Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
JPM legacy yake inamfuata alipo,Lissu kanena kweliNafurahi sana wanamkubali mwamba Magufuli ila walijifanya viziwi🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JPM legacy yake inamfuata alipo,Lissu kanena kweliNafurahi sana wanamkubali mwamba Magufuli ila walijifanya viziwi🤣🤣
Peanut butter 🤣🤣,Kulinda rasilimali za nchi ,Ujenzi wa hospital na vituo vya afya nchini , usambazaji wa umeme vijijini, ujenzi wa barabara...
sawa ila asilinganishe blue na kisiwa. Pia hiyo bendera bila blue haipendezi. iingie blue hapo kuonyesha Tanganyika mpya tofauti na ile ya zamani.Ziko bendera za nchi mbalimbali nyingi ambazo Zina rasilimali maji nyingi lakini hazipo kwenye bendera
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Huu jamaa ni msema kweli siku zoteLissu alipokuwa katika mkutano wa hadhara Kisarawe jana 9/7/2023 alisema, Magufuli alitufanyia mambo mengi sana mabaya, aliongoza nchi kama mali yake binafsi, lakini asisingiziwe kwenye kufanya biashara na Raslimali za nchi yetu kama alivyofanya Mwinyi, Mkapa au Kikwete, na kwamba aliwavuruga sana waliofanya biashara na Raslimali za Nchi yetu na akina Kiwete na Mkapa.
Lissu akasisitiza kwenye hili la kukabidhi Nchi kwa Wageni tusimsingizie, ni dhambi kumsemea uongo.
Wakuu mnasemaje?
He is very honestyTundu Lissu ndio nachompendea, hapa kakusanya wote wawili. Hakuna unafiki
Acha kupotoshaMakamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amesema Shujaa Magufuli pamoja na madhaifu yake ya kibinadamu alikuwa ni Mzalendo wa kweli kwa nchi yake
Lisu amesema Shujaa Magufuli aliwavuruga sana waliofanya Biashara na Rasilimali za nchi yetu
Jambo TV
Itafahamika tu!Lissu alipokuwa katika mkutano wa hadhara Kisarawe jana 9/7/2023 alisema, Magufuli alitufanyia mambo mengi sana mabaya, aliongoza nchi kama mali yake binafsi, lakini asisingiziwe kwenye kufanya biashara na Raslimali za nchi yetu kama alivyofanya Mwinyi, Mkapa au Kikwete, na kwamba aliwavuruga sana waliofanya biashara na Raslimali za Nchi yetu na akina Kiwete na Mkapa.
Lissu akasisitiza kwenye hili la kukabidhi Nchi kwa Wageni tusimsingizie, ni dhambi kumsemea uongo.
Wakuu mnasemaje?
Lissu yeye huwa anapasuka ukweli tupuLissu alipokuwa katika mkutano wa hadhara Kisarawe jana 9/7/2023 alisema, Magufuli alitufanyia mambo mengi sana mabaya, aliongoza nchi kama mali yake binafsi, lakini asisingiziwe kwenye kufanya biashara na Raslimali za nchi yetu kama alivyofanya Mwinyi, Mkapa au Kikwete, na kwamba aliwavuruga sana waliofanya biashara na Raslimali za Nchi yetu na akina Kiwete na Mkapa.
Lissu akasisitiza kwenye hili la kukabidhi Nchi kwa Wageni tusimsingizie, ni dhambi kumsemea uongo.
Wakuu mnasemaje?
Dawa 2025Mkataba wa hovyo kuwahi kutokea tangu kuumbwa kwa Tanganyika, halafu aliyesababisha huo ujinga anajiona shujaa aliyeziba masikio hataki kusikia anachoambiwa atuondoe huko.
Huyu kwangu ni sawa na chizi anayetembea mtupu barabarani huku anakata kiuno kwa mwendo wa maringo.
Raisi gani ambaye alishawahi muunga mkono 100%Huu jamaa ni msema kweli siku zote
Ukiitwa dungaemba utabishaCha ajabu ni kipi? Magufuli ni mjamaa ndio maana alifukuza wawekezaji,Samia ni Mwanamageuzi anakaribisha wawekezaji..
Lisu ni mjamaa kama Magufuli hivyo ni watu hatari na wasiofaa Kwa Ustawi wa watu maana wanaendeleza umaskini,uongo na propaganda
Unakopa unajenga vituo vya kwa nini usijipigie kifuani na kusema mimi ni mpumbavuPeanut butter [emoji1787][emoji1787],
unavyozungumzia Vituo vya Afya mtu asiyejua anaweza dhani ni viiingi kumbe hata 400 havikufika Kwa miaka 6 wakati Samia kajenga Vituo vya Afya zaidi ya 700 Kwa miaka 2 tuu.
Hospital zipi alijenga zikaanza kufanya kazi? Hakuna hata Moja alimaliza [emoji38][emoji23]
Samia kamalizia,kajenga Mpya kwenye Wilaya ambazo hazikuwa na Hospital kaleta vitendea kazi na maelfu ya Ajira Juu just within 2 years..
Kiufupi Wajamaa ni loosers mara nyingi Wana akili ndogo na hawajui kutafuta hela yaani njaa tuu,ona mwenzio huku [emoji116]
Wapi ambapo alikopa akajenga Vituo vya Afya? By the way kwani kukopa kujenga Vituo Kuna shida?Unakopa unajenga vituo vya kwa nini usijipigie kifuani na kusema mimi ni mpumbavu
Tunapata wapi hizi bendera z Tanganyika yetu
Huyu "anayeziba masikio" sasa anawaona waTanzania wote ni wajinga, isipokuwa watu wake anaowatumia waliomo Bungeni, Kwenye chama chake, kama wale Central Committee na NEC; watu anaowafuga yeye, ndio walevu, wanaojua mambo mazuri anayofanya Samia.Mkataba wa hovyo kuwahi kutokea tangu kuumbwa kwa Tanganyika, halafu aliyesababisha huo ujinga anajiona shujaa aliyeziba masikio hataki kusikia anachoambiwa atuondoe huko.
Huyu kwangu ni sawa na chizi anayetembea mtupu barabarani huku anakata kiuno kwa mwendo wa maringo.