Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
Kampuni ya Apple,inayotengeneza simu za iphone,miaka michache iliyopita iliigomea F.B.I kulifungua lock simu fulani aina ya iphone iliyokuwa imedondishwa na kijana mmoja aliyekuwa na asili ya kiarabu aliyekuwa anashukiwa kuwa ni gaidi ila alofanikiwa kuikimbia nchi ya Marekani,Apple waligoma katakata kui unlock simu hiyo ambayo F.B.I wenyewe walikuwa wamechemka kulifungua lock yake,Apple walikataa huku wakilondwa na Sheria za kulinda faragha za wateja wao.
Alafu kuna jinga moja linatetea
 
Hii kesi Nape na makamba wanaipenda sana kwasababu wabaya wao wakina Makonda hawana pa kukimbilia tena na kibaya zaidi inaelekea wale vijana wapigaji risasi wanajulikana sasa na team ya Lissu imeshapewa majina. Tukumbuke hii wizara ya mawasiliano ilikuwa chini ya Nape na yuko tayari kumsaidia Lissu inasemekana
Aminaaa.
 
au sio! hapo wanajisumbua tu hao wazungu wanawahadaa watu wasio na akili ipo hivi...

Hakuna serikali iwe inamamlaka za ulinzi(intelijensia),halafu isifatilie taarifa, taarifa ni muhimu ktk namna yoyote ile na moja kati ya vyanzo vya taarifa ni mitandao ya mawasiliano...
Una hoja na ingekuwa sawa jambazi kama BASHITE angefuatiliwa lakini unapiga risasi Mtakatifu TUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISSU ambae hajawahi kuua hata MBU ukiondoa wanaosababisha malaria? Bashite huko aliko kesha ita waganga wake woooote tayari kwa kupiga mbizi kwenye TUNGULI na hazitamsaidia.
 
Ila bongo nyoso. Ndo maana Hata hamna wawekezaji serious kama mambo yenyewe ndo haya.

wanataka=wanatajwa
 
Mara tigo ilimsaidia Magufuli mara sijui tunataka tujue walioshiriki na waliowawezesha ,

Ilimradi tu mboyoyo ziwe mingi na amtaje Magufuli kama kawaida yake.
Kwa hiyo hutaki huyo mumeo kutajwa kunywa sumu umfuate kaburini laiyoni wewe
 
Soma post number moja mpaka ya 96 where is the legal argument zaidi ya ujinga mtupu.

Hawa ni watu wa ku-negotiate nao au kunyooshwa tu.
 
narudia tena hakuna serikali itakaa hivihivi bila kutafuta taarifa,wanapozitaka watazipata na hata ukiwazuia watatumia gharama yoyote!,shida sisi raia huku chini huwa tunahadaiwa na vitu vyakipuuzi mno nawakati uhalisia tofauti!.
Ujinga wako upo hapa kwenye maelezo hayo katika mistari hii miwili.

Ujinga ni kwa wewe kutojuwa taratibu zinazo paswa kufuatwa, hata na hizo serikali unazo zizungumzia hapa.
Unajipa ujuaji kwa mambo usiyo yaelewa vizuri.

Hizo serikali hazi amrishi tu zipewe taarifa. Kuna sheria zinazo simamia maswala hayo, na taratibu hizo ni lazima serikali izifuate, siyo kuamrisha kwa nguvu kwa kutumia vitisho kama unavyo fikiri ndiyo njia sahihi.

Serikali ikikiuka taratibu, inapelekwa mahakamani na kuwajibishwa.
 
Hadi sasa kwenye mitandao zinajadiliwa habari za Upande Mmoja tu wa Tundu Antipas Lisu

Waandishi Wabobezi Ili kuupata Ukweli na kubalance habari Lazima wangeenda ofisini Kwa RC Makonda Hata bila mwaliko

Au nasema uwongo Pascal Mayalla? 😂
 
Ujinga wako upo hapa kwenye maelezo hayo katika mistari hii miwili.

Ujinga ni kwa wewe kutojuwa taratibu zinazo paswa kufuatwa, hata na hizo serikali unazo zizungumzia hapa.
Unajipa ujuaji kwa mambo usiyo yaelewa vizuri...
nyie viumbe wagumu mno kuelewa! nimeandika kwa gharama yoyote ile hapo tayari nimeshajumuisha sheria na hata kama wakishindwa kuzipata kupitia sheria wapo radhi watumie njia nyengine!.

Serikali haiwezi kukaa tu eti isubiri sheria kuna vitu vyengine vinamuda mchache sana yani taarifa zake mnatakiwa mzipate hata within 24 hours halafu ni vitu nyeti mno!. sasa kalisha kende usubiri huo muda upite ati unasubiri sheria!.. likitokea lakutokea haohao wananchi itaona serikali haina uwajibikaji!.

kuna muda sheria lazima ibakwe ndugu, msifikiri hivyo mnavyofikiri na ndio maana yakuwa navitengo vya siri hata wakiibaka sheria wewe huku hautajua!,kuna muda mamlaka lazima itumie mamlaka yake kwa faida.
 
bongo ama dunia kwasasa inaendeshwa kwa trending!.
hayo mambo yakubalance mtajijua wenyewe..😂
 
Back
Top Bottom