Maswa Yetu
Senior Member
- Mar 18, 2023
- 155
- 217
- Thread starter
- #81
Tutashitakiwa MIGA tukichimba bwawa la umemeLissu ni mtu ambaye hawezi kukubali makosa yake, wakati wote atamsingizia mwingine. Hafai kuwa kiongozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutashitakiwa MIGA tukichimba bwawa la umemeLissu ni mtu ambaye hawezi kukubali makosa yake, wakati wote atamsingizia mwingine. Hafai kuwa kiongozi.
SawaNa wewe ni mmoja wao
Wamsikilize tu upya clip bado ipo hapo haijaondolewa. Wasipoelewa waongezee kwa kusomea post Na. #27 aliyotoa TindoSasa si ungewasaidia kwa kuwaelezea hiyo point ya Lissu ambayo hawajaelewa?
Amandla...
Fanya hivi usichangie chochote ndani ya cdm, na kama kuna watu wanataka kuchangia hiyo tonetone unaowajua washawishi wasichangie.Lissu nilimpigia kura,nilimfanyia kampeni,nilichangia kampeni zake na zaidi ya yote nilisikitika sana walipomtandika risasi nyingi kwasababu ya misimamo yake.
This time siwezi kumpigia kura yangu.
Siwezi kuwashawishi wapiga kura wampgie kura.
Siwezi kuchangia sijui tone tone au aina yoyote ya msaada ambao utamwezesha Lissu kunenepesha tumbo lake kubwa kama gunia la mtama.
Kifupi sana Lissu ni karata mbovu.
Usinipangie cha kusema wala cha kufanya.Fanya hivi usichangie chochote ndani ya cdm, na kama kuna watu wanataka kuchangia hiyo tonetone unaowajua washawishi wasichangie.
Kuhusu kura, pole kwa kura uliyompa. Na sasa usimpe tena na shawishi watu wasimpe, kwani kura kwa sasa hazina maana tena maana dola ndio inayoamua nani awe kiongozi na sio kura.
Wakati tunaimba mabadiliko kumbe mlikuwa mnaaminisha mabadiliko yawepo ila yasimguse Mbowe! Mlitaka afie kwenye hicho cheo? Uzuri huwa mnamsifia ni mfanyabiashara. Sasa amepata muda mzuri wa kusimamia biashara zake badala ya kujitolea cdm, ili awe tajiri kuliko Mo.Uchaguzi ni jambo dogo sana,
Na hata kuwa Mwenyekiti wa CDM haimfanyi mtu kuwa wa maana sana katika muktadha wa siasa zetu zilivyo tokea 2020.
Kampeni za uchaguzi wa CDM ni kati ya kampeni za hovyo nilizowahi kushuhudia katika uchaguzi kwenye chama cha siasa chenye wafuasi wengi.. hovyo kabisa.
CDM haipo Copenhagen ukilielewa hili utajua kwanini CCM wanafanya mambo yao kimya kimya.
Ila mimi mtu anaesaliti urafiki siwezi kumuona wa maana hata siku moja.
Nongwa yako ipate nguvu zaidi. Eti huchangi, ni ngapi umewahi kuchanga ya maana sana useme usipochanga watu wataumia? Hapo bado hujasema, utasema tu mbona?Usinipangie cha kusema wala cha kufanya.
Hujui kitu wala hujui mimi ni nani.Nongwa yako ipate nguvu zaidi. Eti huchangi, ni ngapi umewahi kuchanga ya maana sana useme usipochanga watu wataumia? Hapo bado hujasema, utasema tu mbona?
We ndio Mbowe mwenyewe ndio maana unadhani una umuhimu huo.Hujui kitu wala hujui mimi ni nani.
Ulitegemea aseme kuwa Lissu atashinda uchaguzi?Nakumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi wa uenyekiti (CHADEMA) ulisema humu tena kwa kujiamini kabisa kwamba Lissu hatachaguliwa uenyekiti. Hatimaye amechaguliwa na bado unaonekana una nongwa nae. Lissu alikukosea nini Mkuu?
Hata wewe haujamuelewa ndio maana unashindwa kueleza alimaanisha nini.Wamsikilize tu upya clip bado ipo hapo haijaondolewa. Wasipoelewa waongezee kwa kusomea post Na. #27 aliyotoa Tindo
Alitabiri UONGOUlitegemea aseme kuwa Lissu atashinda uchaguzi?
Hata wewe haujamuelewa ndio maana unashindwa kueleza alimaanisha nini.
Amandla...
SawaUlitegemea aseme kuwa Lissu atashinda uchaguzi?
Hata wewe haujamuelewa ndio maana unashindwa kueleza alimaanisha nini.
Amandla...
Kwa nini unahangaika namna hii wakati huu. Mmeahidiwa fungu zaidi kuelekea kwenye uchaguzi mkuu?We mpumbavu unajiona kajaanja 😂😂😂😂 hapo umedandia kosungura unalewa na huna mia mfukoni zaidi ya chuki za kike ulizobeba kifuani!! Mtu wa hovyo sana!
Bado kampeni za team Mbowe na Lissu hazijaisha.Bado kuna mapandikizi ya CCM ndani ya CHADEMA.
Karma haikopeshi!!...kuitwa dikteta uchwara kwani msimamo....