Kesi closedView attachment 3174391
Kesho tukijaliwa Tundu Lissu atafanya mkutano na waandishi wa habari.
Ukumbi wa mkutano utatangazwa baadae.
Ajenda kuu ya kikao chake ataisema kwenye kikao.
Ilimradi tu kumuoutshine Chairman wake Freeman Aikaeli Mbowe na press conference ya jana dah 🤣View attachment 3174391
Kesho tukijaliwa Tundu Lissu atafanya mkutano na waandishi wa habari.
Ukumbi wa mkutano utatangazwa baadae.
Ajenda kuu ya kikao chake ataisema kwenye kikao.
Ukorofi uko kwenye damu🤣Lissu huwezi kumzima kwa ubabe ni heri ukae nae chini umuombe kwa ustrabu ukitaka ligi yeye ndio michezo anaipenda.
Mchawi wa Lumumba🤣Ilimradi tu kumuoutshine Chairman wake Freeman Aikaeli Mbowe na press conference ya jana dah 🤣
mpasuko ndani ya chadema ni wa kibabe sana aise 🤣
Gentleman,Mchawi wa Lumumba🤣
Jitahidi kuficha upumbavu wako.Mwambieni hatujashitakiwa MIGA na ndege zinaendelea kununuliwa
Jitahidi ubadilike kuendana na wakati naona bado unaishi kwa upepo wa Mwendazake.Mwambieni hatujashitakiwa MIGA na ndege zinaendelea kununuliwa
Jitahidi kuficha upumbavu wako.Mwambieni hatujashitakiwa MIGA na ndege zinaendelea kununuliwa
Ukumbi mtatangaza saa ngapi? wengine tunapenda kujua mapema ili tuhudhirie ndugu yangu.Kesho tukijaliwa Tundu Lissu atafanya mkutano na waandishi wa habari.
Ukumbi wa mkutano utatangazwa baadae.
Ajenda kuu ya kikao chake ataisema kwenye kikao.
Story za mashambenga ndio huwaga za hivi.Ilimradi tu kumuoutshine Chairman wake Freeman Aikaeli Mbowe na press conference ya jana dah 🤣
mpasuko ndani ya chadema ni wa kibabe sana aise 🤣