Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #81
hakuna aliyekatazwa ku update , hata wewe unaruhusiwaUzi tangu umefungua hakuna updates zozote wakati tayari mkutano unaendelea kama hauko eneo la tukio usikimbilie kuanzisha uzi
Vipi dada Mkutano Umedoda?hakuna aliyekatazwa ku update , hata wewe unaruhusiwa
Mnaanza na maandamano kama mlivyoshauriwa?hakuna aliyekatazwa ku update , hata wewe unaruhusiwa
Unapanic hivi kisa Lisu?Kama mamayo anavyohangaika baada ya anaemchapa kumtelekeza.
Kila kinachonunuliwa na serikali unajua bei yake?? Ukitaka kujua nenda ATCL au Wizara ya Fedha. Kila mtu na kazi yake wewe fanyakazi yako huwezi jua kila kitu unaweza kufa na stress tu.Hoja za tundu lissu Segerea leo ni ngumu na hazijibiki kirahisi
Mosi ,Anauliza mikataba ya ndege kuwa wananchi hawajui wala wabunge zimenunuliwa bei gani?
Mimi ni muumini wa Profesa Assad kitaaluma ingawa ni mwana ccm na nilisema mapema hapa haya mambo tutakuja kushindwa kujibu kwa mahesabu ya Humprey polepole
Leo Tundu lissu Segerea ametuchakaza sana ,Hata Mimi mwana ccm siyajui haya ya mikataba ya ndege
Nini cha kufanya kwa sasa
Ccm iongee ukweli bei za ndege ni kiasi gani na mikataba yake ili tuweze kutetea hoja hii
Leo jamaa amepigilia misumari ambayo sikutegemea kabisa
Vipi dada Mkutano Umedoda?
Naona sasa umemaliza kutengeneza picha! Haya endelea kuturushia sasa picha ulizotengeneza dada!
Chadema sasa hivi ukiwaambia leta aerial photo wanafura hatari
Mkuu better remain silence than showing your idiotness hereKila kinachonunuliwa na serikali unajua bei yake?? Ukitaka kujua nenda ATCL au Wizara ya Fedha. Kila mtu na kazi yake wewe fanyakazi yako huwezi jua kila kitu unaweza kufa na stress tu.
Uelewa wako ni mdogo sana kwani hizo ngonjera za ndege za ATCL umeanza kuzisikia leo?? Walishasema maneno mengi sana hata pia Lissu alishashirikiana na mabeberu kuzikamata huko Canada na South Africa! Kwani kuuliza bei ndiyo hoja? mbona haulizi vitu vingine? Kama unataka kubwabwaja kama Lissu na wanasaccos wewe endelea tu! Eti mpaka umeanzisha uzi kwa sababu ya bei ya ndege za ATCL kwa taarifa yako Shirika la Kutengeneza hizo ndege lilishatoa bei ya ndege hizo walizonunua Serikali wala siyo kitu kipya labda wewe ulikuwa bado uko shule ndiyo maana unaona kitu kimpya sana!!Mkuu better remain silence than showing your idiotness here
Hapa tunatetea chama sio sehemu ya mipasho na taarabu
Huyo ameongea jukwaani anapaswa kujibiwa
Wewe ni ccm njaa nini,Fanya kazi kukisaidia chama sio chama kikusaidie wewe
Lissu ana hoja kede kede ccm wajiandae kuumwa vichwa vyao mwaka huu.Hoja za tundu lissu Segerea leo ni ngumu na hazijibiki kirahisi
Mosi ,Anauliza mikataba ya ndege kuwa wananchi hawajui wala wabunge zimenunuliwa bei gani?
Mimi ni muumini wa Profesa Assad kitaaluma ingawa ni mwana ccm na nilisema mapema hapa haya mambo tutakuja kushindwa kujibu kwa mahesabu ya Humprey polepole
Leo Tundu lissu Segerea ametuchakaza sana ,Hata Mimi mwana ccm siyajui haya ya mikataba ya ndege
Nini cha kufanya kwa sasa
Ccm iongee ukweli bei za ndege ni kiasi gani na mikataba yake ili tuweze kutetea hoja hii
Leo jamaa amepigilia misumari ambayo sikutegemea kabisa
Leo ndio nimemkumbuka Prof Assad kuwa alikuwa na lengo nzuri sana kabisa
Prof Assad quote,"Debit or Credit has got no meaning but it depend on interpretation
Sasa hawa Chadema wamesema tumeibiwa ni interpretation sahihi?