Tundu Lissu kufanya mkutano na waandishi wa habari 12 Desemba 2024

Tundu Lissu kufanya mkutano na waandishi wa habari 12 Desemba 2024

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
lissu.png
Kesho tukijaliwa Tundu Lissu atafanya mkutano na waandishi wa habari.

Ukumbi wa mkutano utatangazwa baadae.

Ajenda kuu ya kikao chake ataisema kwenye kikao.

Update

Ukumbi ni Mlimani City
Muda ni saa 5 asubuhi
Gharama za event zimetokana michango ya diaspora, sauti ya watanzania group na watanzania wapenda mabadiliko. (Mil 10)
 
View attachment 3174391
Kesho tukijaliwa Tundu Lissu atafanya mkutano na waandishi wa habari.

Ukumbi wa mkutano utatangazwa baadae.

Ajenda kuu ya kikao chake ataisema kwenye kikao.
Ilimradi tu kumuoutshine Chairman wake Freeman Aikaeli Mbowe na press conference ya jana dah 🤣


mpasuko ndani ya chadema ni wa kibabe sana aise 🤣
 
Mchawi wa Lumumba🤣
Gentleman,
niliwahi kusema kwenye jukwaa hili kwamba Chairman wa Chadema Taifa Freeman Aikaeli Mbowe akifanya Press conference leo haziwezi kuzidi siku zaidi ya4 , Makamu mwenyekiti taifa wa Chadema Tundu Antipas Lisu Lazima nae ataitisha press conference, ndiyo hayo sasa...

Lengo ni moja tu, kumuoutshine Boss wake.

Na hii ni kuthibitisha upasuko ni mkubwa na hauzibiki 🐒
 
Back
Top Bottom