Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

Kineh ngosha, mwadir
 
Kwa yaliyomkuta Lissu kwa kweli tumwache tu aondoe sumu moyoni. Awe sahihi au hayupo sahihi aachwe tu aongee angalao apate relief ya moyo. Kitendo alichofanyiwa ni kikubwa sana kwa binadamu yoyote kupotezea tu as if nothing happened aachwe tu aongee.
 
Hivi mpango wa kumwua Lisu ungefanikiwa, hao wauaji unadhani wangefanya nini zaidi ya kushangilia kufanikiwa kwa mpango wao mwovu?

Kwa mtu kama Lisu, aliyetendewa uovu wote ule, kuondoka kwa kitisho cha uhai wake, unatarajia asikitike?

Ungekuwa na hekima japo kidogo, ungewashauri washirika wa marehemu wamwombe msamaha Lisu ili kuyapoza maumivu ya Lisu. Cha ajabu, unafanya kinyume chake. Yaani huumizwi na mtu aliyetaka kufanya mauaji ila unaumizwa sana na mtu aliyetoa tu kauli dhidi ya muuaji?
 
Kwa yaliyomkuta Lissu kwa kweli tumwache tu aondoe sumu moyoni. Awe sahihi au hayupo sahihi aachwe tu aongee angalao apate relief ya moyo. Kitendo alichofanyiwa ni kikubwa sana kwa binadamu yoyote kupotezea tu as if nothing happened aachwe tu aongee.
Mkuu hiyo sababu wala haitoshi-ya kuondoa sumu- haitoshi
 
Pole sana kwa ujinga.

Umewahi kuiona MDA kati ya Barrick na JMT iliysaimiwa? Mbona ni ya hovyo kuliko hata ile ya mwanzo? Kweli marehemu aliwaokota sana wajinga.

Unamshamgaa mtu anashangilia eti tulikuwa kwenye hali nzuri wakati kila kitu kilikuwa kwenye downward trajectory:

1) ukuaji wa uwekezaji from 28% to 4%

2) ukuaji wa utalii from 15% to 3.6%

3) thamani ya mauzo ya mazao ya kilimo diwn by 50%

4) barabara za lami toka 12,000km kwa miaka 10 down to 2,800km kwa miaka 5.

Kweli wajinga ni mtaji wa wanasiasa wenye ghiliba.
 

Kwani ni cdm wote walisema au ni lissu mwenyewe alitamka.
 

Sasa si utoe ajira kwa vijana!!
Hiyo ni kazi kama kazi zingine ujue
 
Does that justify his celebration upon the death of JPM?
Ukiacha unafiki na kuamua kuwa mkweli utajubali kwamba alichosema ni sahihi. Mtu anayekuwinda akuue kila siku ikitokea ukasikia kapata ajali ikamuondoa utalia?
 
HII POST IMETUCHOSHA MAANA KILA MAHALI UNAIRUDIA HATA PASIPO HUSIKA.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Sasa si utoe ajira kwa vijana!!
Hiyo ni kazi kama kazi zingine ujue
Mkuu sitaki nitakuwa hatiani na damu yake itaandama vizazi,by the way kwa kesi ilipofikia lazima ukifanya hivyo watajua tu ni Mimi na ndugu zangu tumefanya hivyo, hivi sasa naiachia mahakama iamue,huwezi imajini kiwanja kina hati,tena kwa jina la mzee wangu ila mpuuzi mmoja anataka kuchezea haki ,
 
Alipigwa na JPM?
Aliagiza na ndio maana akakataza uchunguzi na hata watu walipo kutana kumuombea pia alikataza.
Ni mtu muuaji pekee awezaye kukataza hata maombi, asingewahi kufa na serikali ya kidemokrasia ingekuja kuingia madarakani akiwa hai angejikuta anakula kitanzi kama Saddam siku moja.
Lissu is right

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…