Tundu Lissu: Magufuli alitufanyia mambo mabaya lakini hakufanya biashara na Rasilimali za Nchi

Kulinda rasilimali za nchi ,Ujenzi wa hospital na vituo vya afya nchini , usambazaji wa umeme vijijini, ujenzi wa barabara...
Peanut butter 🤣🤣,

unavyozungumzia Vituo vya Afya mtu asiyejua anaweza dhani ni viiingi kumbe hata 400 havikufika Kwa miaka 6 wakati Samia kajenga Vituo vya Afya zaidi ya 700 Kwa miaka 2 tuu.

Hospital zipi alijenga zikaanza kufanya kazi? Hakuna hata Moja alimaliza 😆😂

Samia kamalizia,kajenga Mpya kwenye Wilaya ambazo hazikuwa na Hospital kaleta vitendea kazi na maelfu ya Ajira Juu just within 2 years..

Kiufupi Wajamaa ni loosers mara nyingi Wana akili ndogo na hawajui kutafuta hela yaani njaa tuu,ona mwenzio huku 👇
 
Ziko bendera za nchi mbalimbali nyingi ambazo Zina rasilimali maji nyingi lakini hazipo kwenye bendera

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
sawa ila asilinganishe blue na kisiwa. Pia hiyo bendera bila blue haipendezi. iingie blue hapo kuonyesha Tanganyika mpya tofauti na ile ya zamani.
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amesema Shujaa Magufuli pamoja na madhaifu yake ya kibinadamu alikuwa ni Mzalendo wa kweli kwa nchi yake

Lisu amesema Shujaa Magufuli aliwavuruga sana waliofanya Biashara na Rasilimali za nchi yetu

Jambo TV
 
Huu jamaa ni msema kweli siku zote
 
Acha kupotosha
 
Itafahamika tu!
 
Lissu yeye huwa anapasuka ukweli tupu
 
Dawa 2025
 
Cha ajabu ni kipi? Magufuli ni mjamaa ndio maana alifukuza wawekezaji,Samia ni Mwanamageuzi anakaribisha wawekezaji..

Lisu ni mjamaa kama Magufuli hivyo ni watu hatari na wasiofaa Kwa Ustawi wa watu maana wanaendeleza umaskini,uongo na propaganda
Ukiitwa dungaemba utabisha
 
Unakopa unajenga vituo vya kwa nini usijipigie kifuani na kusema mimi ni mpumbavu
 
Huyu "anayeziba masikio" sasa anawaona waTanzania wote ni wajinga, isipokuwa watu wake anaowatumia waliomo Bungeni, Kwenye chama chake, kama wale Central Committee na NEC; watu anaowafuga yeye, ndio walevu, wanaojua mambo mazuri anayofanya Samia.
Sasa kawaamurisha waje wakawape "elimu" hawa wajinga, waTanzania wasiojua kusoma na kuelewa kilichoandikwa ndani ya nyaraka ya "Makubaliano".

Nchi nzima hii, wote tumeshindwa kujua tofauti iliyopo, kati ya "Makubaliano" na "Mkataba."

Kwamba "Makubaliano" siyo mkataba; na kama kuna mambo yasiyofaa huko kwenye "Makubaliano", wananchi wasiwe na hofu, kwani watu wetu, waliotutengenezea "Makubaliano" hayo mabovu, watakapoingia kwenye "Mkataba" watakuwa makini sana katika kulinda maslahi ya nchi yetu!

Hivi ndivyo CCM na Samia wanavyowaona waTanzania walivyo wajinga kabisa!

Ila kuna jambo moja atakuwa analisikitikia sana Samia wakati huu.

Nina hakika hakujua alipokuwa anafanya mipango yake ovu kwa nchi anayoiongoza hakujua kwamba jambo hilo lingeibuka na kuvuruga kila kitu.
Hakujua kuwa ataliamsha la Tanganyika.

Sasa italazimu ashughulike na hilo, huku akiwa "ameziba masikio" asisikie kelele za Bandari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…