Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
Alafu kuna jinga moja linateteaKampuni ya Apple,inayotengeneza simu za iphone,miaka michache iliyopita iliigomea F.B.I kulifungua lock simu fulani aina ya iphone iliyokuwa imedondishwa na kijana mmoja aliyekuwa na asili ya kiarabu aliyekuwa anashukiwa kuwa ni gaidi ila alofanikiwa kuikimbia nchi ya Marekani,Apple waligoma katakata kui unlock simu hiyo ambayo F.B.I wenyewe walikuwa wamechemka kulifungua lock yake,Apple walikataa huku wakilondwa na Sheria za kulinda faragha za wateja wao.