Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kujizolea zaidi ya kura milioni 16.7, ni za wanavyuo vikuu, graduates na wafanya kazi

UDOM, uchaguzi tu wa Bavicha mlipeleka hadi mapolisi. Unataka wakuimbie wazi wazi ??

Subiri utaona.

mbna arusha kukiwa na mikutano ya akina lema polisi wanakuja vizuri tu na mkutano wenyewe unakua watu hawa 100 hawafiki, kwan askari kuja ndo kithibitisho?
 
Sasa tuanze kutafuta namba ya shujaa Lissu kurudi nyumbani manake anajulikana kuwa ni tishio na mbinu chafu zinaendelea za kufifisha matazamio ya watanzania kwa kumkamata au kumwekea Lissu zuio la kugombea.
 
Ndoto za watanzania kumpta Rais Bora haziwezi kuzuiwa na mhuni mmoja tu
 
mbna arusha kukiwa na mikutano ya akina lema polisi wanakuja vizuri tu na mkutano wenyewe unakua watu hawa 100 hawafiki, kwan askari kuja ndo kithibitisho?
Ukiona wapi thihitisha kwa picha na video. Vinginevyo itakuwa porojo tu.
 
Mimi nasubiri kipindi cha kampeni niwasikie ccm wanaposema "tumetoa ajira za kutosha kwa vijana"😂😂
Hahaa na vijana tupo kila kona tutawaumbua watwambie wameajiri akina nani na wapi
 
Aje agombee mnajigamba sana n
Msaliti ni lugha na propaganda za Lumumba sio za wananchi. Nazo zimeshafeli kitambo sio nyimbo tena.
Aje tuone kama atafika kura hata nusa za Lowassa 2015. Watanzania wengi hatujui siasa za Tanzania. Naamini Tundu anajua kujenga hoja vizuri lakajui akiwa Rais wa Tanzania atafanya chenye manufaa na Cheng kumgusa mtanzania wa kawaida zaidi utasikia CCM no dude tulitoe madarakani
 
Utakapo kurupuka Toka usingizini ujikute kumbe ulikuwa ukiota kwa makele ukiwa umepanda daladala utanitaarifu!
 
safi kabisa, akipata 16.7m, ambazo hazijawahi kufikiwa na mtu yeyote, tutampa JPM, yeye atapewa za JPM.Na mshindi tutampa JPM. Simple

tafuta ugali na familia yako ujinga huu sio wa responsible woman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…