Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
Alafu kuna jinga moja linateteaKampuni ya Apple,inayotengeneza simu za iphone,miaka michache iliyopita iliigomea F.B.I kulifungua lock simu fulani aina ya iphone iliyokuwa imedondishwa na kijana mmoja aliyekuwa na asili ya kiarabu aliyekuwa anashukiwa kuwa ni gaidi ila alofanikiwa kuikimbia nchi ya Marekani,Apple waligoma katakata kui unlock simu hiyo ambayo F.B.I wenyewe walikuwa wamechemka kulifungua lock yake,Apple walikataa huku wakilondwa na Sheria za kulinda faragha za wateja wao.
Kafanywaje kwani?Pia tupiganie msanii wetu Diamond apate justice, kitendo alichofanyiwa na pdiddy hakikubaliki
Duuh, ukisimama nchale,na ukikaa nchaleTukumbuke hii wizara ya mawasiliano ilikuwa chini ya Nape na yuko tayari kumsaidia Lissu inasemekana🤣
Vipi kwa Kibao mzimu utateseka wa naniKatika mizimu ya marais waliofariki ambao unateseka, ni wa JPM, kila mwaka lazima uibuliwe usulubiwe
Aminaaa.Hii kesi Nape na makamba wanaipenda sana kwasababu wabaya wao wakina Makonda hawana pa kukimbilia tena na kibaya zaidi inaelekea wale vijana wapigaji risasi wanajulikana sasa na team ya Lissu imeshapewa majina. Tukumbuke hii wizara ya mawasiliano ilikuwa chini ya Nape na yuko tayari kumsaidia Lissu inasemekana
Una hoja na ingekuwa sawa jambazi kama BASHITE angefuatiliwa lakini unapiga risasi Mtakatifu TUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISSU ambae hajawahi kuua hata MBU ukiondoa wanaosababisha malaria? Bashite huko aliko kesha ita waganga wake woooote tayari kwa kupiga mbizi kwenye TUNGULI na hazitamsaidia.au sio! hapo wanajisumbua tu hao wazungu wanawahadaa watu wasio na akili ipo hivi...
Hakuna serikali iwe inamamlaka za ulinzi(intelijensia),halafu isifatilie taarifa, taarifa ni muhimu ktk namna yoyote ile na moja kati ya vyanzo vya taarifa ni mitandao ya mawasiliano...
Kwa hiyo hutaki huyo mumeo kutajwa kunywa sumu umfuate kaburini laiyoni weweMara tigo ilimsaidia Magufuli mara sijui tunataka tujue walioshiriki na waliowawezesha ,
Ilimradi tu mboyoyo ziwe mingi na amtaje Magufuli kama kawaida yake.
Na Tigo itabadilishwa jina sasa ivi we subiri hizi allegation ni kubwa sanaaaaaTigo inaenda kula kwao.
Alifanyiwa Nini na Nani aliona?Pia tupiganie msanii wetu Diamond apate justice, kitendo alichofanyiwa na pdiddy hakikubaliki
Ujinga wako upo hapa kwenye maelezo hayo katika mistari hii miwili.narudia tena hakuna serikali itakaa hivihivi bila kutafuta taarifa,wanapozitaka watazipata na hata ukiwazuia watatumia gharama yoyote!,shida sisi raia huku chini huwa tunahadaiwa na vitu vyakipuuzi mno nawakati uhalisia tofauti!.
nyie viumbe wagumu mno kuelewa! nimeandika kwa gharama yoyote ile hapo tayari nimeshajumuisha sheria na hata kama wakishindwa kuzipata kupitia sheria wapo radhi watumie njia nyengine!.Ujinga wako upo hapa kwenye maelezo hayo katika mistari hii miwili.
Ujinga ni kwa wewe kutojuwa taratibu zinazo paswa kufuatwa, hata na hizo serikali unazo zizungumzia hapa.
Unajipa ujuaji kwa mambo usiyo yaelewa vizuri...
Una level gani ya Elimu ?Unajifanya unajua sana!!au sio mi kenzy kama kenzy..😂
ndio najifanya mkuu kama umenuna pole sana!.Una level gani ya Elimu ?Unajifanya unajua sana!!