Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Mkuu Uchawa ni jambo la kawaida sana kwenye siasa hahaha, kuna machwa wa Mbowe, Lissu, Biden, Kagame, Mama, n.k.Tayari jina lishakamata hilo hakuna tena njia
Hivi ni kweli? Anakuja kweli?
Eee Mungueee, Asante sana Mungu wangu kwa kunifuta machozi mengi niliyolia siku Lissu alipomiminiwa risasi...Sina mengi ya kusema Baba Mungu ila tu ni Atukukuzwe Baba, Atukuzwe Mwana na pia Atukuzwe Roho Mtakatifu Aaamen
Chadema ni chama wachaga wanamtumia tu Lissu kutafuta madaraka.
Uzuri watanzania wote wamestuka kasoro wanyaki na watu wa tarime ndio wanashobokea sana hao wachaga.
Kashavurugwa huyo maana anajisikia aibu baada ya mpango wao wa kukatisha maisha ya mh Lissu kushindikana.Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
Ila jiwe alikuwa na Roho Mbaya sana aisee,
Mungu ni mkubwa sanaYule alikuwa iblisi
Tangaza ruti ya mapokezi.
Napendekeza iwe dar, avuruge siku nzina,
Dodoma atikise nusu siku na hatimaye akamalizie chato kuweka shada kwa shujaa hewa.
Wewe ni mmoja wa wasiojulikana?Usalama wako?
Bora Baba ako angepiga tu puli....Chadema ni chama wachaga wanamtumia tu Lissu kutafuta madaraka.
Uzuri watanzania wote wamestuka kasoro wanyaki na watu wa tarime ndio wanashobokea sana hao wachaga.
Upo kwenye kundi la wasaga sumu hapa nchini.Mafao ya ubunge alivyolipwa na dk Samia kayamaliza, maisha uzunguni yamekuwa magumu kaona isiwe tabu karudisha mpira Kwa kipa.
Nini TBC hadi BBC walishawahi na zikapita trh.View attachment 2480437
=
Ikiwa hadi TBC wameripoti hili swala, Je Showmax huoni utofauti hapo??
Enzi zile TBC wangeweza kweli kufanya hivi??
Acha kukufuru wewe,Time for our Jesus lisu
Kwani kabla hatujanyolewa kwa vipande vya chupa pasipo maji na kushitakiwa Miga, tulikuwa tunalipwa ngapi?
Nitakuwa najibizana na taahira aliyeathiriwa na ushoga. Ni wapi nimemtaja lisu kwenye maandishi yangu?Lete video/chochote hapa kinachomuonesha Lissu akihamasisha ushoga, kama huna basi wewe ni LIPUMBAVU FLANI TU HIVI linalochafua watu mitandaoni, Stupid