinda nani
 
Umetumwa au Uchawa tu! Kinakuuma Nini mbona hukuandika aliyonena hatari kuwa "asiyeunga mkono juhudi za vita ya uchumi anastahili kufa!" Mwisho nukuu!
Then Nini kilichotokea muda mfupi?!
 
Hata ungekuwa wewe ndo Tundu Lissu ungekuwa na msimamo huo
 
Wewe na lissu kesi zenu ni tofauti,lissy haba ushahidi kuwa wa jpm kuhusika moja kwamoja kwenye tukio la yeye kupigwa. Risasi ni nadharia tuu,ila wewe unahukakika kuwa baba mdogo alifungua kesi mahakamani na unajua wazi kuwa kesi inahusu nini.
 
Huyu jamaa yao huyuuuu! Hana leadership wisdom kabisa! Lissu ni mchizi flani ivi kichwani. Aliwahi eti kumzungumza Mwalimu Nyerere kirahisi. Lazima abadilike #Akirudi tunaye kumsikiliza tuone fikra za Brussels. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Mkuu ukung'utwe risasi 38 , 22 zitoboe gari lako na 16 zitoboe mwili wako ,halafu serikari ya "MTU FURANI" isiwajibike unategemea Lissu akenue meno? Vaa viatu vyake kisha uje kuanzisha uzi tena.

"Adui muombee njaa atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa" -Mgambo Sele
 
Ipo siku kifo cha Lisu watasema na poetic justice. Watch these chaga boys.
 
Kila unachofanya Duniani kina matokea yake,ukipambana na serikali yoyote matokeo ni kifo au uhame nchi husika.
Ndiyo maana Mwandishi Asange anawindwa na Marekani mpaka Leo kwa sababu za kudukua mawasiliano yake.
Badala ya serikali kulinda raia wake na mali zao,jukumu lake ni kuwamiminia risasi kwa sababu yakuwa na msimamo kinzani na watawala.
Marekani kumsaka Asange hakuhalalishi mauaji holela ya raia ambao wanaweza kushitakiwa kama wametenda jinai yoyote kwa mujibu wa sheria.
Mauaji ya aina hiyo kama anavyofanya dikteta Paulo Kagame kuwawinda wapinzani wake hata walioko nje ya nchi ni unyama usio mithilika na unapaswa kulaaniwa kwa nguvu zote.
Kama hata nyumbani kwako mkeo na wanao wanaweza kuwa na mawazo tofauti na wewe sembuse nchi yenye watu zaidi ya milioni sitini.
Kwa hiyo hapo nyumbani familia ikiwa na mawazo tofauti na yako unawapoteza kama mwamba alivyowahi kusema.
 
Mkuu yeye Lissu si alikuwa anapambana na serikali, sasa wewe ulitarajia apewe tuzo gani zaidi ya hiyo.
Ata CIA ukienda tofauti na mipango ya nchi yao unaliwa kichwa!
CIA ilianza lini kula vichwa vya wenye mawazo kinzani na itaacha lini maanake hata wenye kuamini maandiko wanasema mawazo kinzani yalianza pale kwenye paradizo,baada ya Adamu na Hawa kwenda kinyume na maagizo.
Kwa mustakabali huu CIA wataua wengi mpaka na wao wenyewe kuuana.
Lakini pia kwa vile CIA wanaua na sisi tuwaige tu kwa vile ni Wamarekani hata kama ni ushenzi.
 
Kumbe Chacha Wangwe aliuawa ndio najua leo.
Hiyo kesi ya mauaji ilisikilizwa mahakama gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…