Lazima lisu aje kivingine ili iwe fundisho kwa CCMWamezoea kufanya kampeni ik local vilaza hawa!! Lissu anawafundisha kufanya kampeni kisasa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima lisu aje kivingine ili iwe fundisho kwa CCMWamezoea kufanya kampeni ik local vilaza hawa!! Lissu anawafundisha kufanya kampeni kisasa!!
Msukuma ndo anaweza kusema Kisukuma ndo lugha yake lakini Kiswahili siyo lugha yake hata angekijua kama Mswahili wa Mombasa. Marekani waliumaliza ukoloni wa Mwingereza miaka 330 iliyopita wakabaki na lugha hadi leo ingawa Wahindi wenyeji nao bado wapo na lugha yao lakini Kingereza ndo lugha yenye manufaa kwao pia maana wanaweza kuwasiliana na dunia. Kiswahili ni lugha tuliyoikuta na tukachagua kuimiliki kama lugha yetu bila kuachana na Kisukuma na zingine 120. Msukuma anayejua Kisukuma tu si sawa na Msukuma anayejua Kigogo pia!Hapa ukoloni hauwezi kuisha kamwe.
kama mtu anasifia mtu kujua Lugha ya Mkoloni na kuponda Lugha ya Taifa lake.
Halafu mnataka kuongoza nchi..aisee!! Labda mtafute nchi ya kuiongoza huko ulaya
Flyover zenyewe alianza kujenga Kikwete cha ajabu ccm wanamsifu magufuliMaendeleo gani unasemea? Nifurahie flyover wakati chakula kwangu mtihani kwa hila zako za kuharibu mahusiano na wawekezaji nikapunguzwa kazini?
Onyo na Msaada pekee uliobaki kuwapatieni.Maendeleo gani unasemea? Nifurahie flyover wakati chakula kwangu mtihani kwa hila zako za kuharibu mahusiano na wawekezaji nikapunguzwa kazini?
Inahusiana vp na comment yangu ndugu Mataga?Hivi mboe yupo kweli
Kwani kajenga kwa pesa zake na za polepole? Kama ni pesa za walipa kodi na ni wajibu wake iweje asifiwe ? Kwanza ujenzi wa flyover zote ulianza kipindi cha Kikwete na ndiyo aliasisi ujenzi huo iweje maccm mnamsifu magufuli?Onyo na Msaada pekee uliobaki kuwapatieni.
Wanatanzania (wanadar es salaam) wanasubiri huyo mgombea wenu aje kuponda ujenzi wa flyover,barabara na madaraja hataamini kitakacho mtokea wakati watu wanayajua matatizo yaliyokuwepo beforwe hivi vitu na Faida zilizopatikana baada ya hivi vitu kujengwa.
Ushauri:asijaribu kabisa kunena kuhusu hivi vitu.
Relax relax kwani hawa mabalozi si wapo hapa hapa Tanzania?uchaguzi huu mnapoambiwa niwakipekee muelewe na muache mazoea mjipange nakujiandaa kisaikolojia hata mkishindwaHivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).
Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.
Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.
waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .
Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF
=======
"You are already presidential" - hicho kina walakini rekebisha uanze kutamba tena!Go TL. Go... You are already presidential. Hii ni kwa wanaozungumza Kiingereza tu. Hao wengine wanahitaji kutafsiriwa! Waendelee tu huko Njombe.
Walijua TL ni kama EL kuwa ataufyata maana alikuwa mamluki wao.Go TL. Go... You are already presidential. Hii ni kwa wanaozungumza Kiingereza tu. Hao wengine wanahitaji kutafsiriwa! Waendelee tu huko Njombe.
Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.
Tayari ICC wanaandaa majarada ya IGP kupitia video yake na pia jarada kwa mkurugenzi wa Tume isiyo huru ya uchaguzi ambayo ni Tawi la CCMSijui kama hawa MafiCCM wa Lumumba street wanajieleea na kusoma Alama za Nyakati?
Huu Uchaguzi wa 2020:utakuwa wa tofauti sana ambavo haijawahi kutokea tangu Tanzania iingie kwene mfumo wa Multipartism since 1995!
Magufuli na CCM yake wakifanya mchezo mchezo kama walivozoea there must be some consequences. Waangalie Zimbabwe ya Marehemu Mugabe ilipo leo....!!!
The conduct of the upcoming elections in Tanzania has important consequences not only for Tanzania, but for the entire East African region. Tanzania’s history of peaceful multi-party elections stretching back 25 years has made it a model on the continent.The devil you know is better than the Angel you don't know ..View attachment 1587550View attachment 1587552ok usishagae Sana kuongea na mabalozi ni kawaida sana ila kesho Siro utabloo .
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).
Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.
Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.
waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.