Asante kwa majibu mazuri mh MjumbeTafuta hela ununue jenereta na uchimbe kisima hapo kwako.
Maji shida,umeme shida we na Lissu, mwenzio yuko ulaya anakula maisha watoto wanasoma shule bora
Haijalishi uko chama gani.kujadili mtu asiyekula kodi yako au asiyeongoza nchi ni kupoteza muda