Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

Duh leo unamtetea lissu kumkashifu marehemu Jpm
 
Yesu alipozaliwa Mfalme Herode alitaka kumwua. Wazazi wa Yesu walimkimbiza Misri kumficha huko hadi waliposikia kuwa Herode amekufa ndipo walipomrudisha tena Nazaret. Sisi ni watakatifu kuliko nani tusishangilie kifo cha mfalme mwovu?!!! Lissu rudi nyumbani yule mtesi wako amekwisha kufa.
 
Tatizo hana ushahidi wa hilo. Pia binadamu huwezi kusema chochote eti kwa vile una uhuru wa kusema.
 
Huyu jamaa yao huyuuuu! Hana leadership wisdom kabisa! Lissu ni mchizi flani ivi kichwani. Aliwahi eti kumzungumza Mwalimu Nyerere kirahisi. Lazima abadilike #Akirudi tunaye kumsikiliza tuone fikra za Brussels. [emoji120][emoji120][emoji120]
Wanazungumziwa mitume sio hao tu hata Mwenyezi Mungu sembuse Nyerere.
 
Comment nzuri sana hii
 
Kwa hiyo kifo ni adhabu siyo?
 
Sijui kwa Nini wanamwandama lisu huku wakijua wazi kuwa hata wangekua wao wangesherehekea tu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wanazungumziwa mitume sio hao tu hata Mwenyezi Mungu sembuse Nyerere.
Sawa. Hakuna mtu anazuia uhuru wa maoni ila busara ya kuwasilisha maoni. Huyu jamaa yenu msaidieni awe na busara ktk kuutumia uhuru wa maoni. 🙏🙏🙏
 
Nenda polisi ukaulize, kuna majalada ya watu waliopotea hata hii leo. Una ushahidi kama ni amri ya jpm?
 
Tundu Lissu itachukua muda sana kugundua watu gani walihusika kushambuliwa kwake, kuna siku atakuja muomba msamaha Hayati JPM.
mbowe na rostam waki banwa watasema ukweli wote kuhusu huo mchezo walio mchezea tundu lissu na ben saa8
 
Hata tuliopita JKT kuna watu walikuwa wanashindwa kufuata step za gwaride hata uwafundishe vipi, walikuwa wanaitwa NANGA. NA huyu RNA ni nanga pia
 
Kila unachofanya Duniani kina matokea yake,ukipambana na serikali yoyote matokeo ni kifo au uhame nchi husika.
Ndiyo maana Mwandishi Asange anawindwa na Marekani mpaka Leo kwa sababu za kudukua mawasiliano yake.
Ndo maana alimwachia Mungu ashughulike na watesi wake na Mungu akawashughulikia

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada kitulize basi watu waliobomolewa nyumba TU walipika supu ng'ombe mzima kusherehekea! sembuse mtu aliefanyiwa jaribu la mauaji
 
Sioni hata sababu ya maridhiano coz hakukuwa na mgogoro wowote wala vita ya wenyewe kwa wenyewe. Mnapiga makofi kuruhusiwa mikutano wakati mnajua nihaki yenu! Waoga sana nyie! hakukuwa na signed decree yyte kuzuia! Zile kauli hazikuwa za jpm, ilikuwa ni uamuzi wa CC. Hamjawajua CCM bado. Hamjiulizi kwa nn SA100 hakuruhusu mara tu alipoingia? Mnafikiri eti mtaachiwa nchi? Majuha kalulu
 
Kwa hili Lissu yuko sahihi kabisa, mtu anayepanga umiminiwe risasi uuawe akifa ni faraja na furaha pia ni haki kushangilia kufa kwake.
Lile shambulio dhidi yake lingefanikiwa akafa Jiwe angefanya sherehe pale ikulu.
 
Tundu Lissu itachukua muda sana kugundua watu gani walihusika kushambuliwa kwake, kuna siku atakuja muomba msamaha Hayati JPM.
Lissu si mjinga, ana watu wake yeye binafsi hata ndani ya system. Hawezi kuwa kwenye siasa za ngazi za juu bila kuwa na aina fulani ya 'umafia' ndani yake.
Angefariki kwenye shambulio lile zigo angebebeshwa Mbowe na ilishapangwa hivyo, leo hii Mbowe angekuwa anatumikia kifungo cha kumuua Lissu.
Kupona kwake kukamponya Mbowe kwani wasingeweza kumbambika kesi wakati muhanga wa shambulio anajua suspects wake na alishatoa taarifa mpaka plate number ya gari kwani alianza kufuatiliwa tokea D'Salaam, Jiwe alijichanganya mwenyewe akaropoka na shambulizi likatekelezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…