Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Hapa ukoloni hauwezi kuisha kamwe.

kama mtu anasifia mtu kujua Lugha ya Mkoloni na kuponda Lugha ya Taifa lake.

Halafu mnataka kuongoza nchi..aisee!! Labda mtafute nchi ya kuiongoza huko ulaya
Msukuma ndo anaweza kusema Kisukuma ndo lugha yake lakini Kiswahili siyo lugha yake hata angekijua kama Mswahili wa Mombasa. Marekani waliumaliza ukoloni wa Mwingereza miaka 330 iliyopita wakabaki na lugha hadi leo ingawa Wahindi wenyeji nao bado wapo na lugha yao lakini Kingereza ndo lugha yenye manufaa kwao pia maana wanaweza kuwasiliana na dunia. Kiswahili ni lugha tuliyoikuta na tukachagua kuimiliki kama lugha yetu bila kuachana na Kisukuma na zingine 120. Msukuma anayejua Kisukuma tu si sawa na Msukuma anayejua Kigogo pia!
 
Maendeleo gani unasemea? Nifurahie flyover wakati chakula kwangu mtihani kwa hila zako za kuharibu mahusiano na wawekezaji nikapunguzwa kazini?
Flyover zenyewe alianza kujenga Kikwete cha ajabu ccm wanamsifu magufuli
 
Maendeleo gani unasemea? Nifurahie flyover wakati chakula kwangu mtihani kwa hila zako za kuharibu mahusiano na wawekezaji nikapunguzwa kazini?
Onyo na Msaada pekee uliobaki kuwapatieni.

Wanatanzania (wanadar es salaam) wanasubiri huyo mgombea wenu aje kuponda ujenzi wa flyover,barabara na madaraja hataamini kitakacho mtokea wakati watu wanayajua matatizo yaliyokuwepo beforwe hivi vitu na Faida zilizopatikana baada ya hivi vitu kujengwa.

Ushauri:asijaribu kabisa kunena kuhusu hivi vitu.
 
Kwani kajenga kwa pesa zake na za polepole? Kama ni pesa za walipa kodi na ni wajibu wake iweje asifiwe ? Kwanza ujenzi wa flyover zote ulianza kipindi cha Kikwete na ndiyo aliasisi ujenzi huo iweje maccm mnamsifu magufuli?
 
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Relax relax kwani hawa mabalozi si wapo hapa hapa Tanzania?uchaguzi huu mnapoambiwa niwakipekee muelewe na muache mazoea mjipange nakujiandaa kisaikolojia hata mkishindwa
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF

=======

Sijui kama hawa MafiCCM wa Lumumba street wanajieleea na kusoma Alama za Nyakati?
Huu Uchaguzi wa 2020:utakuwa wa tofauti sana ambavo haijawahi kutokea tangu Tanzania iingie kwene mfumo wa Multipartism since 1995!

Magufuli na CCM yake wakifanya mchezo mchezo kama walivozoea there must be some consequences. Waangalie Zimbabwe ya Marehemu Mugabe ilipo leo....!!!
 
Hivi ile debate yake na rais wa ghana na watu wengne kuhusu democracia, ilikuaje??

Skupati feed back kabisa mwenye kujua anijuze.
 
Lisu kaja kivingine lazima awajulishe mabalozi jinsi IGP anavyotumwa na ccm kuwafanyia ubabe kuwatisha kuwafanyia figisu figisu kuwatisha
 
Go TL. Go... You are already presidential. Hii ni kwa wanaozungumza Kiingereza tu. Hao wengine wanahitaji kutafsiriwa! Waendelee tu huko Njombe.
"You are already presidential" - hicho kina walakini rekebisha uanze kutamba tena!
 
Go TL. Go... You are already presidential. Hii ni kwa wanaozungumza Kiingereza tu. Hao wengine wanahitaji kutafsiriwa! Waendelee tu huko Njombe.
Walijua TL ni kama EL kuwa ataufyata maana alikuwa mamluki wao.

Upepo wa TL hawaukutegemea kabisa.
 
Sijui kama hawa MafiCCM wa Lumumba street wanajieleea na kusoma Alama za Nyakati?
Huu Uchaguzi wa 2020:utakuwa wa tofauti sana ambavo haijawahi kutokea tangu Tanzania iingie kwene mfumo wa Multipartism since 1995!

Magufuli na CCM yake wakifanya mchezo mchezo kama walivozoea there must be some consequences. Waangalie Zimbabwe ya Marehemu Mugabe ilipo leo....!!!
Tayari ICC wanaandaa majarada ya IGP kupitia video yake na pia jarada kwa mkurugenzi wa Tume isiyo huru ya uchaguzi ambayo ni Tawi la CCM
 
The devil you know is better than the Angel you don't know ..View attachment 1587550View attachment 1587552ok usishagae Sana kuongea na mabalozi ni kawaida sana ila kesho Siro utabloo .
The conduct of the upcoming elections in Tanzania has important consequences not only for Tanzania, but for the entire East African region. Tanzania’s history of peaceful multi-party elections stretching back 25 years has made it a model on the continent.

The United States government reaffirms unequivocally that it does not support any specific candidate or party in Tanzania’s upcoming elections. The United States supports the democratic process itself. We support a genuinely free, fair, transparent, and peaceful electoral process, before, during, and after election day. This includes ensuring the safety of all contestants, respect for the rule of law, and the absolute impartiality of the authorities in charge of managing the elections.

The United States, along with other democratic nations, will be paying close attention to actions of individuals who interfere in the democratic process or instigate violence against the civilian population before, during, or after the elections. We will not hesitate to consider consequences for those found to be responsible for election-related violence or undermining the democratic process.

We welcome the calls by the leading candidates for a peaceful and transparent electoral process, and we urge them and their supporters to take measures to decrease tensions and avoid inciteful rhetoric.

By U.S. Embassy Dar es Salaam | 1 October, 2020 | Topics: Press Releases
 
Yaani Tundu Lissu akusanye mabalozi kwenda kumsikiliza.

Sema Tundu Lissu kapanga kuzunguka maofisi ya balozi za nje au aite waandishi wahabari afikishe ujumbe wake kupitia njia hiyo.

Bado tu amjamgundua huyu mgonjwa kwenye kichwa chake anaamini yeye ni sawa raisi wa nchi.
 
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.

Law healer,
Wewe ndo huna akili tukuulize ulipeleka wapi baada ya shule yako au ulikuwa ukisomea ujinga!

Uchaguzi huu unaihusu Tanzania na nchi zote Marafiki wa Tanzania. Ndiyo maana tuna Mabalozi walioko hapa Tanzania KUZIWAKILISHA NCHI ZAO.
Lakini pia kwa taarifa yako KATIBA ya nji na Sheria ya Tume ya Uchaguzi INARUHUSU WAANGALIZI WA UCHAGUZI TOKA NJE ikiwemo hizo hizo zenye Mabalozi ambao Mhe. Lissu anaokwenda kuongea nao. Sijui kama umeelewa au unazidi KULEWA kama mlevi🤣🤣
 
Back
Top Bottom