Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF

=======
Yale yale ya kila wakati kukimbilia ubalozini kushitaki eti tunaonewa. Mwambieni apige kampeni kwa watanzania. Wanaopiga kura ni wa-TZ, siyo mabalozi au mtaji umekata?
 
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Mawazo duni kuna pingamizi lolote Lina kataza kukutana nao? Mbona Kabudi aliongea nao wakati kampeni zikiendelea? Tulia uchomwe sindano vizuri.
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Hii kauli ya maendeleo hayana vyama tuitafakari mara 2.Maana kiuhalisia on the ground ni kama haitekelezeki.
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF

=======
Natoa rai kwa Polisi wazuie mkutano juu.

Hahaha wawapige mabomu
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Kuna wakati najisikia vibaya kwamba CHADEMA walichanguaje mtu kama huyu kuwa ndo anafaa kuliko wengine. Sijui ni maamuzi yake binafsi au ni viongozi wake ndo wameona hili ni zuri. Mabalozi ni wapiga kura? Hana hata kumbukumbu kwamba anaambiwa anajipendekeza kwa nchi za kigeni na sasa ikitokea hili, ni uthibitisho kwamba bado ahanagika kujikomba. Kura tunazo wa-TZ bhana!
 
Piga ulanzi tulia dawa iwaingie
 
Huna akili hata moja
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF

=======
Ukiwa unajua kimombo raha sn mpaka mabolozi watakuita, yule babu wa Lumumba anateta na waganga wa kienyeji. Over
 
Tukiwaambia Lisu ni debe tupu mnakataa,!

Sasa kwa anaenda kulia kwa mabalozi baada ya kuona Amsterdam hafui dafu?

Huyu mtu tarehe 28 tuhakikishe anaenda kwa beberu wake huko ubelgiji.
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Sheria inazuia?
Je mtsmteka akiwa njiani?
 
ni upumbavu kuamini lisu atakua raisi wa jmt

narudia tena ni popoma pekee ataeamini lisu atakua rais wa jmt

ataishia kua raisi wa mioyo yenu
 
Amani ikipotea Mimi na wewe wote tutakuwa wahanga sio ishu ya ccm au chadema
Roho za uoga wa kijinga ndizo zimetufikisha hapa, hao mabalozi ni magaidi?
Pumbavu kabisa...kwani Lissu ni mhalifu?
Utakuwa mgogo wewe
 
Siasa za sasa za Tanzania hasa upinzani zinahitaji mtu aina ya Lissu, huyu jamaa ukimchafua anakuchafua.ukimkejeli anakukejeli.Advocate Jebra anakuambia refa kaona mchezo umekuwa mgumu kwa timu aishabikiayo ameanza kukaba na kutoa pasi.
 
.........Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?, Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Kwenye uonevu na ukiukwaji wa democracy hakunaga mambo ya ndani ya nchi ndo maana kuna ICC ambayo si ya kina NEC yenu ambayo imeonesha total failure kwa upendeleo wa waziwazi !!!
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF

=======
NiNA TABIRI ATAONGELEA ZAIDI UENGULIWAJI WA WAGOMBEA KIUONEVU.
Hii kitu inauma sana.
Wagombea wa cfm wamenysnyaswa sana.
Polepole kaweka press leo kutuondolea attention
Lakini hatafanikiwa
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF

=======

Wanataka kujua kuhusu sheria ya kufirana Chadema wanaipenda waendeleee
 
Back
Top Bottom