Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuna wana CHADEMA wananiita dikteta uchwara

Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuna wana CHADEMA wananiita dikteta uchwara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu nilimpigia kura,nilimfanyia kampeni,nilichangia kampeni zake na zaidi ya yote nilisikitika sana walipomtandika risasi nyingi kwasababu ya misimamo yake.

This time siwezi kumpigia kura yangu.
Siwezi kuwashawishi wapiga kura wampgie kura.
Siwezi kuchangia sijui tone tone au aina yoyote ya msaada ambao utamwezesha Lissu kunenepesha tumbo lake kubwa kama gunia la mtama.

Kifupi sana Lissu ni karata mbovu.
Fanya hivi usichangie chochote ndani ya cdm, na kama kuna watu wanataka kuchangia hiyo tonetone unaowajua washawishi wasichangie.

Kuhusu kura, pole kwa kura uliyompa. Na sasa usimpe tena na shawishi watu wasimpe, kwani kura kwa sasa hazina maana tena maana dola ndio inayoamua nani awe kiongozi na sio kura.
 
Fanya hivi usichangie chochote ndani ya cdm, na kama kuna watu wanataka kuchangia hiyo tonetone unaowajua washawishi wasichangie.

Kuhusu kura, pole kwa kura uliyompa. Na sasa usimpe tena na shawishi watu wasimpe, kwani kura kwa sasa hazina maana tena maana dola ndio inayoamua nani awe kiongozi na sio kura.
Usinipangie cha kusema wala cha kufanya.
 
Uchaguzi ni jambo dogo sana,
Na hata kuwa Mwenyekiti wa CDM haimfanyi mtu kuwa wa maana sana katika muktadha wa siasa zetu zilivyo tokea 2020.

Kampeni za uchaguzi wa CDM ni kati ya kampeni za hovyo nilizowahi kushuhudia katika uchaguzi kwenye chama cha siasa chenye wafuasi wengi.. hovyo kabisa.

CDM haipo Copenhagen ukilielewa hili utajua kwanini CCM wanafanya mambo yao kimya kimya.

Ila mimi mtu anaesaliti urafiki siwezi kumuona wa maana hata siku moja.
Wakati tunaimba mabadiliko kumbe mlikuwa mnaaminisha mabadiliko yawepo ila yasimguse Mbowe! Mlitaka afie kwenye hicho cheo? Uzuri huwa mnamsifia ni mfanyabiashara. Sasa amepata muda mzuri wa kusimamia biashara zake badala ya kujitolea cdm, ili awe tajiri kuliko Mo.
 
Usinipangie cha kusema wala cha kufanya.
Nongwa yako ipate nguvu zaidi. Eti huchangi, ni ngapi umewahi kuchanga ya maana sana useme usipochanga watu wataumia? Hapo bado hujasema, utasema tu mbona?
 
Ni kweli kuingia kwenye uchaguzi kwa sheria hizi hizi na kwa tume hii hii ni sawa na kubariki kwamba CCM kushinda majimbo yote huku watu familia za wana CDM zikibakia na vilema na misiba. CCM hawatakubaki kabisa ku loose battle.
 
Nongwa yako ipate nguvu zaidi. Eti huchangi, ni ngapi umewahi kuchanga ya maana sana useme usipochanga watu wataumia? Hapo bado hujasema, utasema tu mbona?
Hujui kitu wala hujui mimi ni nani.
 
Nakumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi wa uenyekiti (CHADEMA) ulisema humu tena kwa kujiamini kabisa kwamba Lissu hatachaguliwa uenyekiti. Hatimaye amechaguliwa na bado unaonekana una nongwa nae. Lissu alikukosea nini Mkuu?
Ulitegemea aseme kuwa Lissu atashinda uchaguzi?
Wamsikilize tu upya clip bado ipo hapo haijaondolewa. Wasipoelewa waongezee kwa kusomea post Na. #27 aliyotoa Tindo
Hata wewe haujamuelewa ndio maana unashindwa kueleza alimaanisha nini.

Amandla...
 
Mbowe angekuwa king'ang'anizi asinge lipia Mkutano Mkuu. Bila milioni 250 alizotoa, uchaguzi usingefanyika.

Angekuwa king'ang'anizi agewaambia watu waongeze kura kwenye masanduku. Angekuwa king'ang'anizi asingekubali matokeo na angedai zihesabiwe upya maana tofauti ilikuwa ndogo mno. Ameonyesha ukomavu, amekubali matokeo na kuendelea na shughuli zake. Lakini bado watu wanamtafuta.

Amandla...
 
We mpumbavu unajiona kajaanja 😂😂😂😂 hapo umedandia kosungura unalewa na huna mia mfukoni zaidi ya chuki za kike ulizobeba kifuani!! Mtu wa hovyo sana!
Kwa nini unahangaika namna hii wakati huu. Mmeahidiwa fungu zaidi kuelekea kwenye uchaguzi mkuu?

Mmejiandaa vizuri kwa haya yatakayo fuata katika muda mfupi huu wa miezi michache ijayo, ikiwa ni pamoja na kutambua uhusika wenu katika maumivu watakayoweza kuwapata baadhi yetu ikiwa ni pamoja na kumwaga damu za waTanzania; kwa faida gani; ya hivyo vijisenti mnavyotupiwa chini mviokote?

Ndiyo, uko sahihi kabisa unapozungumzia "chuki" inapohusu watu kama wewe na hao wanaokutuma kuja hapa. Nisipokuwa na chuki na watu mnaoinajisi Tanzania, nitakuwa na chuki ya jambo gani?
 
Back
Top Bottom