Hapo bado kwangu mimi siwezi kusema mhusika ni Magufuli! Hilo tukio linaweza kuwa na muunganiko wa watu wa CHADEMA na baadhi ya viongozi wa system!Lakini hiyo haizuii nia ya Magu kutaka kumuua Lissu. Risasi 60 Kama anaua koboko.
Ngoja nilazimishe akili yangu ikubaliane na mawazo yako ya kuwa Tundu Lissu alipigwa risasi na maadui toka kwenye chama chake.Imani yangu inanionyesha adui yake alitoka ndani ya chama chake.....kuliko kutoka Serikalini ...inawezekana maadui wanajaribu ku diverge uongo uonekane kama ukweli ili wasigundulike......bado Nina kumbukumbu za Bw. Kubenea..aliwah zungumza siku moja kwamba wanaomtafuta Saanane waende kumuuliza Bw. Mbowe..bado sentensi Ile inanifikirisha mpaka Leo walah..
Imagine Lisu mwenyew ambae ndo mlengwa karudi 2020, na sasa anapanga kurudi tena kwa mara ya pili afu dereva yeye ameambiwa asirudi na viongozi wake. Kuna siri gani hapo!Mkuu dunia ina mambo mengi sana! Hao walinzi ni binadanu tu kama mimi na wewe na wanaweza kupangwa na wakapangika vizuri tu!
Kwanini benki zinaibiwa na polisi wapo hapo na bunduki zao? Kwa nini dereva wa Lisu aliondoka nchini na mpaka leo hataki kurudi?
Ile Magu ajitoe kwenye hilo sakata ilibidi:Hapo bado kwangu mimi siwezi kusema mhusika ni Magufuli! Hilo tukio linaweza kuwa na muunganiko wa watu wa CHADEMA na baadhi ya viongozi wa system!
Pia ni kwa nini baadhi ya wanaCHADEMA kama Kubenea akusema wanaotaka kujua Ben Saanane alipo wakamuulize Mbowe!
Kuna uwezekano kuna watu walikuwa wanapotezwa na viongozi wa CHADEMA ili kuchafua uongozi wa Magufuli!
nenda chato ukaomboleze...the man was wicked. waache aliowaumiza walie.Unatoaje maoni kwenye kifo?! Ukitaka kujua hebu fikiria kila kwenye maziko ya waislam hutolewa tangazo la nani ana mdai marehemu- ulishaona watu wanijitokeza? Unadhani ni ujinga au uoga?
Tatizo sisi kila tukio lilokuwa linatokea hata la mtu wa huko kibiti na ugaidi uliokuwa unaendelea kipindi JPM anaingia madarakani tuliuhusisha na Magufuli!Imagine Lisu mwenyew ambae ndo mlengwa karudi 2020, na sasa anapanga kurudi tena kwa mara ya pili afu dereva yeye ameambiwa asirudi na viongozi wake. Kuna siri gani hapo!
Rubbish,Mkuu dunia ina mambo mengi sana! Hao walinzi ni binadanu tu kama mimi na wewe na wanaweza kupangwa na wakapangika vizuri tu!
Kwanini benki zinaibiwa na polisi wapo hapo na bunduki zao? Kwa nini dereva wa Lisu aliondoka nchini na mpaka leo hataki kurudi?
Wanyonge wa Chato na si Tanzania.Yeye aendelee na umalaya wake. Mapenzi ya Mungu hayafanyiwi mzaha.
Jpm alipigania haki na usawa kwa umma na hasa kwa wanyonge. Umma wa wananchi watalipiza kwa hao wazandiki katika wakati muafaka.
Kipindi cha Magufuri askari wake,Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya na hata yeye mwenyewe walihusika moja kwa moja ndiyo maana lawama zilikuwa zinaangukia kwake.Tatizo sisi kila tukio lilokuwa linatokea hata la mtu wa huko kibiti na ugaidi uliokuwa unaendelea kipindi JPM anaingia madarakani tuliuhusisha na Magufuli!
Yaani mtu yuko tarime huko na ugomvi wake na watu akiuawa anasema Magufuli kahusuka! mfano mwili ya askofu mstaafu uliokotwa huko Mwanza mwezi wa 11 mwaka jana ingekuwa kipindi cha JPM watu waangesema kahusika na hicho kifo!
Pia kuna miili ilionekana huko Tanga mwaka jana mwezi wa 10 na kupotea kwa vijana hapo kariakoo mwaka jana mpaka leo kimya! Ila kama ingekuwa kipindi cha JPM kelele zingekuwa nyingi sana ili lengo lao walifikie la kumchafua tu!
Hata hili la Lisu linaukakasi sana aese ila kuna baadhi ya watu wana amini mhusika ni JPM na wakiambiwa wafikirie nje ya box hawakubali!
Kama hilo lingekuwepo, Serikali lazima ingechukua hatua. Serikali kukataa kufanyia uchunguzi, Polisi khsimamisha magari yote na bodaboda kuruhusu gari lililokuwa na washambuliaji lipite baada ya kutekeleza shambulio, na waziri Kalemani kuondoa kamera baada ya shambulio na kuzikabidhi serikalini ni ushahidi tosha kuwa tukio lote lilifanywa na Serikali.Kwani mmejuaje kama alipigwa nao, kwa nini msipanue wigo na kusema kapigwa na maadui ndani ya chama chake...watu wanaweza wali take advantage ya mahusiano na Serikali
Kama hilo lingekuwepo, Serikali lazima ingechukua hatua. Serikali kukataa kufanyia uchunguzi, Polisi khsimamisha magari yote na bodaboda kuruhusu gari lililokuwa na washambuliaji lipite baada ya kutekeleza shambulio, na waziri Kalemani kuondoa kamera baada ya shambulio na kuzikabidhi serikalini ni ushahidi tosha kuwa tukio lote lilifanywa na Serikali.Hapo bado kwangu mimi siwezi kusema mhusika ni Magufuli! Hilo tukio linaweza kuwa na muunganiko wa watu wa CHADEMA na baadhi ya viongozi wa system!
Pia ni kwa nini baadhi ya wanaCHADEMA kama Kubenea akusema wanaotaka kujua Ben Saanane alipo wakamuulize Mbowe!
Kuna uwezekano kuna watu walikuwa wanapotezwa na viongozi wa CHADEMA ili kuchafua uongozi wa Magufuli!
Kama hilo lingekuwepo, Serikali lazima ingechukua hatua. Serikali kukataa kufanyia uchunguzi, Polisi khsimamisha magari yote na bodaboda kuruhusu gari lililokuwa na washambuliaji lipite baada ya kutekeleza shambulio, na waziri Kalemani kuondoa kamera baada ya shambulio na kuzikabidhi serikalini ni ushahidi tosha kuwa tukio lote lilifanywa na Serikali.Mkuu dunia ina mambo mengi sana! Hao walinzi ni binadanu tu kama mimi na wewe na wanaweza kupangwa na wakapangika vizuri tu!
Kwanini benki zinaibiwa na polisi wapo hapo na bunduki zao? Kwa nini dereva wa Lisu aliondoka nchini na mpaka leo hataki kurudi?
Kama hilo lingekuwepo, Serikali lazima ingechukua hatua. Serikali kukataa kufanyia uchunguzi, Polisi khsimamisha magari yote na bodaboda kuruhusu gari lililokuwa na washambuliaji lipite baada ya kutekeleza shambulio, na waziri Kalemani kuondoa kamera baada ya shambulio na kuzikabidhi serikalini, marehemu katika mawasiliano ya siri kumwelekeza Andunje ndugia kuwa mwili wa Lisu upelekwe moja kwa moja Singida na kusiwepo na heshima za mwisho wala mwili wake kupelekwa Dar (akiwa amehakikishiwa na Bashite kuwa Lisu lazima atakufa), ni ushahidi tosha kuwa tukio lote lilifanywa na Serikali.Imani yangu inanionyesha adui yake alitoka ndani ya chama chake.....kuliko kutoka Serikalini ...inawezekana maadui wanajaribu ku diverge uongo uonekane kama ukweli ili wasigundulike......bado Nina kumbukumbu za Bw. Kubenea..aliwah zungumza siku moja kwamba wanaomtafuta Saanane waende kumuuliza Bw. Mbowe..bado sentensi Ile inanifikirisha mpaka Leo walah..
Completely impossible.Hivi Leo ukija gundua kumbe adui alikuwa ndani ya chama chake utasemaje...do you think it's impossible..?
Inasikitisha sana.Kama hilo lingekuwepo, Serikali lazima ingechukua hatua. Serikali kukataa kufanyia uchunguzi, Polisi khsimamisha magari yote na bodaboda kuruhusu gari lililokuwa na washambuliaji lipite baada ya kutekeleza shambulio, na waziri Kalemani kuondoa kamera baada ya shambulio na kuzikabidhi serikalini, marehemu katika mawasiliano ya siri kumwelekeza Andunje ndugia kuwa mwili wa Lisu upelekwe moja kwa moja Singida na kusiwepo na heshima za mwisho wala mwili wake kupelekwa Dar (akiwa amehakikishiwa na Bashite kuwa Lisu lazima atakufa), ni ushahidi tosha kuwa tukio lote lilifanywa na Serikali.
Kubali tuu kwamba "Mungu amemaliza ubishi" by Nape NauyeKikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita kifo cha JPM a poetic justice (a fitting or deserved retribution for one's actions).
Tunaamini huu pia ndio msimamo wa CHADEMA kwani hawajawahi kujitenga nao. Kwa vile sasa tuko kwenye maridhiano ni bora CHADEMA mliweke hili wazi na mna fursa hiyo 21.01.2023 kwenye mkutano wenu wa hadhara Mwanza na kanda ya ziwa- kanda ya kwao na JPM.
comte unataka proof gani?Mkuu tupe proof ya hayo unayoyaleta hapa? Sikiliza hukumu ya mwisho na ya haki ni ya Mungu, na wewe si Mungu. Usikipe Umungu kwa kuhukumu watu.
Hata mimi nina uhakika walionidhulumu walitumwa na Magufuli kwa hiyo tusipotezeane mda kujifariji kuwa hakuhusika na udhalimu uliokuwa unafanyika katika serikali ya Magufuli
Hakupigwa na JPM, alipigwa na wakora waliotumwa na JPM