Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

Sikiliza wewe , Pamoja na kwamba Mungu ametuagiza kusameheana lakini HAKUTUAGIZA KUMSAMEHE SHETANI , niko Tayari kujiondoa JF ikiwa utaniletea kifungu chochote cha vitabu vitakatifu kilichoagiza Mwanadamu kumsamehe Shetani , Niko pale Buzuruga nimekaa nasubiri
 
Bado unateseka tu ?....Kubali the man is gone.
 
Mkuu yeye Lissu si alikuwa anapambana na serikali,sasa wewe ulitarajia apewe tuzo gani zaidi ya hiyo.
Ata CIA ukienda tofauti na mipango ya nchi yao unaliwa kichwa!
Kuongea ukweli ni kupambana!!??
Watu mmeumbwa kwa mfano wa Mungu lakini ushetani mtupu umewajaa.
 
Mkuu tupe proof ya hayo unayoyaleta hapa? Sikiliza hukumu ya mwisho na ya haki ni ya Mungu, na wewe si Mungu. Usikipe Umungu kwa kuhukumu watu.
Imani yako kuhusu Mungu ni ya kwako usinishirikishe mimi maana hujui imani yangu, President anapokula kiapo ni pamoja na kulinda raia wake!,President Magufuli hajawi kutoa tamko lolote kuhusu watanzania wenzetu waliopotea au kuuliwa ,vile viroba vya maiti pale CoCo beach vilikua ni miili ya binadamu sio seals!,Ukweli kuhusu nini kilitokea mpaka Mr.Saanane apotee utakuja kujulikana, Yes Sina uchungu kabisa kuhusu kifo kile cha no 1
 
Hii Si sawa,

Haina AFYA Kwa Maslahi ya Taifa,

Siasa hizo za maji taka waachieni CCMM.
 
Ingefaa CDM nkaanza kudigest hoja expectations za mkutano wa trh 21.

Msikubali kuingia mtego wa Kujadili masuala ya kupanda chuki Kwa wananchi.
 
Sasa tuchukulie lissu angekuoa wewe halafu upo nyumbani unasikia mumeo kapigwa risasi 16 ungefurahi?
 
Yeye aendelee na umalaya wake. Mapenzi ya Mungu hayafanyiwi mzaha.
Jpm alipigania haki na usawa kwa umma na hasa kwa wanyonge. Umma wa wananchi watalipiza kwa hao wazandiki katika wakati muafaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…