Ilikuwa lini na Serikali ilitoa tamko lini, na pengine tuulize ni kweli haikuwepo wakati huo?
Akipata 12% ashukuru. TL anazidi kuchanganyikiwa tu
Arusha keshi wewe mwana LumumbaMatapeli ninyi Moshi Godbless Lema anasema Leo Lisu anatikisa Arusha mjini viwanja vya unga LTD atajigawaje Wakati Mkutano muda Ni ule tusaidie mleta mada
Chadema mumebobea kwenye uongo
Akipata 12% ashukuru. TL anazidi kuchanganyikiwa tu
Siyo kama wewe ulekufa siku nyingi na bado watu wanatifua marindaKwa kweli ndugu huwa unajitahidi sana kuipigania CHADEMA. Hata kama inakata roho wewe bado husema ndo kwanza ina afya tele. Viva kamanda
Sawasawa.Watu washuke tu pale Liwiti mambo yote yatakuwa pale.Lissu anapiga vitu vya hatariiiiiiii muda tu ndio hautoshi wawe wanawahi kidogoLiwiti imo jimbo la Segerea
Nilikuwa nimepanga kutopiga kura lakini nitapiga hata wasipotangaza na laana iwe juu yao.Nitapiga kuraKwa tume hii hata kumtangaza kwa hizo 12 % itakuwa ni muujiza.
Vipi jana Kawe!! Wanakawe wamewapa ya Kichwa!!kwa macho yako unavyoona unadhani Chadema inakata roho ? kuwa mkweli
Jana Kawe na sikia aliwatambua wanakawe hawataki mchezo mchezo!!Sawasawa.Watu washuke tu pale Liwiti mambo yote yatakuwa pale.Lissu anapiga vitu vya hatariiiiiiii muda tu ndio hautoshi wawe wanawahi kidogo
Akipata 12% ashukuru. TL anazidi kuchanganyikiwa tu
bila shaka itakuwa umelogwaJana Kawe na sikia aliwatambua wanakawe hawataki mchezo mchezo!!
Vipi umeniloga au?? Kwani nimekufanya nini mpaka unataka kuniloga dada!!??bila shaka itakuwa umelogwa
Kwa kweli inabidi CHADEMA wamtunuku huyu asee maana kazi yake hata Mnyika hafui dafu.Kwa kweli ndugu huwa unajitahidi sana kuipigania CHADEMA. Hata kama inakata roho wewe bado husema ndo kwanza ina afya tele. Viva kamanda
Dar haihitaji helicopter. Ni msanii Diamond tu ndiye anayeitumia kuashuka kwa mkapa siku ya Simba. Leo nani atashuka na helicopter siku ya wananchi?Vp mbona mwaka huu akuna helcopter,au ipo gereji ya buza inafanyiwa matengenezo?
Konde boy ni mmakonde,wamakonde ni marubani wazuri wa kupaa na ungo.ila nisimalize maneno ngoja tuone itakavyokuwa leo siku ya Manyani fc.Dar haihitaji helicopter. Ni msanii Diamond tu ndiye anayeitumia kuashuka kwa mkapa siku ya Simba. Leo nani atashuka na helicopter siku ya wananchi?
Kupandisha mishara ya wafanyakazi nalo ni tusi? Basi mwenzetu wewe siyo wa kawaida.Chadema wenyewe wanapenda faulo wanaambiwa semeni sera zenu wanaporomosha matusi
Hayo walitamka Jana kidogo Lisu kaanza kunyooka na kushika adabu na ujuaji wake alidhani ugombea uraisi ni sawa na kubwabwaja porojo kugombea uraisi wa chama Cha wanasheria Tanzania .Uraisi wa nchi Ni ngoma nyingne sio lelemamaKupandisha mishara ya wafanyakazi nalo ni tusi? Basi mwenzetu wewe siyo wa kawaida.
Uzi tangu umefungua hakuna updates zozote wakati tayari mkutano unaendelea kama hauko eneo la tukio usikimbilie kuanzisha uzibila shaka itakuwa umelogwa
Huyu dada anakimbelembele sana! Labda mkutano umebuma tena kama Juzi na Jana (Mbagala na Kawe)!Uzi tangu umefungua hakuna updates zozote wakati tayari mkutano unaendelea kama hauko eneo la tukio usikimbilie kuanzisha uzi