Yale yale ya kila wakati kukimbilia ubalozini kushitaki eti tunaonewa. Mwambieni apige kampeni kwa watanzania. Wanaopiga kura ni wa-TZ, siyo mabalozi au mtaji umekata?Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .
Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF
=======
Mawazo duni kuna pingamizi lolote Lina kataza kukutana nao? Mbona Kabudi aliongea nao wakati kampeni zikiendelea? Tulia uchomwe sindano vizuri.Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).
Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.
Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.
waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Hii kauli ya maendeleo hayana vyama tuitafakari mara 2.Maana kiuhalisia on the ground ni kama haitekelezeki.Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.
Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.
Maendeleo hayana vyama!
Natoa rai kwa Polisi wazuie mkutano juu.Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .
Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF
=======
Wewe unatia wasiwasi sana!Unatia huruma sana
Kuna wakati najisikia vibaya kwamba CHADEMA walichanguaje mtu kama huyu kuwa ndo anafaa kuliko wengine. Sijui ni maamuzi yake binafsi au ni viongozi wake ndo wameona hili ni zuri. Mabalozi ni wapiga kura? Hana hata kumbukumbu kwamba anaambiwa anajipendekeza kwa nchi za kigeni na sasa ikitokea hili, ni uthibitisho kwamba bado ahanagika kujikomba. Kura tunazo wa-TZ bhana!Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.
Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.
Maendeleo hayana vyama!
Piga ulanzi tulia dawa iwaingieNimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.
Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.
Maendeleo hayana vyama!
Huna akili hata mojaKuna wakati najisikia vibaya kwamba CHADEMA walichanguaje mtu kama huyu kuwa ndo anafaa kuliko wengine. Sijui ni maamuzi yake binafsi au ni viongozi wake ndo wameona hili ni zuri. Mabalozi ni wapiga kura? Hana hata kumbukumbu kwamba anaambiwa anajipendekeza kwa nchi za kigeni na sasa ikitokea hili, ni uthibitisho kwamba bado ahanagika kujikomba. Kura tunazo wa-TZ bhana!
Ukiwa unajua kimombo raha sn mpaka mabolozi watakuita, yule babu wa Lumumba anateta na waganga wa kienyeji. OverKuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .
Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF
=======
Sheria inazuia?Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.
Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.
Maendeleo hayana vyama!
Roho za uoga wa kijinga ndizo zimetufikisha hapa, hao mabalozi ni magaidi?Amani ikipotea Mimi na wewe wote tutakuwa wahanga sio ishu ya ccm au chadema
Sasa hivi wako busy na makada wenzao wanapigia kampeni CCMAngeenda NEC ndio wahusika bwashee!
Nchi zao ndizo zinazokuletea pesa za kujenga flyover na SGR.Mabalozi watafanya nini kwa mujibu wa sheria?
.........Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?, Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.
Kwenye uonevu na ukiukwaji wa democracy hakunaga mambo ya ndani ya nchi ndo maana kuna ICC ambayo si ya kina NEC yenu ambayo imeonesha total failure kwa upendeleo wa waziwazi !!!
Mchakamchaka wa kwenye mitandao?Bwashe ni kesho naona umepata kiwewe,Lissu si Lowassa atawakimbiza mchaka mchaka hadi vifua vipasuke.
NiNA TABIRI ATAONGELEA ZAIDI UENGULIWAJI WA WAGOMBEA KIUONEVU.Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .
Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF
=======
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .
Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF
=======