Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

Eti mzalendo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nyie Sukuma gang mnajua sana kujizima data
Lissu na Magu na Dr Slaa ni watu pendwa sana Kanda ya ziwa.

1.Magu alikuwa mwana mageuzi kimfumo ndani ya CCM kuhakikisha wanafanya KAZI na kukataa RUSHWA.

2. Lissu anakubalika sana Kanda ya ziwa sababu ni MZALENDO na amehusika kiasi kikubwa kumpambania Wachimbaji wadogo.

3.Dr Slaa anakubalika sana Kwa Uzalendo wake ktk Nchi.

Wanasiasa Hawa 3 ni marafiki wakubwa kiitikadi na wanakubalika sana Kanda ya ziwa.

Aamen
 
Mbona alichosema ni sahihi, aombe Msamaha kwa lipi ?
Huyu ni mkenya-soma alichosema
Bakari Gavava
Human beings,Let's stop de gossip on how and what caused Magufuli's death.The statement by Tundu Lissu came out of hate and one thing I'd like to remind Lissu is that while he asserts that Jembe died of Corona he may equally die of cancer,pressure or any other disease,every death has a cause and all shall die.
 
Anang'ang'aniaje kuwa alikuwa anamdai baba yako ama Ni Nini.
Revenge is the human emotion that's has been around since Stone age or the creation
 
Tundu Lissu itachukua muda sana kugundua watu gani walihusika kushambuliwa kwake, kuna siku atakuja muomba msamaha Hayati JPM.
Kwa hiyo wewe umeshawajua na unajua iluvyo ngumu watu hao kujulikana?
 
The fact that Jiwe died of Corona haiwezi kusababisha au Kuzuia Lissu kufa, atakufa kwa namna Mungu alivyompangia.
Hapa issue ni Jiwe kufa kwa corona aliyokuwa anakataa kuwa ipo
 
Wewe na baba yako wote hamna akili, hasa wewe'

Jifunze kusamehe hata kama inauma kiasi gani" hasa inapotokea unayedhani ni hasimu wako usithubutu kuinua mdomo kuchekelea na kuinua grasi ya kusherehekea, kwa kuwa hata wewe ni adui wa mwingine"

Jichunguze tu vema, utakuja kugundua kuwa hata wewe umewatendea mabaya wengi tu,
 
Ukiwa unaandika mambo mengi hivi jaribu usikalie kufikirio chako
 
Matamshi yenye busara
"Baki ma mavi yako nyumbani"
By Jiwe
 
Mkuu niwewe au.....?
 
The fact that Jiwe died of Corona haiwezi kusababisha au Kuzuia Lissu kufa, atakufa kwa namna Mungu alivyompangia.
Hapa issue ni Jiwe kufa kwa corona aliyokuwa anakataa kuwa ipo
Kweli alikufa kwa Corona?
Mkuu CHADEMA imelea watu vibaya sana- imewaondoa akili, utu , na ustaarabu
 
Isiwazoom

Tuliwasema hapa ila nyie KUPE hamuwezi kuwasema wala kutaka ng'ombe waliowaba wasemwe
Mimi nimeshawasema CDM na Lissu pia Amesikia, hutomsikia akirudia maneno hayo.

CCCM pambaneni na jahazi lenu LINALOZAMA.

Kauli ya WAZURI hawafi ni Latest, bt Lisu alisema hayo zamani na ameshajirudi.
 
Mimi nimeshawasema CDM na Lissu pia Amesikia, hutomsikia akirudia maneno hayo.

CCCM pambaneni na jahazi lenu LINALOZAMA.

Kauli ya WAZURI hawafi ni Latest, bt Lisu alisema hayo zamani na ameshajirudi.
Usiombe CCM izame ikifikia hapa hakutakuwepo na maji kwenye uso wa dunia na bila kuwepo maji kuzama hakupo
 
Mkuu unaonaje uende Chato ukalichome moto hilo kaburi.Mbona ni rahisi sana kuliko kupiga porojo hapa JF
Nikiwa na nyenzo muhimu ntafanya hivyo, hapa ni sehemu ya watu kutoa mawazo yao kwa uhuru. Au ulitaka tutoe mawazo yetu bila kuandika?
 
Ulikuwa na kigezo Gani Cha kusema eti lisu ni wakala wa mabeberu. Kwa hiyo mtu aliyesimama na kumpinga jpm tu basi alibatizwa kuwa ni wakala wa mabeberu. Aise kumbe jpm alikuwa hauguswi kabisaaa!!! What a shame!!!
 
Nyie CHADEMA msaidie Lissu kumjibu huyu

Kambi Nyeuxi
So do u mean he was somehow eliminated or what's your point sir??,besides that since you're exile how can you assure us that he died of corona??
 
Hii Si sawa,

Haina AFYA Kwa Maslahi ya Taifa,

Siasa hizo za maji taka waachieni CCMM.
Hakuna maji taka hapa , huu ni ukweli wa vitabu vya Mungu , au labda mimi sielewi maana ya maji taka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…