Tundu Lissu: Kuna biashara haramu ya utoaji wa vibali vya uagizaji wa Sukari nchini. Siku nikitaja majina mtashangaa

Sasa hivi ni mambo ya kutishia kutajana. Makonda "nitawataja" Lisu "niwataje?". Kama kutajana ni fashion basi na mimi sitaki kupitwa. Maxence Melo asiporudisha jf ya zamani kufikia j3 nataja michongo yake yote mibovu kama mbwai mbwai.
 
Hivi hawa wapinzani huwa wana sera au ilani ya vyama vyao kuwa watafanya nini tukiwachagua?
Au ni mwendo wa makelele tu kila siku
 
hiyo ndo siasa ndng yang...lissu kuyasema hayo maneno kwasababu frani...na hajataja yale majina kwasababu fran...huenda hiyo ilikuwa n first plan..kwhy let us wait for the results
 
hiyo ndo siasa ndng yang...lissu kuyasema hayo maneno kwasababu frani...na hajataja yale majina kwasababu fran...huenda hiyo ilikuwa n first plan..kwhy let us wait for the results
Siasa ni maslahi.
 
Kizimkazi mwenyewe hayupo Yuko majuu anapiga misele kumbe nyuma anaganji yake. Akirudi anapewa chake
 
Wajinga ndiyo waliwao.

Chadomo hawana sera wao wana porojo, kubwabwaja na kuhororoja bila mpango tu.

Hapo hakuna zaidi ya ufataani tu.

Wenzio wanatoa hoja, wewe unaropoka.
 
Sasa hivi ni mambo ya kutishia kutajana. Makonda "nitawataja" Lisu "niwataje?". Kama kutajana ni fashion basi na mimi sitaki kupitwa. Maxence Melo asiporudisha jf ya zamani kufikia j3 nataja michongo yake yote mibovu kama mbwai mbwai.
hahahahahahaha!! kwamba na wew umeamua utoe la moyon...haya bn
 
Nimeona ila sie wengine tulishazoea ile ya MwembeYanga
Enzi zile ulikuwa ukitaja, vyombo vinafanya uchunguzi,

Saiz unaona CAG analeta Ripoti ya mwaka huu ,wakati ya mwaka Jana haikafanyiwa KAZI.

Bado tuna safari ndefu mbele yetu!!
 
Mama anaupiga mwingi sn
 
Kweli mtupu tunajua diri nzito deal la sukari.....tunajua
Ndugu yangu kuna mambo mengi Sana huwa yanavuja na tunapata taarifa ila hatuna sehemu ya kusemea .
Mwezi February kuna jamaa hapa kariakoo alienda Dodoma kuchukua kibali cha kuagiza sukari Kwa jina lake lkn nyuma ya pazia ni waziri ndiyo mwenye mtaji

Jamaa sikuhizi yupo kwenye V8 mwanzomwisho maisha Safi anapiga pesa Kwa mgongo wa rafiki yake waziri
 
Hakuna majangili wakubwa kama hawa jamaa wapo kwenye V8 za umma
 
Kama ni kweli hii nchi wenye hofu ya Mungu ni wachache sana
 
Dah! Kumbe tuna mengi tusiyojua.
Nape aje atoe maelezo kwa nini tusimsikilize Lissu na badala yake tumlaani.
 
Ni sahihi kabisa...
 
πŸ™„!πŸ™„ !πŸ™„!πŸ™„!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…